Ukiangalia hali na mwenendo wa siasa za Tanzania, hususani inavyochukuliwa na wenzetu huko ughaibuni, ni wazi viashiria vya mageuzi ya kulazimishwa, vinamea
Wanao sababisha viashiria hivyo kumea ni Mange, Maria na wenzao wasio choka kushirikisha taarifa ima hasi ama chanya zihusuzo matukio...