Mtandao wa Whatsapp sasa kuwa na ujumbe unaotoweka, kipengele kilichoundwa kuwawezesha watumiaji kuondoa nyayo zao za kidijitali (Digital footprint).
Sasisho hilo ambalo limeanza kutoka Alhamis, watumiaji wataweza kuweka chaguo kwenye jumbe yeyote, inaweza kuwa kwa mtu mmoja mmoja au kundi...