wiki

A wiki ( (listen) WIK-ee) is a hypertext publication collaboratively edited and managed by its own audience directly using a web browser. A typical wiki contains multiple pages for the subjects or scope of the project and could be either open to the public or limited to use within an organization for maintaining its internal knowledge base.
Wikis are enabled by wiki software, otherwise known as wiki engines. A wiki engine, being a form of a content management system, differs from other web-based systems such as blog software, in that the content is created without any defined owner or leader, and wikis have little inherent structure, allowing structure to emerge according to the needs of the users. Wiki engines usually allow content to be written using a simplified markup language and sometimes edited with the help of a rich-text editor. There are dozens of different wiki engines in use, both standalone and part of other software, such as bug tracking systems. Some wiki engines are open source, whereas others are proprietary. Some permit control over different functions (levels of access); for example, editing rights may permit changing, adding, or removing material. Others may permit access without enforcing access control. Other rules may be imposed to organize content.
The online encyclopedia project, Wikipedia, is the most popular wiki-based website, and is one of the most widely viewed sites in the world, having been ranked in the top twenty since 2007. Wikipedia is not a single wiki but rather a collection of hundreds of wikis, with each one pertaining to a specific language. In addition to Wikipedia, there are hundreds of thousands of other wikis in use, both public and private, including wikis functioning as knowledge management resources, notetaking tools, community websites, and intranets. The English-language Wikipedia has the largest collection of articles: as of February 2020, it has over 6 million articles. Ward Cunningham, the developer of the first wiki software, WikiWikiWeb, originally described wiki as "the simplest online database that could possibly work." "Wiki" (pronounced [wiki]) is a Hawaiian word meaning "quick."

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania ZANTEL wamepunguza bundle la Wiki kutoka GB 2.2 kwa Tsh 3,000 hadi GB 1.9 kwa Tsh 3,000

    Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Mkuu wa Nchi huko USA imetugharimu walipa kodi kiasi gani?

    Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500. Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika? Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
  4. JamiiForums Tanzania Erling Haaland kutua Man City, mshahara Tsh bilioni 1.5 kwa wiki

    Mchakato wa Manchester City kuelekea kumsajili Erling Haaland wa Borussia Dortmund unaelekea pazuri hiyo ni baada ya kudaiwa kuwa wameshafikia makubaliano ya mshahara wa paundi 500,000 (Tsh bilioni 1.5) kwa wiki. Man City inataka kukamilisha mapema mchakato huo mapema, ada ya usajili inatwa...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi yawakamata watu 632 kwa kuvunja sheria ndani ya wiki tatu

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam: Kufuatia kikao cha ujirani mwema cha tarehe 18 Machi 2022 ndani ya Kanda No. 2 inayohusisha mikoa ya Kipolisi Ilala, Temeke, Kinondoni, Pwani na Rufuji, pamoja na mambo mengine Makamanda wa Mikoa hiyo walikubaliana kufanya Operesheni...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza?

    Wakuu mfano mtu kapata HIV leo alafu baada ya wiki ukimpima itaonekana na Je baada ya hio wiki mkisex ata kuambukiza? Nawasilisha
  7. JamiiForums Tanzania Napendekeza stika za Wiki ya Nenda kwa Usalama zilipiwe kwenye bima, ukikata bima ukague na gari kabisa na vyote ulipie kwa mara moja

    Wiki hii kumeanza tena ule usumbufu wa kijinga na wa kila mwaka wa kusimamisha watu barabarani ili kuwakagua sticker za wiki ya nenda kwa usalama barabarani. Sasa kama ilivyo kawaida yetu hapa jukwaani, pakitokea kero basi tunatoa mawazo walau ya kuondoa au kupunguza kero hiyo. Sasa basi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wasichana 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya

    Wizara ya Afya ya Kenya imetangaza kuongezeka kwa kasi ya maambukizi ya ukimwi katika nchi hiyo. Wizara hiyo imeoa takwimu zifuatazo: Chanzo cha Takwimu: Wizara ya Afya Kenya Takwimu hizi za Wizara ya Afya kenya zinabainisha 98 wa miaka 10-19 huambukizwa ukimwi kila wiki nchini Kenya (Januari...
  9. JamiiForums Tanzania Goli la kanute, Simba vs Gendamarine miongoni mwa magoli 4 Bora ya wiki

    Caf wamechagua mabao manne yatakayopigiwa kura kupata goli Bora la wiki, miongoni mwa hayo lipo la sadio Kanute ,Simba vs Gendamarine liliofungwa Benjamin mkapa. Source:Mwanaspoti
  10. JamiiForums Tanzania Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Wiki ya ubunifu Tanzania-Kanda ya Njombe

    Habari wanajukwaa, Ikiwa ni mara ya kwanza kwa WUTz kufanyika Njombe, na nikiwa ni mmoja wa waratibu wa jukwaa hili la WUTz Kanda ya Njombe nimeona ni vyema nikilileta suala hili hapa JF. Kwanza ni kwasababu ninaamini kuna wadau wengi wenye uzoefu na fikra tunduizi za kutosha zinazoweza...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya itasoma bajeti yake mapema kwa sababu ya uchaguzi. Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi, Aprili 7, 2022

    Kenya itasoma bajeti yake siku ya Alhamisi wiki hii. Bajeti yenyewe itakuwa ya ksh 3.3 trillion ambayo ni zaidi ya mara dufu ya bajeti ya Tanzania. ======= Budget reading Thursday as MPs end revenue share row These measures will be contained in the Finance Bill, which must be tabled in...
  13. JamiiForums Tanzania Swali Fyatu la Wiki: Yote Sawa? Mapenzi ya Kinafiki au Heshima ya Woga?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sijui lipi ni bora katika siasa au yote ni sawa tu? Yaani, unamheshimu mtu si kwa sababu anastahili heshima hiyo bali kwa vile unamuogopa. Unaogopa huyo mtu atakufanya nini. Unajitahidi kumfurahisha kwa sababu hutaki achukie au akushukie. Akinuna unaweweseka. Unajua...
  14. JamiiForums Tanzania Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

    Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
  15. JamiiForums Tanzania FT: ASEC Mimosas 3-0 Simba SC | CAF Confederation Cup | Stade de L' amitie General

    Klabu ya Simba leo Jumapili March 20, 2022 inashuka kwenye Dimba la Stade de L'amitie General Nchini Benin kukiwasha na ASEC Mimosas kutoka Ivory Coast kwenye mchezo wa marudiano hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC. Huenda mchezo ukawa mkali na wa kusisimua kwa vile kila...
  16. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz atajwa kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi mtandaoni wiki hii Afrika. Rais Samia ashika nafasi ya 15

    Mtandao wa Top Charts wa nchini Nigeria umemtaja msanii Diamond Platnumz kuwa mtu maarufu aliyeongelewa zaidi katika wiki hii. Msanii huyo anakuwa wa kwanza kutoka Tanzania kuchukua nafasi hiyo.
  17. JamiiForums Tanzania Nahitaji Ofisi ya kukodi kwa wiki moja Dar

    Habari wakuu. Iwe maeneo ya kati kati ya jiji au jirani na City Center. Lengo ni tunatoka mkoani kuja kurekodi kipindi cha afya ya ngozi. Piga 0713039875
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mafuta mengi sana yagunduliwa Lamu

    Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana, in what could be a turning point for the country’s dreams of reaping petrodollars. Italian oil...
  19. JamiiForums Tanzania NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Presha ya Urusi, Bilionea Abramovich kupokea ofa tatu wiki hii za kuiuza Chelsea

    Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich Mmiliki wa Klabu ya Chelsea, Roman Abramovich anatarajiwa kushawishiwa kukubali kuiuza klabu hiyo, ikielezwa kuna ofa tatu zitatolewa wiki hii. Kumekuwa na presha kubwa kwa bilionea huyo kuiuza Chelsea kutokana na ukaribu wake na Rais wa Urusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…