Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Hapo vip!!
Wasichana au wanawake wengi wanabaki masingle mothers na kutelekezwaa kwasababu anakuwa kwenye mahusiano na mwanaume anayempenda..wanawake wengi huwa wanawazaliwa wanaume wanaowapenda wakifikiri ndio njia ya kuolewa kumbe ameamua mwenyewe kuwa single mother kwasababu mwanaume anamuoa...
Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
Hii hapa ritual rahisi ya kujisafisha kiroho nyumbani – salama, ya asili, na yenye nguvu ya kiroho:
---
VITU UNAVYOHITAJI:
1. Chumvi ya kawaida au ya baharini (chumvi huchukua nishati hasi)
2. Maji safi
3. Mafuta ya mkarafuu, mizeituni, au lavender (kama unayo)
4. Mshumaa mweupe (ishara ya...
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
Heri nusu shari kuliko shari kamili
Punyeto na porn ni mambo mawili ambayo yamekuwa tatizo kubwa hasa katika zama hizi za teknolojia za smartphones unazoweza kutumia ndani ya blanketi, chooni, vyumbani, n.k..
wengi wanaopiga punyeto wamejikuta wakiingia kwenye uraibu mwengine wa kuangalia...
Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa kwenda home ikabidi ni lale kwa kochi yeye alale kitandani.
Baada ya muda akaniamsha akidai...
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila shilingi moja iliyowekezwa na wanahisa, kampuni inaleta faida kiasi gani?”
📌 Jinsi ya kuipata ROE...
Sisi tunazidi kuchochea kuni..
Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale!
Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote..
Haya ni zamu yako sasa..
Sisi tumeandaa bando na VPN tayari..
Nireteeeni Gwajmaaaa
Mlinzi wa wanyamapori alikuwa na wakati mgumu sana chui mmoja aliporukia gari lake aina ya Jeep na kuanza kunusa huku na kule.
Alijitahidi sana kutomtazama machoni hadi chui huyo aliporidhika na kuondoka bila kumdhuru
Jumapili ni Njema wana JF Mungu ni Mwema na kwa wale wenye changamoto kubwa tuendelee na Novena.
Niende kwenye Mada kwa ufupi,
Wadau wote tumesikia majina yametoka wataokuwa wabunge kupitia CCM katika Bunge lijalo kwa uchache;-
Baba Levo- Kigoma Mjini
JOSHUA NASSARI- Arumeru Mashariki
Kuna...
Nahisi watanzania tuna katabia ka kusahau ila internet itawakumbusha.
Huyu mpuuzi ndio CCm inaweza kumpa hata msemaji wa nchi kuijibu USA.
Kama mnakumbuka mafuvu alikuwa anatolewa povu na masha love eti leo anaweza kujibu mada za pole pole aisee .
Hii nchi bwana
Habari Wadau:
Inafahamika kuwa kila binadamu ana kile anachokipenda zaidi, na asichokipenda zaidi katika vyakula na matunda..
Kwenye upande wa matunda nayapenda mengi tuu, ila katika hayo yote kuna tunda nalipenda zaidi na bahati mbaya sikutanagi nalo mara kwa mara,
Tunda lenyewe linaitwa...
Umekuwa huku, umekuwa kule:
Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu?
Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana.
Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe?
Nyerere alikuwa huyu:
Mheshimiwa, kumbe wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.