wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania RC Homera: Kuleni Maharagwe aina ya Jesca muongeze nguvu za kiume

    RC wa Mbeya, Juma Homera amewashauri wanaume wenye matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume kuacha kutumia dawa za kienyeji kuongeza nguvu hizo akidai dawa hizo zina madhara na badala yake watumie maharagwe aina ya Jesca
  2. JamiiForums Tanzania Mwakinyo ni miongoni mwa wanamuchezo wenye majibu ya majivuno

    Jamaa muda huu yupo live kwenye kipindi cha michezo cha Sports Extra ya Clouds Fm, anaulizwa maswali anajibu kwa majivuno na kebehi sana! Mojawapo ya swali aliulizwa, Mwandishi: watu na mashabiki wa ngumu wanataka pambano lako na Twaha Kiduku vipi linaweza kufanyika? Mwakinyo: Mimi siwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Anayeweza kuniunganisha na NGO's inayohusika na watu wenye VVU

    Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu ya chuo nimesomea sociology. Naomba msaada wenu
  4. JamiiForums Tanzania Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye Bachelor, Masters na PhD kwa ajili ya kuchukua nchi 2025

    Wapinzani tafuteni watu wasomi wenye bachelor, masters na PhD kwaajili ya kuchukua nchi 2025. Tafuteni wachumi, wanasheria, wanasayansi, mainjinia, wahasibu, watu wasiasa, wanahistoria wenye bachelor, masters, PhD, waandikisheni, jazeni kwenye chama. Fanyeni hivyo, nendeni vyuoni andikisheni...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CCM: Watu wenye ulemavu ni kundi muhimu, tutaendelea kulipa kipaumbele

    NA MWANDISHI WETU. Dar es Saalam KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema serikali ya awamu ya sita imeendelea kutekeleza miradi na programu mbalimbali za maendeleo kwa kuzingatia kundi la watu wenye ulemavu kwa kulijumuisha, kulishirikisha...
  6. JamiiForums Tanzania CCM ni kama ndio wenye uchu wa madaraka

    Habarini wapendwa wadau wa jf. Kiukweli kabasa chama Cha ccm kwa Sasa nchini mwetu kimegeuka kero na kinatia hasira Sana kwa maneno na matendo yao, chama hiki hakijali Tena haki za watanzania walioupande wa upinzani unafikiri Hawa si watanzania, hasa linapokuja swala la madaraka wanaona wao...
  7. JamiiForums Tanzania Wabunge wasio na huruma waliamua tuwalipie kodi wenye nyumba

    Kwamba kwa nyumba za kawaida tutakatwa buku kila mwezi. Waliopanga kwenye magorofa buku tano. Hivi hawa wabunge ni wawakilishi wa wa wananchi? Hakuna jinsi wacha tuwalipie kodi wenye nyumba.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania hatuna selftaught programmers wenye mafanikio makubwa ?

    Tatizo li wapi maana taaluma ni ile ile lakini miaka yote hii hatuna watu kama kina gates & steven jobs
  9. JamiiForums Tanzania Kibonzo; wenye dhamana na mapato ya serikali wanahakikisha makusanyo hayafiki Benki

  10. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  11. JamiiForums Tanzania IGP Sirro ni mjanja, nafikiri kesi ya Sabaya unaleta matokeo chanya kwa wenye Mamlaka

    Herehoa! Kesi inayomkabili Sebaya vyovyote itakavyoisha, iwe Kwa kushinda Kwake au kushindwa kwake lakini imetoa funzo kubwa Kwa wenye mamlaka hasa Wale wanaopewa Amri na kuifuata. Katika maelezo ya Sebaya, alisema kuwa mambo aliyokuwa anayafanya alikuwa akiagizwa na wakubwa wake. Hata hivyo...
  12. JamiiForums Tanzania Wenye kinyaa huongoza kwa kuwa wachafu

    Umewahi kukutana na mtu ambaye ana kinyaa kilichopitiliza? Hali yake ya maisha vipi? Ukweli ni kuwa, sisi binadamu ni wachafu kiasili. Na hii ni kutokana na ukweli kuwa huwezi kuwa msafi kwa asilimia zote. Maisha yetu ya kila wakati yanajumuisha uchafu. Mazingira na miili yetu huzalisha taka...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na...
  14. JamiiForums Tanzania CCM yashiriki kusambaza tabasamu kwa watoto wenye saratani nchini

    CCM YASHIRIKI KUSAMBAZA TABASAM KWA WATOTO WENYE SARATANI NCHINI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Daniel Godfrey Chongolo leo tarehe 15 Agosti, 2021 ameshiriki matembezi ya Km 5 yalioandaliwa na Benki ya CRDB yenye lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya kugharamia matibabu kwa watoto...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, wale wenye dhamana za Kisiasa na Kiutawala mmeshajiuliza ni kwanini baadhi yenu mkipata ajali na kunusurika watu hufurahi na hata kutaka mfe tu?

    Kwa lugha nyepesi tu au kwa maana nyingine hapa nasema kuwa tujitahidi mno kabla hatujateuliwa nafasi yoyote au hata tukiteuliwa tu tuache Kuwatendea mabaya Watu kwani Mungu aliyekuumba Wewe ndiyo huyo huyo kawaumba na Wao. Kuna mahala fulani hivi nimemuona Israeli kama vile anataka Kuondoka na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto ndani ya familia na taasisi za kielimu ni msingi bora katika kuwajenga vijana wenye maadili ,wachapakazi na waaminifu

    Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wengi wetu ni mashuhuda wa kushuka kwa maadili miongoni mwa vijana na watoto wa sasa .Vijana wengi wamekosa nidhamu si kutowaheshimu wakubwa bali hata nidhamu ya kazi imepungua sana kwenye jamii zetu. Watu wengi wamependekeza bodaboda kama...
  17. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuchapa watoto hovyo ni tabia za watu maskini wenye msongo wa mawazo

    Habari!. Watoto wa matajiri hufanikiwa zaidi kwakuwa ni watoto wanaokua kwa furaha. Wazazi wao ni marafiki zao. Mtoto hahitaji majumba ya ghorofa, hahitaji magari ili afurahi. Anahitaji kupendwa na kupewa vizawadi vidogovidogo kabisa. Uswahili watoto wanadundwa sana , wanakaripiwa sana na...
  18. JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure tu na wenye 'Ukweli Mchungu' kwa Wanachadema wote Mitandaoni na Kwingineko duniani

    Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji yao ya kuwa Maarufu Kitaifa na Kimataifa. Yaani Mtu Mmoja kafanya Upuuzi wake tokea Mwezi Septemba...
  19. JamiiForums Tanzania Papa Francis aliwahi kukataa msaada wa fedha wenye tarakimu 666

    Jaribio la Rais wa Argentina Mauricio Macri kutoa zaidi ya dola milioni moja kwa hisani/msaada iliyoungwa mkono na mmoja wa watu wake maarufu nchini Papa Francis alirudishwa nyuma mapema wiki hii, wakati kiongozi wa Katoliki alipokataa zawadi hiyo inaonekana kwa sababu kiasi kilikuwa na nambari...
  20. JamiiForums Tanzania Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…