wezi

WEZI (102.9 MHz "Easy 102.9") is a commercial FM radio station in Jacksonville, Florida. It airs an adult contemporary radio format and is owned by Atlanta-based Cox Media Group.
The station's studios and offices are located on Belfort Parkway in Jacksonville's Southside district. The transmitter is off Hogan Road in the Arlington neighborhood. WEZI is a Class C FM station, running at an effective radiated power (ERP) of 100,000 watts, from a tower at 1,014 feet (309 m) in height above average terrain (HAAT). Its signal stretches from the Georgia coast to south of St. Augustine, Florida to southwest as far as Gainesville, Florida.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natamani sana Kumjua huyu 'Mwamba' aliyebuni hizi Mbinu Mpya za 'Kuua' Vibaka / Wezi Wasumbufu Uswahilini

    Ya Kwanza ( #1 ) Kibaka / Mwizi anabebwa na Watu Wawili tu kama Maiti inavyoingizwa katika Jeneza kisha ANATIKISWA ( ANACHEKECHWA ) mara Saba ( 7 ) kisha anaachiwa na baada ya dakika 15 tu anawahishwa Mochwari iliyoko Jirani nae Kusubiri Kuzikwa. Ya Pili ( #2 ) Kibaka / Mwizi akikamatwa tu...
  2. Myebusi Mweusi

    JamiiForums Tanzania Nataka nijifunze uchawi, niwaadhibu wezi wa mali ya umma, maana CCM inakumbatia wizi kupitia ofisi ya DPP

    Sio huu uchawi feki wa Mshana Jr, nataka uchawi wa kuwaadhibù wote wenye dharau na mashauzi nchini. Naanza na wale waliochota mahela ya umma na uchafu wao umeorodheshwa kwenye CAG report. Siwatoi mabusha, nawamaliza kwa mateso makali. DPP ni nani hadi anawakumbatia wezi wasichunguzwe na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kusema serikali ya CCM ni wezi?

    Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega? Ukiambiwa andika ufanisi wa serikali ya CCM utawatambulisha Kwa kauli gani Kati ya hizi hapa juu?
  4. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania KAHAMA: Wezi waiba sadaka msikitini, waacha msiba kwa familia ya mlinzi

    Watu wasiojulikana wamemchinja mlinzi aliyekuwa akilinda katika msikiti wa Shree Hindu Mandal Temple uliopo mjini Kahama kisha kuiba sadaka na kuharibu vitu vya thamani vilivyokuwa kwenye msikiti huo na kutokomea kusikojulikana. Mlinzi huyo aliyefahamika kwa jina la Bakari Karasani (46) ambaye...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Serikali isipowakamata na kuwafikisha mahakamani wezi wa mabilioni haya basi wafungwa wote magerezani waachiwe, wanaonewa!

    Nina uhakika hakuna mtanzania anapenda kuonewa, lakini hii tabia ya Kila mwaka CAG anaeleza mabilioni yanayopigwa na wahusika wanaendelea kutamba na v8 mabarabarani ni uonevu mkubwa. Kuna watu wanasota sana magerezani kama kina sabaya na wezi wa dagaa na kuku au tv na redio hakuna haja ya...
  6. Mystery

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais wetu kwa kuwazomea hawa wezi wa Mali ya Umma bila kuchoka

    Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya pesa. Hivi Hawa watumishi wachache wa Umma, wanatuona watanzania wote kuwa ni wajinga? Hivi hizi...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Tunapolalama badala ya kuwakomalia wezi wetu

    Hili lilikuwa letu. Hili halikuwa la Samia, Majaliwa wala Kadogosa. Wenye nchi tulikuwa sisi. Tena si wa wakulalama. Bali kuwafurusha wote na kuwataka kurejesha vilivyo vyetu na viboko juu. Haya yametokea Rais yupo? Waziri mkuu yupo? Kadogosa yupo? Kumbe walikuwa na kazi gani? Maajabu ya...
  8. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mafundi wengi ni wezi na matapeli

    Mafundi wengi hawana elimu wanatumia ujuzi wao wa wizi na utapeli kula hela ya mteja,ata kwenye semina za wajasirimali uwezi kuwakuta . Mafundi umeme nyie ndo wezi kabisa wa kuwaibia maboss vifaa vyao,mna list kweny mahitaji ya vifaa ata vitu visivyokuwepo boss usipokuwa makini ahh umeisha...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wezi wanazidi mitaani, wanaiba mchana kuliko usiku kuweni makini

    Kwa jinsi maisha yanavyozidi kuwa magumu, kumeibuka kundi la wezu wengi wao wadogowadogo vitoto kabisa ambavyo vinaiba sana Pesa Na vitu vidogo kama simu. Wanachofanya, wanajua nyumba nyingi za kupanga mida ya mchana hukuti watu wameenda kwenye mihangaiko yao. Unakuta nyumba mchana ipo kama...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na DC Mwanukuzi kupinga wezi wa kuku kufungwa wezi wa mamilioni serikalini kubaki ofisini

    Naungana na Andiko la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Bassila Mwanukuzi kuhusu wezi wa kuku kufungwa na wale wa fedha za umma kubaki ofisini. "Wale watumishi walioisababishia serikali hasara ya mamilioni kwa ajili ya ubadhirifu na ambao chini ya uongozi wangu tulichukua hatua kwa muujibu...
  11. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Wezi wa kuku wanachomwa kwanini mafisadi yalipoadhibiwa na Magufuli watetezi wao walifurahia

    Yaaani Kuna watu wanaiba kuku na vitu vidogo vidogo mitaani wanachomwa moto wengine kupigwa vibaya Sana iweje waliofoji vyeti washughulikiwe iwe nongwa iweje watendaji wazembe washughulikiwe iwe nongwa kwa mafisadi na watetezi wake. Magufuli alilegeza kamba alitakiwa awe mkali zaidi na...
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Biswalo ana mamlaka ya kimaadili kutoa hukumu? Yaani na yeye huko aliko anafunga wezi na wanaotumia mamlaka vibaya?

    Sipati majibu. Hivi kweli Sasa hivi ninapoandika hii post JF, Jaji Biswalo anaenda mahakamani, anapigiwa saluti, anasikiliza kesi za wezi, wanaotumia mamlaka vibaya, halafu anawafunga? Kweli kabisa? Mtu ambaye ametapakaa Kila aina ya tuhuma, anaenda kuwafunga watu ambao alitakiwa awe nao...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sakata la Plea Bargain limenikumbusha Kisa hiki cha Wezi

    SAKATA LA PLEA BARGAIN LIMENIKUMBUSHA KISA HIKI CHA WEZI Anaandika, Robert Heriel Nyakati nasoma, nakumbuka shuleni kulikuwa na magenge ya Wezi. Kila shule inamagenge ya aina hizo. Yapo magenge ya Siri na yale ambayo yapo waziwazi. Ingawaje wapo Wezi binafsi WA kujitegemea ambao hufanya...
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mama Mabula kaa chonjo hapo Ardhi, kuna genge la wafanyakazi wezi na waporaji viwanja!

    Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula. Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja. Suala linaanzia hapo kwa Msajili wa Hati. Mafaili ya viwanja yanapotezwa na kuna nyakati mafaili yanakuwa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

    Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali. Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa. Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tumekuwa na Marais Wezi

    Akizungumza katika Mkutano wake wa kwanza wa Hadhara, Tangu arejee kutoka nje ya nchi alikokimbilia kunusuru Uhai wake, Lissu amedai kwamba Nchi ya Tanzania inaongozwa na Marais wezi. Akikazia madai yake, amesema kwamba, kama kuna mtu anadhani anasema vibaya aende akasome Kitabu cha Rais...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Unyanyasaji wa kibinaadamu hasa kwa wezi siyo mzuri

    Habari za asubuhi wana jamii! Hope mko poa na Xmass ilienda good. Kuna jambo limenitatiza kidogo kuna kijana amekamatwa akiiba nyumbani kwa jirani hapa, ila cha kushangaza badala ya kumpeleka polisi wakamfungulie mashtaka wameishia kumtesa, kumdhalilisha na kumnyanyasa. Wamekoroga cement na...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Wanaochomwa moto kwa kuiba siyo kweli wote ni wezi

    Jana limenitokea tukio la kusingiziwa utapeli, ilikuwa hivi: Nilikuwa bar fulani mchana wa saa 10 karibu na ofisi kwetu napumzika, sasa nikaishiwa hela nikamwambia muhudumu naenda kuchukua 10000 nimeiacha ofisini me nikaondoka. Nikafika ofisini baada ya kama dakika 6 nipo kwa nje anakuja dogo...
  19. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini mikoa ya Pwani ya Bahari pamoja na Zanzibar wezi hawapigwi sana?

    Mikoa hii mwizi anaweza kujieleza kwanza, anaweza kukanywa, kupelekwa kituoni ama ikitokea kupigwa ni dozi ya kati tu. Tanga Pwani Pemba Unguja, Dar kwa zamani ila sasa wageni wengi sana. Mikoa mingine hata wahuni wakikuitia mwizi umekwisha, hakuna muda wa kukusikiliza, watu wanakusanyika...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wananchi wafikia hatua kulinda ugali wezi wasipite nao

    Ukweli ni kwamba hali hairidhishi kijijini Msaranga wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro kutokana na upungufu wa chakula Anayelalamika hali iliyotawala, Pulceria Marandu, mkazi wa Kitongoji cha Kwasuva kijijini Msaranga, anatumia kauli: "Ukipika ugali, ukienda chooni au kutafuta sahani chumbani au...
Back
Top Bottom