wenzangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
  2. a sinner saved by Christ

    Wahubiri Wenzangu, tuhubiri utakatifu

    VIONGOZI TUHUBURI UTAKATIFU 1)Ipo kauli moja ambayo ambayo inapendwa sana na waamini wanaopenda sababu ya kuhalalisha kwao kudumu kuishi kudumu katika dhambi 1)kauli ya kwanza wanayoipenda sana kuisikia DUNIANI SISI WOTE TUNA DHAMBI HAKUNA ASIYE NA DHAMBI 2)Kauli ya pili inayopendwa ili...
  3. ELI COHEN

    Baadhi ya misemo ya makapuku wenzangu

    "aah wapi, hayo mapiza na mabaga wanayokula na mimi ninae kula matembele vyote vitaishia kuwa mavi tumboni" "usione mtu amekuwa tajiri kiasi hicho wewe, watu wanalala na nyoka kitandani, wewe unaweza?" "usione dar hii watu wengi hali ngumu, lile sanamu la askari pale posta ndilo linalonyonya...
  4. T

    Vijana wenzangu changamoto ni nyingi sana katika maisha

    Wakuu mambo vipi wadau kwema niaje aseee, mko poa wote, Sasa wakuu nilikuwa na changamoto imenikumba muda wote naomba mnisaidie kiasi chochote tu kinisave mdogo wenu wakuuu🙏jioni hii 0674615883 mbarikiwe sana
  5. H

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  6. Kimbesa11

    Nawatakia Christmas njema Watanzania wenzangu

    Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya •tuache matendo mabaya, •tulipe Kodi, •tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI •tuache uchonganishi na upotoshaji, • tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu, • tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa...
  7. Miguel255

    Mimi na Wapangaji Wenzangu

    Kwa majina naitwa Emma (Sio jina langu halisi), nina miaka 30 sasa nina mke na mtoto mmoja - Maria (sio jina halisi pia). Nampenda sana binti yangu, yeye pamoja na mke wangu ndio sababu ya mimi kupambana kiasi hichi. Wakishiba, wakivaa vizuri mimi ndo furaha yangu. Nafanya hivi kwasababu sitaki...
  8. Think2

    Gharama za kutoka na Mchepuko

    1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  9. Avith almachius

    Natamani sana kuungana na Vijana wenzangu katika kulipambania Taifa ila.....?

    VIJANA wenzangu Kuna mambo yanaendelea na yametokea na yanavunja moyo Sana Tena Sana katika nchi yetu Kama isemavyo Vijana ni TAIFA la kesho Nataman Sana niwe miongoni watakaoibadilisha kwa kulipigania In any means. Ila nashindwa kwasababu Sina mtu atakaekuja na kusimulia baba alifanya ichi na...
  10. K

    Watanzania wenzangu hii ishu ilipangwa ikapangika

    Kwanza nasikitika sana kwa yaliyotokea Pili nataka kusema inchi yangu au yetu haiko salama. inaonekana Abduli na genge lake walipanga kuja kuwauwa wandamanaji kwa mgongo wa maandamano ili kulipa ya mauaji yaliyotokea Zanzibar wakati wa Mkapa Uwe Chadema au CCM hatuko salama tena maana uongozi...
  11. L

    GE2025 Nawahakikishieni Watanzania Wenzangu Rais Samia Hatawaangusha Wala kuwakatisha Tamaa

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwahakikishieni ya kuwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya...
  12. Hance Mtanashati

    Uislamu hautaki mtu dhaifu. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu

    Mimi ni muislamu. Uislamu hautaki mtu dhaifu Pia ni mwanaume , najivunia kwa hilo. Nipo tayari kuungana na wananchi wenzangu. Tusiangushane. Hatuna muda mwingine zaidi ya huu. Tukipoteza hii nafasi hatutoipata tenaaaaaa.
  13. kiss ov love

    Usiku mnakulaga nini wenzangu?

    Hey guys, je ni sawa hivi vitu kula usiku? Nyie wenzangu mnakulaga nini usiku?
  14. kadiri kasimba

    Hivi Karne hii wapo wanaume wa hivi?

    Tatizo la kutokuhuzuria vikao ndo Haya sasa, Wanaume na nyie baadhi yenu Kuna kaushamba flani mnako Tena kanaboa saana ndo maana hata mnavyo tongoza wadada wanawakataa ......mfano mtu..... 👇 anakuja inbox 📥 anakwambia dada mambo ...wajibu poa....anakuliza unakaa wapi....wamjibu pengine...
  15. M

    Wana simba wenzangu kuleni kwa wingi karanga mbichi, mihogo na kupaka mkongo ili tukampe kichwa Ally Kamwe

    Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti wa bodi aaaah na vumbi la mkongo napaka ili kichwa kimeremete.
  16. Liverpool VPN

    Hivi watumishi wenzangu mnawezaje kupata utajiri wa kuwa na mihela mingi!

    INTRODUCTION:- Yaani nina ""fazaaa"" na mawazo hata kusalimia naona NAPOTEZA MUDA tuu...!!! Hebu twende hoja.. Watumishi wa umma ambao ni matajiri hebu njooni hapa ndugu zangu..!! Kabla ya yote si unajua humu hatujuani, WE FUNGUKA TU UNIPE ABC NDUGU YENU. Hivi mtumishi wa umma anakuaje na...
  17. Isenye

    Hivi nyie wenzangu huwa mnawezaje kula viporo?

    Siko hapa kumbeza yeyote, ila kuna kitu mimi binafsi kimenishinda kabisa katika maisha yangu. Huwa naona na kusikia watu wanasifu kiporo cha wali maharage au wali kisamvu na chai ya maziwa eti ni kitamu sana. Mimi binafsi toka nikiwa mdogo chakula chochote kilicholala huwa siwezi kukila,yani...
  18. ELI COHEN

    Vp wana manyuuu wenzangu, bado mna imani na kocha amorim?

  19. Chizi Maarifa

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe

    Wana CCM wenzangu tutulieni kwanza tupewe Mwongozo namna ya kumjibu Polepole. Tunaruka na kukanyagana wenyewe. Jamaa ameharibu sana. Sasa tusikurupuke tu tunazidi kujidhalilisha. Tunaonekana vilaza. Simu zinapigwa kuwaomba watu wa IT wajaribu kutupa maelekezo ya kulifukia hili. Ninyi vilaza...
  20. Seran

    Wenzangu Mabinti Sayuni: Mnawezaje Kuishi Single bila Kuanguka Dhambini?

    Naombeni kuuliza kwa unyenyekevu, mabinti Sayuni wenzangu mnawezaje kuendelea kuishi mkiwa single bila kushiriki dhambi ya uzinzi? Mimi binafsi najikuta kama ni vita ngumu, hasa wakati mwingine hisia zinapozidi. Je, mnaweza kushiriki mbinu au njia mnazotumia kudhibiti mwili na hisia hadi pale...
Back
Top Bottom