Kwa MTU yoyote mwenye akili timamu ambazo haziongozwi na mihemko atakubaliana na habari hii.
Mkutano ulijaa "show off" KULIKO maana halisi za mkutano. Walienda kutuonyesha uwezo wao wa kutumia resources Vibaya. Kwa mfano, Nani mwanachama mwandamizi wa CCM anayefahamu mabasi Yale, baskeli, Boda...
Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo.
Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi.
Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
Kuna watu wanajifanya wanaipenda Simba lakini hadi hawajachangia hata sumni halafu wao ndio wanajiona mastaa wa kuisemea Simba, ukiwaona mitaani ama uwanjani wanajifanya wao ndio Simba kweli kweli lakini kwenye kuchangia timu wako mbaali.
Timu yetu imewasilisha hoja ya kuchangia adhabu...
Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu.
Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya rejareja au kwemda kwa mawakala wa mikoani au wilayani.
Nataka kufungua duka kwa ajili ya kuuza pikipiki...
Habari zenu wana jamifourm!
Leo nimeona niwaulize kuhusu hili.
Nimeshuhudia baadhi ya wanyama kama Kuku ,mbwa nk, wakipigana na twasira yao wenyewe kwenye kioo.
Je, ni kwa sababu gani Hawajitambui au wana matatizo ya akili?
Inashangaza wana, Mbowe wakuitwa gaidi enzi za Magu, wakuitwa zero wakuitwa muchochezi, mlevi. Leo upande ululeule unakuja na nyimbo mpya za sifa za kinafiki eti Mbowe jembe, mwamba . Nini kimewakuta au kimebadlika?
Huyu Lisu simuelewi mimi, mwanzo alisema alifuatwa nyumbani kwake na Mfuko wa Pesa ili ahongwe aache kumsema sema vibaya Mama yake na Abdul. na ameenda mbali kusema alie mpeleka Abdul ni Ezekiel Wenje.
alishindwa kutecord wakati anashwawishiwa apokee hizo pesa? hata short video ya CCTV...
Habari wakuu.
Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance).
Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis.
Sasa tukienda gereji...
Leo ni wiki inafika na sijapata huduma.
Update :
Leo tarehe 21/12/2024 saa tisa na dakika 35 tanesco wamefika na wametatua tatizo
Asante sana meneja asante sana mdau Sope suazo kwa kunipa namba ya meneja
Asante mafundi walionihudumia
Asante TANESCO
Wananchi wameamua kuwafikia Askari. Katika hali inayosikitisha na ya kuonesha imani imeisha kati kati ya wananchi na Askari. Kumetokea mauaji huko Dodoma.
Tupate habari kamili.
Ninaangalia hapa list ya wale wote waliopewa tenda za kutoa huduma kwenye mradi wa Nyerere nabaki kutikisa kichwa tu. Tenda hizi zilikuwa ni za mabilioni na kwa ajili ya ku-supply kila kitu, kuanzia chakula, vifaa, huduma nk. Sana sana ulinzi ndio naona walipewa Suma JKT. Naona majina hapa ya...
Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia.
Tazama namna shabiki wa CS SFAXIEN alivyompiga kichwa shabiki mwenzake baada ya kuanzisha vurugu za...
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo...
Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru.
1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala.
2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake.
3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
Kwa kiongozi mwenye Hekima yeyote angechukua maamuzi kama aliyoyafanga Assad. Tayari fitina ilikua imeshaingia ndani ya nyumba . Assad angesema apambane ni wazi kungetokea Mauaji ya wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda na Burundi. Naipongeza Urusi na Iran kwa kuuona huo mtego na kumshauri Assad...
Imekuwapo miradi mingi inayoanzishwa kama strategic kufikia dira ya Taifa 2025 pia Malengo ya kidunia 2030 lakini inashindikana kuwepo kwa muendelezo mzuri wa usimamiaji wa hiyo miradi kutokana na Nepotism/udugu/umimi(UCCM).
Kuna matukio mengi ya kuhujumu rasilimali za Taifa,miundombinu na...
Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.