wenyewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali haioni huu utapeli wa wachungaji? Au wao ya kwao mazuri hivyo wananchi watajijua wenyewe?

    Katika haya makanisa ya kilokole unaweza ukacheka sana yale yanayoendelea haswa ifikapo Jumapili. Wale wapambe wa mchungaji wakiliona gari la bei mbaya haraka sana wanawasogeza waumini ili lipite na aliyepo ashuke na aende kukaa katika sehemu maalum. Kwa mchungaji na wasaidizi wake kuliona gari...
  2. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Kufunga Maduka, Halmashauri ya Kibaha yasema “Wanafunga wenyewe, hatujafunga sisi"

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri wanafunga maduka ya Wafanyabishara kutokana na kuwadai malipo ya Halmashauri hiyo, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika. Kumsoma Mwanachama bofya hapa ~ Wafanyabiashara Kibaha tunaishi kama digidigi...
  3. JamiiForums Tanzania Kama Wenyewe tu hamjiheshimu, mnajirahisisha na mnaendekeza mno Tamaa na Pupa ya Maisha, kwanini msiombwe na Mchakazwe hovyo?

    “Sijui kama inawakuta wavulana lakini rushwa ya ngono kwa wasichana ni tatizo kubwa. Inahitaji uwe jasiri na ujue mifumo ya kuripoti”. - Lydia Charles Moyo (31), Mkurugenzi wa taasisi ya @herinitiative alikuwa mmoja kati ya washindi sita waliopata tuzo ya kimataifa ya Global Citizen mwaka 2024...
  4. JamiiForums Tanzania Nape hajatania wala kukosea, huo ndiyo ukweli wenyewe

    Ingekuwa kwenye nchi ya kidemokrasia na inayoiishi demokrasia, Waziri Nape Nnauye angeshapoteza uwaziri na ubunge wake muda huu. Angepoteza kwa shinikizo la wananchi au kuondolewa na Rais aliyemteuwa. Lakini hapa kwetu, Nape bado anadunda na anakejeli kwa kusema eti amechakachuliwa video yake ya...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

    vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa.... mathalani, kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na...
  6. JamiiForums Tanzania Sasa nimeshajua ni kwanini Mataifa jirani kadhaa na hata yanayojitambua ya Nje yanatudharau sana Watanzania japo wenyewe twajiona Wajanja

    “Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na...
  7. JamiiForums Tanzania Profesa Bengesi: Serikali haikuchelewesha Vibali vya Kuagiza Sukari, Wazalishaji wenyewe walichelewa kuvichukua

    BODI ya Sukari Tanzania imekanusha taarifa za kuchelewa kutoa vibali vya uagizaji wa sukari kwa kampuni za wazalishaji nchini, badala yake baadhi ya kampuni hizo zilichelewa zenyewe kuchukua vibali hivyo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Sukari Tanzania, Profesa Kenneth Bengesi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wakiharibu nchi yao wenyewe, acha sisi tupambane na maisha

    Wakati Kenya wanaendelea kuharibu Taifa lao kwa upumbavu wa vijana wachache, sisi tuendelee kujenga Taifa letu. Kuna watu hasa Chadema wanawaza kuna siku nchi yetu itakuwa kama Kenya, niwaambie tu “HAIWEZEKANI”, hii ni kutokana na sababu nyingi hasa za Kisayansi, Kijamii na hata asili ya siasa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwabembeleze wafanyabiashara Kariakoo waacheni watafungua wenyewe

    Sawa nakubali Kariakoo ndio kitovu cha uchumi nchini, biashara zote nchini watu wanafungashia Kariakoo, mapato ya nchi kwa kiasi kikubwa yako kariakoo, nafahamu pia athari za kiuchumi endapo biashara zitafungwa pale kariakoo, lakini kwanini serikali iendelee kulea wapuuzi wanaokwepa kulipa kodi...
  10. A

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gen Z wanajitekenya wenyewe

    Hawa vijana wamejitekenya wenyewe na kujichekesha wenyewe. Kenya Ina wenyewe (Royal families, 1. Kenyatta, 2. Moi(Ruto) na, 3. Odinga) Wewe unatoka Kibera/Mathare unataka kuharibu system ya upigaji ya hizi familia, Ni mzaha
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wachina walalamika waafrika kuwaigiza kwenye mitandao ya jamii wakati wenyewe wakiigiza wanaitwa wabaguzi.

    Ebana wanajamvi inakuwaje? Wachina kwenye mitandao yao ya kijamii wechat na weibo. Wamelalamika, kukasirika na kuja juu kuhusu wimbi kubwa la waafrika kuwaigiza lugha yao kwa vichekesho kwenye mitandao ya kijamii Tiktok, Instagram, Facebook na YouTube. Wamedai wao wachina wakiwaigiza...
  12. JamiiForums Tanzania Tukiwaambia inchi ya wenyewe hii mnabisha

    Hatukuona hata ofisi moja ya serikali ikipambwa angalau na maua tu, wacha taa za umeme zinazokula umeme kutoka kodi za wananchi na waislam wakiwemo kusherehekea sikuku za krismasi na pasaka Mfumo ovu bado upo, kuweni makini Povu ruksa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni magaidi wenyewe ndio wanajifungamanisha na uislam au waandishi wa habari ndio wanaoufungamanisha ugaidi na uislam

    Kuna Propaganda mpya dhidi ya Waislamu. Wako wanaofurahia propaganda hizo. Wako wanaoamini propaganda hizo. Wako wanaolipwa kwa kuandaa propaganda hizo. Propaganda hivi zimaendezwa kwaa media kupitia waandishi Lakini wapo waandishi waliotaka kujua ukweli wa ugaidi. Kuwa ni magaidi wenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Kitu gani maarufu kinautambulisha Mkoa unaotokea bila kutaja jina la Mkoa wenyewe?

    Nadhani kila Mkoa nchini Tanzania una alama yake au kitu fulani maarufu sana kinachutambulisha Mkoa bila hata kuambiwa ukiona unajua tu hii kitu ya mkoa fulani. Twende kazi wadau, nini kinautambulisha mkoa wako?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  16. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

    Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Dr sulle na wengine muwe mnawatafakari wanacho kiongea kama na wenyewe sijui kama wanaelewa wanayo sema

    Sipendi sana kuingia kwenye hizi online Tv sababu nyingi zina watangazaji njaa na taaluma zao. Tuje kwenye mada Dr sulle huyu anaojiwa na kudai Quruan ndio imeleta kila kitu ambayo sehemu kubwa agano la kale limetoka kwenye quruan,Hapo hapo nikakata kuangalia. sijiu kama anafahamu dini ambazo...
  19. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chadema wameamua kujifunga goli wao wenyewe

    Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na wabaguzi. Tayari samia atapata kura nyingii za huruma kwaba anashambuliwa kwa uzanzibari wake...
  20. JamiiForums Tanzania Wanaume, usihangaike kutafuta wanawake, tafuta Hela, hao watakuja wenyewe!

    Unatumia muda na Hela kidogo ulizo Nazo kusaka wadada,mpaka unasafiri Mbali kufuata demu! Unachoma mafuta unazunguka Mkoa Mzima/ wilaya/ kitongoji kisa demu! Elewa kuwa umepoteza muelekeo na nimtumwa wa mapenzi,mhanga wa kupenda Kuliko pitiliza. Unahitaji Maombi uokolewe. Wewe ni cheap and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…