wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

    Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe. Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Kigwangalla: Chama kimerudi kwa wenyewe

    hamisi_kigwangalla SEKRETARIETI ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapindunzi (CCM), ikiongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi @daniel_godfrey_chongolo jana imehitimisha ziara ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025 na kuimarisha Chama mashinani katika mikoa ya Kagera...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli za MANARA!! Ilishaatoka hiyo!! Na ndiyo ukweli wenyewe!!

  4. JamiiForums Tanzania Apple kuwapa watumiaji wake uhuru wa kutengeneza simu zao wenyewe

    Kwa muda mrefu Apple imekuwa ikizuia wateja wake wasijitengenezee simu, Macs au vifaa vya Apple; au kutumia mafundi ambao hawajasajiliwa na Apple. Hali hiyo ilipelekea Apple kufunga na kuzuia watu wasirekebishe simu kwa mafundi wa mitaani ambao sio authorized na Apple. Kutokana na baadhi ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Sabaya kapprove kwamba takribani 50% ya wabunge wa CCM hawakushinda na wenyewe wanajua hilo. Walitangazwa kwa ubabe na hila

    Mi naamini wabunge wa chadema wote wa dar walishinda ispokuw temeke ambapo ni ngome ya ccm. Wakurugrnzi waliambiwa watangaze wanaccm hivyohivyo come what may. Mfano imedhihirika wazi mbowe alishinda ila kwa vile sabaya aliagizwa kwa kazi maalumu ya kuchinja, kuteka na kuua isingekuwa rahisi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wengi wanasikiliza, kusoma na kufuatilia akaunti za wapinzani na activists kuliko akaunti zao

    Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
  7. JamiiForums Tanzania Tusimtafute mchawi, Upinzani wa Tanzania unakwamishwa na Wapinzani wenyewe

    Habari zenu ndugu zangu, Wana JF wenzangu, kuna watu wamekuwa wakijiuliza kwamba inakuaje nchi kama vile Malawi, Kenya, Zambia na kwingineko wapinzani walifanikiwa kushinda chaguzi mbalimbali na kuvitoa vyama tawala katika madaraka, huku kwa Tanzania hilo limeshindikana. Jibu ni kwamba wakati...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tuweke rekodi sawa majina yenu mlijipa wenyewe. Haji Manara is taking you for a ride

    Naona Haji Manara ngozi anasifiwa leo eti kawapa jina simba wanaitwa makorokoro fc, hivi huo ndio ubunifu aliowahiidi? kabla hata hajaja huko si mlishajaribu majina kama mikia, simbilisi, utelembwe?? Mnajua ni kwa nini jina la utopolo lilibamba? Mlijipa wenyeweeeeeeee yaaani wenyeweeeee sisi...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yaendelea kuuza majani chai huko Afghanistan kwa Mataliban, mtajua wenyewe na maugomvi yenu

    Kunatisha lakini, ila binadamu walioko huko wanahitaji majani chai yetu, kikubwa sisi tutie ndani mkwanja...... ==================================== The Taliban takeover of Afghanistan is yet to hit the export of tea to that country as most of the commodity is still accessing Kabul through the...
  10. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini Wabunge hushangaa bajeti na sheria za ajabu walizopitisha wao wenyewe Bungeni?

    Moja ya sababu inayofanya wabunge kushangaa sheria au bajeti walizopitisha wao wenyewe ni kwasababu ubunge haujakaa kama taasisi. Ibara 67 ya katiba ya Tanzania inaeleza sifa za mbunge ni kujua kusoma na kuandika.Na ibara ya 63 na 64, kazi ya mbunge ni kushiriki kwenye kutunga sheria na...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge livunjwe, Wananchi tutasema wenyewe mtandaoni

    Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti. Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na ongezeko la bei za vifurushi ambapo ni kelele za wananchi katika mitandao zilizofanya zile bei zishuke...
  12. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025. Uzalendo zaidi unahitajika

    Tozo za miamala ya simu zitasaidia ujenzi wa Shule zaidi ya 10,000; Zahanati zaidi ya 4,500 na vituo vya afya 570 ifikapo 2025, Uzalendo zaidi unahitajika kwani vizuri vinamaumivu, Tupige moyo konde, nikweli pesa hakuna,nikweli mzunguko wa pesa si mzuri sana ila tuwaache wenye pesa walisaidie...
  13. JamiiForums Tanzania Kama viongozi wenyewe ndio hawa wenye mamlaka ya kuzuia au kuruhusu jambo ambo katiba imeruhusu hamna umuhimu wa katiba mpya

    Habari! Hii mada haina uhusiano na uchochezi. Watanzania ni vyema tukapigania utawala wa haki na misingi ya katiba tuliyonayo kabla hatujaisaka katiba mpya. Kama tuna viongozi ambao kwa mamlaka yao wanaweza kuigalagaza katiba hadharani itasaidia vipi katiba mpya? Katiba inaruhusu mikutano ya...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tuliwambia hii Nchi bila wapinzani kuitetea ni kazi bure. Mmeona wenyewe. Msilie sasa kaeni kwa kutulia.

    Ni miaka mingi sana wapinzani tumekuwa tukipigania maslahi ya taifa kwa udi na uvumba. Kwa miaka yote tumekuwa na matokeo chanya ikiwemo kuzipinga bajeti nyonyaji kwa wananchi. Ilifika mahali bajeti pendekezwa za Mbadala kutoka kambi ya upinzani Bungeni zinachanwachanwa kwenye makamera ili...
  15. JamiiForums Tanzania Tozo za miamala : Wananchi wajibu mapigo waamua kusafirisha pesa zao wenyewe

    Dawa ya moto ni moto , Hata kama ni hatari lakini hakuna jinsi .
  16. B

    JamiiForums Tanzania Corona, Katiba - Hatujishangai Wenyewe?

    Mkapa anapoelekea kutimiza mwaka 1 tangu kututoka yafuatayo ni baadhi ya mawaidha kutokea Mkapa foundation: 1. Wanathamini msukumo wa Mama Samia kupambana na janga hili la Corona kisayansi 2. Wanathamini msukumo mpya wa serikali kuelekea chanjo 3. Wanaelezea umuhimu wa chanjo 4. Wanaelezea...
  17. JamiiForums Tanzania Wenye majengo walipe wenyewe kodi ya jengo

    Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui. Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tutafikiaje kujitawala wenyewe tuwe huru?

    Karibuni wenzangu tulongeya moyoni. Nyerere na wenzake walipigania UHURU WA BENDERA, tukaupata. Akasema bado uhuru KAMILI. Je, Tumeshaupata? Kama uhuru kamili bado, ni kwa nini?
  19. JamiiForums Tanzania Watu kuuawa kwenye Hifadhi laibuka Bungeni, Spika amwambia Ndumbaro alikuwepo Kagesheki kabla yake Akaondolewa na Kamati

    Leo Spika wa Bunge, Job Ndugai amempiga mkwara waziri wa maliasili na Utalii kutokana na kukanusha vifo kwenye hifadhi nchini, Spika amesema kabla huko nyuma alikuwepo Kagasheki ambae nae alikanusha lakini baadae kamati ya Bunge ikamfanya aondoke ======== Spika wa Bunge la Tanzania, Job...
  20. JamiiForums Tanzania Ninekuwa na maamuzi, Sabaya ningempeleka Hai niwaachie wananchi wamsulubishe wenyewe

    Huyu bwana kipindi akiwa mkuu wa wilaya ya hai, Nasikia amefanya ubaya uliokithirika. Ameteka watu akawakata masikio, Akawakata mikono akaona haitoshi akawaingizia chupa kwenye haja kubwa. Bwana Sabaya amelawiti mabinti kwa nguvu, amedhalilisha wanawake na mabinti wengi kingono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…