wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    Udogo wa daraja la mto mzinga ambalo ni kiunganishi muhimu kwa wilaya ya temeke na mkuranga, vipi mamlaka zetu hazioni?

    Wakuu leo nadhani ni siku yangu nyingine kutumia gharama kubwa kutoka mbagala rangi tatu hadi mzinga. Kiukweli kuna namna naona serikali inachukulia poa hili jambo. Ni serikali ambayo imesupport wilaya ya mkuranga kuwa na viwanda vingi bila kurekebisha miundo mbinu. Ni ombi langu hili...
  2. milele amina

    Wachina wasio na vibali vya kufanya kazi nchini,wazidi wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya.

    Uhamiaji na Changamoto za Kijamii Wilaya ya Chunya Katika kipindi hiki, tumeweza kushuhudia mabadiliko makubwa katika hali ya uhamiaji nchini Tanzania, hasa katika maeneo ya vijijini kama Kijiji cha Itumbi, Kata ya Matundasi, Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya. Katika muktadha huu, ni muhimu...
  3. N

    DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  4. Mwanongwa

    KERO Wakazi wa Kijombe, Wilaya ya Wanging'ombe (Njombe), kwenye huduma ya maji tunaisikia kwenye bomba

    Ukosefu wa maji safi na salama kwa sisi Wakazi wa Kata ya Kijombe, Wilayani Wanging'ombe imekuwa kero kubwa sana kwetu. Kuna kipindi unapita mwezi mzima maji hayajatoka Bombani, hivyo tunalazimika kwenda kuchota wenye madimbwi huko mabondeni. Hii kero haijaanza leo, ni ya muda mrefu sana...
  5. emmarki

    Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, inauza viwanja

    Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
  6. M

    KERO Responded Nimepata huduma mbovu kutoka kwa Mfanyakazi wa NHIF - Dar, imebidi Kiongozi wake wa juu aingilie na kuniomba radhi

    Jamani mi natoa ya moyoni leo kwasababu naamini hapa JF ndo sehemu pekee nitaongea na kero yangu ikatatulika. Huwa tunaambiwa mteja ni Mfalme, lakini huu ufalme mbona kama umegeukia Kwa watoa huduma? Hili suala nilishaliona sana NHIF lakini kwasababu sikuwa na pa kuongelea basi likawa linauma...
  7. A

    KERO Tatizo la kukata umeme mara kwa mara Wilaya ya Kiteto

    Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k Ila Wilaya yetu wanakata sana umeme na kusababisha mzunguko wa pesa kudorora.
  8. Mzee Kimamingo

    KERO TANSECO Wilaya ya Nachingwea mnaikosea sana

    Tanesco Tanesco Tanesco Nimewaita mara tatu kuomyesha Msisitizo. Hii wilaya ya Nachigwea mkoa wa Lindi kwanini mnakata umeme mara nyingi kiasi hiki na Bila Taarifa kamili. Mfano leo mshakata zaidi ya mara 10 na watu wanatumia vifaa je vikiungua mtaweza kulipa. Kama mnakata ni bora mkate...
  9. milele amina

    CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  10. DON YRN

    Wilaya za Same na Mwanga zimeathiriwa na ubahili

    Wakuu, najua mpo salama na Mungu awalinde sana. Mara nyingi huwa napita njia ya Tanga kuelekea Moshi kukatiza Wilaya za Same na Mwanga mkoani Kilimanjaro. Kwa mfano Pale Same kinachondelea Pale ni aibu tupu hata hapastahili kuitwa Wilayani, panafaa paitwe kijiji cha Same. Ni mji unaoweza...
  11. Roving Journalist

    LGE2024 Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ashiriki kupiga Kura katika Mji Mdogo Tukuyu

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amepiga kura leo Novemba 27, 2024 katika Kituo cha Shule ya Msingi Madaraka ikiwa ni haki yake Kikatiba Kumchagua Mwenyekiti wa Kitongoji katika Mamlaka ya Mji Mdogo Tukuyu. Jumla ya Wakazi 147,118 wanatarajia kupiga kura katika Vituo 529 ndani ya Vijiji...
  12. Mindyou

    LGE2024 Mkuu Wa Wilaya Ya Ilala Edward Mpogolo apiga kura kuchagua mwenyekiti wa mtaa na wajumbe

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo amewasili na kutimiza Haki yake ya Msingi ya Kikatiba ya Kupiga Kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao Leo Novemba 27, 2024 unafanyika Tanzania Bara. DC Mpogolo amepiga kura yake katika Mtaa wa Karume uliopo Kata ya Ilala, akiwa hapo amewahimiza...
  13. Torra Siabba

    KERO Jengo la Wilaya ya Tanganyika lililopo Manispaa ya Mpanda linaharibu taswira ya Mji kwa uchafu

    Hili ni moja ya majengo yanayomilikiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika zamani Mpanda DC yaliyopo Manispaa ya Mpanda, Jambo la ajabu jengo hili limetelekezwa kwa sababu mazingira yake yanaonekana machafu sana. Ni aibu kubwa mazingira ya jengo hili kuwa machafu ili hali liko katikati ya...
  14. J

    DOKEZO TAMISEMI - Chunguzeni Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Kuna madudu pale

    TAMISEMI, hapa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni kuna madudu, tafadhali chunguzeni hawa wafanyakazi wenu. Huu ni mwaka wa 4 sasa nafuatilia malipo yangu sipati ushirikiano wowote toka kwenye hii Halmashauri, kila ninayeambiwa nimfuate ananipiga chenga na kunipa majibu ya kijinga yasiyo na...
  15. DolphinT

    KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  16. Roving Journalist

    Kipindupindu chaitesa Wilaya ya Tanganyika - Katavi, waripotiwa Wagonjwa 441, Sita wafariki

    Katavi: Hali ya Ugonjwa wa Kipindupindu kufikia Novemba 2024 Wagonjwa waliojitokeza - 441 Walioruhusiwa kutoka Hospitali – 419 Waliopoteza Maisha – 6 Mgawanyiko wa Wagonjwa hao wa Kipindupindu Wanaume – 235 Wanawake - 206 Umri Miaka 15+ : 187 Miaka 5 - 15: 150 Miaka 1-4: 92 Chini ya Mwaka...
  17. Matulanya Mputa

    Wagombea wa Upinzani wamewekwa Ofisi ya Wilaya siku 3 kwa mahojiano, Masasi

    Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote. Hii inaonesha kwa namna gani DAS na watu wake wanaendelea kuhujumu wagombea. Watu wanahojiwa karibu masaa matatu...
Back
Top Bottom