wicknell chivayo

Wicknell Chivayo (born 22 November 1982) is a Zimbabwean businessman known for his involvement in government tenders, flamboyant lifestyle, and close associations with the ruling ZANU–PF party. He has garnered both admiration and criticism for his lavish spending and philanthropic gestures, often intertwined with political undertones.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi halina taarifa ya kifo cha Mfanyabiashara Wicknell Chivayo na mke wake waliofariki kwenye ajali ya Helikopta Jana!

    Habari picha hizi hapa! Gazette la Mwananchi wao hawana habari hizi!
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Breaking News: A Zimbabwean Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died.

    MAJOR BREAKING: Millionaire tycoon Wicknell Chivayo has died after a helicopter crash in Marondera. His wife Lucy Muteke among the 6 victims. There were no survivors. A police statement said: “The ZRP confirms a plane crash in Marondera Rural area at 1700 hours. The aircraft had 6 occupants.”
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zimbabwe: Wicknell Chivayo, mke wake wafariki kwenye ajali ya Helikopta

    Serikali ya Zimbabwe (kupitia msemaji mkuu Nick Mangwana) imethibitisha kuwa leo jioni, Septemba 30, 2026, helikopta iliyokuwa na watu 6 (mfanyabiashara mashuhuri, abiria wengine, na marubani wawili) imeanguka katika eneo la Marondera na hakuna aliyepona. Mamlaka na vyombo vya habari nchini...
  4. Yesha

    JamiiForums Tanzania Lawyer Lewis Uriri Rejects US$350,000 Gift Package From Wicknell Chivayo

    Senior Zimbabwean lawyer Advocate Dr Lewis Uriri has declined a gift package worth US$350,000 offered to him by businessman Wicknell Chivayo, saying accepting the gifts could create a perception that his professional independence had been compromised. Chivayo publicly announced the gifts after...
  5. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo alikuwa wapi enzi za Magufuli?

    Huyu Mzimbabwe Wicknell Chivayo mbona ghafla sana? Kutwa anacheza kwenye viunga kama kwake. Hivi alikua wapi enzi za Mjomba Magu?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Kifupi CCM sasa haina nguvu yoyote ndani ya Tanzania. Huko ni kupokea Amri tu, kuimba mapambio kumsifu raisi na kutokuhoji na kuuliza chochote kabisa. Wameacha watu waoga tupu CCM. Tunanafasi ya kuwaamsha wana CCM kuungana na Wananchi wazalendo kurudisha nchi na mamlaka yake kwa Wananchi wa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Wakuu Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko...
  8. Yesha

    JamiiForums Tanzania Chivayo says US$200 million Kenya investment is taking shape after meeting President Ruto

    Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo says his long-standing plan to invest about US$200 million in Kenya through infrastructure projects is now moving towards implementation following a meeting with Kenyan President William Ruto. In a post on social media, Chivayo said he spent almost three...
  9. Yesha

    JamiiForums Tanzania 18 Armed Robbers Get 950 Years for Farm Raid on Chivayo’s In-Laws

    Eighteen armed robbers who raided businessman Wicknell Chivayo’s in-laws at Alpha and Omega Farm in Marondera have been sentenced to a combined 950 years in prison. The gang, armed with rifles, pistols and other tools, attacked the farm on March 18, 2025, overpowering and assaulting security...
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell akiendeshwa kwenye gari na Rais wa Kenya, William Ruto

    Mfanyabiashara maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, hakuweza kuficha furaha yake baada ya Rais wa Kenya, William Ruto, kumwendesha binafsi kwa gari kuelekea eneo la kutua helikopta (helipad) katika shamba lake lililoko Kilgoris. Chivayo alirekodi video ya wakati huo akionyesha kushangazwa...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo kuwekeza takriban Tsh. Bilioni 500 Ngongoro na Serengeti

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa X, mfanyabiashara na mwizi wa uchaguzi Wicknell Chivayo ameweka wazi azma yake kuwekeza kiasi cha takriban Tsh. Bilioni 500 (Dola Milioni 200) katika sekta ya utalii nchini humo. Kulingana na Chivayo, uwekezaji huo utalenga maeneo ya hifadhi za Serengeti na...
  12. Yesha

    JamiiForums Tanzania Kenya Denies Reports Linking Zimbabwean Businessman Wicknell Chivayo to JKIA Expansion Deal

    The Kenyan government has denied reports that a company linked to Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo was awarded a contract to expand Nairobi's Jomo Kenyatta International Airport (JKIA). Zimbabwean media reports had claimed that IMC Construction, a company associated with Chivayo, was...
  13. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo Ashinda Zabuni ya Dola Bilioni 2.9 za Ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa JKIA Kenya

    Mfanyabiashara wa Zimbabwe Wicknell Chivayo na kampuni ya ujenzi ya IMC Construction Kenya, ameshinda zabuni ya ukarabati wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) kwa dola bilioni 2.9 za Marekani. Vyanzo vya Habari Kenya vinaeleza kuwa Zabuni hiyo, ambayo awali ilitolewa kwa...
  14. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania HATARI ! sasa mtoto wa Kiume analindwa kwenye malezi kulliko mtoto wa Kike

    Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi. Malezi bora, maadili, na muda wa wazazi kwa watoto wao ni muhimu kwa kila mtoto bila kujali jinsia...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Sir Wicknell Chivayo has fraud records, but is still close to some African leaders. What is behind the curtain?

    To his hundreds of thousands of social media followers, Wicknell Chivayo is "Sir Wicknell"—a larger-than-life tycoon who flaunts luxury fleets, donates high-end vehicles to ruling party loyalists, and poses for photo-ops in front of towering piles of cash. But behind the curated facade of...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Cyril Ramaphosa amkana tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo

    Ila huyu jamaa analeta kizaza sana kwa baadhi ya viongozi wa Afrika haya yamemkuta sasa wa Afrika kusini ============ Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hakujua kuwa alikuwa anakutana na tajiri wa Zimbabwe Wicknell Chivayo, anayesakwa nchini Afrika Kusini kwa tuhuma za utakatishaji...
  17. Yesha

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo Gifts CCC MP Brand New Car And $50,000.00

    Wicknell Chivayo Gifts Opposition MP Car and $50,000, Sparking Debate in Zimbabwe Zimbabwean businessman Wicknell Chivayo has ignited public debate after gifting a vehicle and cash to opposition lawmaker Susan Matsunga. The gesture followed her public praise of President Emmerson Mnangagwa...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Chivayo atembelea tena Tanzania na kupita Ikulu, unadhani maongezi yao yalihusu nini?

    Wakuu, Jana Chivayo alikuwa mjini, na kwenda kusalimia Ikulu kulingana na picha pamoja na melezo aliyoweka. Safari hii amepewa na maelezo ya kuandika kwenye caption. Unadhani ni mazungumzo gani yameendelea Ikulu ukizingatia tume ya Chande imemaliza kazi yake? ==== Tafsiri ya caption yake...
  19. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Controversial Zimbabwean businessman and socialite Wicknell Chivayo shares photos visiting President William Ruto at State House

    Controversial Zimbabwean businessman and socialite Wicknell Chivayo shares photos visiting President William Ruto at State House on Tuesday. "As always, I was treated to a WARM reception that never ceases to humble me. There is something deeply fulfilling about being afforded time within the...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Shuhudieni Mambo Makubwa Mazuri ya Bonge wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo! Je, Hapa Kwetu Alifanya Nini?

    Wanabodi Shuhudieni mambo makubwa mazuri ambayo ni super, ya huyu Bonge wa Zimbabwe, Bilionea Wicknell Chivayo wa Zimbabwe, akifanya mambo makubwa mazuri kwa nchi yake Zimbabwe!, Hili limjamaa, bonge la Zimbabwe, limekuja hapa nchini kwetu mara 4, likitua airport yetu kwa private jet yake na...
Back
Top Bottom