Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba.
Day 05
Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.
Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?
Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati wa tendo na ivyo kusababisha mahusiano yaishie ICU.
Nani wa alaumiwe kwa haya na nini kifanyike...
Kama sisi ni nchi moja kwanini tunaweka sheria za kibaguzi. Tuka uhuru sasa Zanzibar kuna wabara na bara kuna wanzanzibari sasa kuna sababu gani ya kulazimisha mgombea Uraisi kuchagua mgombea mwenza kutoka upande fulani!.
Je ina maana bado tuna ubaguzi wa Muungano mpaka leo. Je sio wakati wa...
Wakuu,
ivi kuna kipindi tuliambiwa tupo uchumi wa kati tulifikaje? kwa sera hizi hizi au kuna zingine mpya
=======
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo, Mkoa wa Kigoma, Kiza Mayeye ameshangazwa na hali duni ya uchumi ilhali bungeni wabunge wamepitisha sheria ya mafao kwa wake wa Viongozi wakuu.
Ugonile,
kwenye mahusiano usiombe ukakutana na kiboko yako, unaweza ukageuka mwehu.!!
Kama ambavyo kwenye maisha kuna wale ambao Mungu kawapendelea yan kila wanapogusa panaitika kiufupi hawajui shida basi kwenye mapenzi pia wapo, yani wao suala la kuteswa na mapenzi ni never au la kidogo sana...
Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako."
Ameyasema...
Unakuta mtu ana masharti kama IMF hadi unakereka.
Ukiingiza yote anakwambia so hivyo. Toa nikuelekeze unatoa anakuambia haya weka hapo juujuu tu.
Ukienda kasi kidogo tu anakwambia aah so hivyo bwana.
Mwingine unamkuta mbonge la mshepu tacotaco unamwambia akae doggy style anakugomea kabisa...
Watu wanaposema ‘ndoa ya kale,’ najua wanamaanisha ‘mapenzi ya kipekee.’ Sasa, nini kinatufanya tuone kuwa kupenda Mshangazi ni jambo la ajabu? Labda ni wakati wa kufikiria upya, kwa maana umri ni namba tu!,Kwa nini tupoteze muda tukisema ‘umri ni kikwazo’?
Wakati mwingine, mapenzi ya kweli...
Salaam jamiiforum
Si ajabu kuona vijana Kwa wazee wanapishana katika madanguro au sehemu wanapojiuza wanawake.
Yaani vijana umri wa miaka 21 hadi 35 lakini pia kuna umri huu 35 mpaka 55 wote hao wanapishana na kupeana koneksheni ya madanguro (machimbo) mapya.
Hii yote inasababishwa na...
Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi?
Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
Jamani nawaletea fursa za kuwafanya mfurahi kila wakati na kuwa sawa katika maisha yenu ya safari ya mahusiano yenu, hapa serval wildlife watu wengi hutamani kutembelea na kulisha wanyamapori na kuwafahamu, kupata historia na kupiga picha za kuvutua.
Hii si yakukosa wapendwa wangu hapa ukifika...
Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya.
Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti yanayoleta majuto.
Msione watu wanakamatwa wanabaka wajukuu zao mkadhani wote wanapenda, kuua damu...
Tafiti zinaonesha kuwa ni 2% tu ya waliopata wenza wa ndoto zao. 98% mmoja au wote 2 wanaishi na "ili mradi ni mke/mume", baada ya kukosa kwa sababu mbalimbali ywale waliowatarajia akilini mwao .
Wengi walitaka kumpata mwenzao mwenye package hii: msomi, tajiri, mrefu, mweupe, umbo namba 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.