wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wezi waiba daraja India

    Kundi la wezi likiwa na vifaa vizito nchini India wameliiba daraja la chuma lenye uzito wa tani 550.Tukio hili limefanyika kwenye mto wa Ara Sone jimbo la Bihar . Wezi hao walifanikisha wizi huo kwa muda wa siku tatu wakianza shughuli zao kuanzia saa moja na nusu kila siku huku wakiwa wamevaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu wale wezi waliotundikwa na Yesu walivunjwa miguu

    Inasemwa kuwa mtu akitundikwa huwa anatumia miguu yako kujunyanyua juu anapopumua. Sasa ili kuwafanya wafe haraka ilikuwa ni kawaida kuwavunja miguu ili washindwe kupumua vizuri na kufa mapema. Karibu watu wote waliotundikwa walifanyiwa hivi. Lakini walipofika kwa Yesu wakakuta tayari...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ijue sanaa ya wezi (Vibaka na majambazi)

    Je, ulishawahi kutumia japo dakika chache kuwaza 'Saikolojia ya wezi? Wizi ni sanaa ya kuchukua kisicho halali yako! Wizi ni sayansi ya kujimilikisha visivyo vyako! Je; Inakuwaje mtu anakua mwizi? Chimbuko kuu la wizi ni DHIKI, TAMAA au MATATIZO YA KISAIKOLOJIA Chimbuko la kwanza la wizi...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bei za Mafuta zinakoshuka watawala wao siyo wezi

    Haya yanatokea sehemu nyingi duniani. Jukumu la serikali ni kuwahami wananchi wake. Inatokea Zambia, Rwanda na kote ambako maslahi ya wananchi yamewekwa mbele. Kuwa viongozi wao si wezi, pana hata haja ya kuuliza? Kwa hakika tulipo, hitaji la kuwa na katiba itakayo tuhakikishia tuna watu...
  5. JamiiForums Tanzania Wezi walichonifanyia usiku wa kuamka leo

    Baada ya kumaliza kuangalia tuzo za muziki, nikalala naamka asubuhi hii nakuta wezi wametembea na Tv yangu. Hapa natafuta nauli niende Bagamoyo au Pangani au Kwamsisi Tanga. Wezi wanarudishabsana maendeleo nyuma.
  6. JamiiForums Tanzania Tanesco Tabata Mnashirikiana na Wezi. Hili tumelifahamu msibishe!

    Tabata hasa huku maeneo ya Chuoni St. Marys, Camp, Bima n.k Mmekuwa mnakata umeme usiku ili wezi watuibie kila mara. Leo mlikata tena wezi wakaruka ukuta ndani kumbe mimi sijalala. Hiii kesi wengi wanasema ni Ushirikiano mwema wa TANESCO na Wezi. Mnakata bila sababu za msingi kila siku usiku na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya PIGA BET ni wezi wakubwa mmeamua kuniibia pesa yangu

    habari wakuu, kampuni tajwa hapo juu ni kampuni ya kubett ijulikanayo kama piga bet ambayo inajihusisha na michezo ya kubahatisha, jana jioni nikapata pesa yangu sehemu ,nikasema ngoja niizalishe basi nikaweka kwenye acc,nikabett live matches match zikaisha zimetoa kasoro moja tu. nikasubiri...
  8. JamiiForums Tanzania Baadhi ya madereva pikipiki (bodaboda) ni wezi, chukua tahadhari

    Yaani wanapaki pembeni na barabara au karibu na kituo cha daladala wakipata abiria mnaelewana vizuri tuu na anakupeleka lakini akifika sehemu iliopo bar anasimama anatoa simu yake kujifanya anampigia mtu halafu anairudisha mfukoni kisha anakuambia "naomba simu yako nimcheki jamaa"hapo anataja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

    Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake. Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi.. Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...
  10. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Baa hii iliyopo Tabata Kinyerezi ina wadada wezi

    Ndgu zangu tunao simama kwenye hizi Bar tuweni makini Ilikuwa hivi. Nilisimama kinyerezi mwisho njaa ilibana Sana. Nikaona magari na wateja wasimama na wanakula Wababa wamejikalia wakila na kunywa. Kwa kuwa ilikuwa jumamosi nikapark pembeni mbele ya bar tajwa. Nikiwa nasubiri oda ya chakula...
  11. JamiiForums Tanzania Wezi ni wa kuchoma moto kabisa

    Wakati nipo mdogo chekechea tulikuwa tunakunywa chai shuleni. Sasa bibi yangu alikuwaga ni nesi hospitali. Kule hospitali alikuwa anafanya kazi kitengo cha lishe ya watoto. Ilikuwa kila jioni anarudi na maziwa na mikate tunajichana. Sasa siku moja amerudi na mkate wakasema ungine utunze utanywea...
  12. JamiiForums Tanzania Leo nimeelewa ni kwanini watu huwafanyia wezi ukatili

    Kwanza nianze kwa kusema, kama adhabu za dhambi zinatolewa kwa uzito, basi baada ya Muuaji basi angefuatia mwizi/kibaka na wote katika kundi hiloo. Sasa nimeelewa ni kwa nini watu hua na roho za kikatili juu ya watu hawa, ni kwa maumivu waliopata. Mtu unatafuta pesa kwa njia halali na ngumu...
  13. JamiiForums Tanzania Maandamo ya kuikomboa Tanzania kutoka kwa CCM ni sasa

    Muda wa kuwaambia CCM & co kwamba imetosha ni sasa na si wakati mwingine wowote tena. CCM hii iliyochokwa hadi na Viongozi wa taasisi za Ulinzi kuiondoa madarakani ni sasa tena kwa fedheha kuu! Iwe Chadema ama wapenda haki popote walipo shime tuunganisheni nguvu kuwaondoa hao nduli!
  14. JamiiForums Tanzania Wezi waiba daraja Ohio!

    Katika hali ya kustaajabisha, nchini Marekani kumetokea wizi wa aina yake; ambapo wezi wabobezi wamefanikiwa kuiba daraja. Nisikuchoshe, jisomee mwenyewe. ====== Police in Akron, Ohio are baffled by the theft of an entire 58-foot bridge. The bridge had been sitting in a field awaiting...
  15. JamiiForums Tanzania Kesi ya mwizi wa mafuta Kigamboni imefikia wapi?

    Naombeni kujuzwa maana mpaka Sasa hivi naona kimya tu sijui Kama walikamatwa wakapelekwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Maana kwa kweli kuiba mafuta sio tukio dogo linahatarisha usalama wa watu mafuta ni hatari sana. Kukaa kimya kwa Serikali inatupa mashaka Sana kuhusu utendaji wa...
  16. JamiiForums Tanzania Vodacom ni Wezi?

    Tangu Vodacom Tanzania wapunguze Bundle wamekuwa na tabia ya kutokutuma ujumbe wa kiasi cha bundle ulichonunua, thamani yake na muda wa matumizi! Nimejaribu kuwasiliana nao bila mafanikio. Jana nikajiunga tena na bundle ya week ya Tzs 3,000 ila sijapokea SMS tena inayoosha thamani, kiwango na...
  17. JamiiForums Tanzania Mbagala, Dar: Polisi yawanyakua watu 27 Walioiba Saruji kwenye ajali

    KUKAMATWA WATU 27 KWA TUHUMA ZA KUIBA MIFUKO YA SARUJI BAADA YA AJALI YA MALORI MBAGALA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es salaam linawashikilia watu 27 kwa tuhuma za kuiba mifuko ya saruji baada ya ajali ya malori mawili eneo la Mbagala Mission. Mnamo tarehe 04/10/2021 saa 04:30 asubuhi eneo...
  18. JamiiForums Tanzania POLISI NAO WEZI TU

    Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine. Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki. Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari...
  19. JamiiForums Tanzania Aina Mbili za Wezi katika Jamii Zetu

    Kuna aina mbili za wezi katika kila Jamii. 1. Mwizi wa Kawaida 2. Mwizi wa Kisiasa Mwizi wa kawaida huiba vifuatavyo Pesa, mkoba, saa ya dhahabu n.k. Lakini, mwizi wa kisiasa huiba future yako, career yako, elimu yako, afya yako, biashara n.k. Kinachochekesha zaidi ni kuwa mwizi wa kawaida...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…