wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwa bahati mbaya Eminem ni mzungu, hali hii imetufanya watu wenye asili ya kiafrika tuwe wagumu kukubali ukweli yeye ndie mfalme

    Yes, eminem kuna muda anasifia kwamba kuna marapa weusi flani walikuwa anawasikiliza, wanampa morali, n.k lakini hii haiondoi ukweli kwamba yeye ni mfalme, Messi anaweza kumsifia Maradona alikuwa bora lakini haiondoi ugalisia kwamba Messi ndie mfalme, Laiti Eminem angekuwa mweusi angekubalika...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Mjue nabii wa kiafrika aliyemwigiza Nabii Daniel wa kwenye Biblia kuingia katika banda la simba wenye njaa kali

    Huyo mwamba pichani upande wa kushoto alipata kuwa nabii mkubwa sana huko Nigeria kwenye miaka ya 80 na 90. Anaitwa nabii Daniel Abodunrin. Unambiwa mwamba alikuwa anafanya miujiza mikubwa mikubwa , alitabiri mambo kwa ufasaha na alikuwa na wafuasi wa kutosha ambao walimwamini sana. Yote hayo...
  4. JamiiForums Tanzania WanaJamiiForums wenye majina ya kipekee

    Ucheshi kidogo, baadhi ya majina ya kipekee Jamiiforum 1. Kichwa kichafu 2.mpwayungu 3. Wa stendi 4. Bujbuji 5. Prakatatumba 6. To yeye Hayo majina ya ukoo au?
  5. JamiiForums Tanzania Mto wenye mamba ndio hupatikana samaki wengi

    Serikali ya kiongozi mkali, mkorofi, anaewatisha kwanza mumuogope. Anaependa watu wasikooe Wala kumuuliza swali Ina walakini. Hata akikwapua mabilioni mtalazimika kumpigia makofi..anaweza akaenda benki na begi na akamuamuru meneja jaza Hela humu !! Na meneja akazishindilia kabisa. Serikali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  7. JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ugeni wenye faida na uliosababisha vifo vingi

    Takriban miaka miwili iliyopita Dunia ilipokea ugeni hatari bila hodi . Mgeni huyu alitembelea maeneo mbalimbali kuanzia bara la Asia, Ulaya, Amerika ya Kusini na Kaskazini, Australia pamoja na bara letu la Afrika. Kwa nchi yetu, mgeni alibisha hodi kupitia mkoa wa Arusha na Kisha kusambaa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Wenye Dhamana watathmini changamoto za sensa na kutoa miongozo mipya

    Kwa mtizamo wangu zoezi la sensa limekuwa na "poor planning" Mitaani watu wengi inaonekana hawajafikiwa na zoezi hili katika siku ya kwanza ya 23/08/2022. Siku hii ndiyo ya mapumziko, watu wameshinda nyumbani na makarani hawakuonekana. kuanzia tarehe 24, kila mtu atakuwa kwenye shughuli zake...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Hongera Serikali kwa mikopo ya Halmashauri: Kuwepo na elimu zaidi, ufatiliaji na uboreshwaji wa kanuni wenye kuendana na mazingira na uhitaji

    Utangulizi Mkopo ni fedha zipatikanazo kwa makubaliano ya kuzirudisha (maana kutoka kamusi ya Kiswahili sanifu, toleo la tatu-2014). Lakini kuna mikopo ya thamani kama vile nyumba, magari na ardhi. Mpango wa pili wa Taifa wa maendeleo wa miaka mitano(2016/17-2020/2021), pamoja na malengo...
  11. JamiiForums Tanzania Wasomi wenye taaluma ya uchumi mko wapi?

    Tatizo la tozo kuwa nyingi sio makusudi ya raisi wala serikali. Lawama hizi napeleka kwa wasomi wenye taaluma ya uchumi kwasababu wanatakiwa kubuni njia nyingine za mapato na kuwasilisha serikalini. Mfano rahisi ni kuwa, badala ya Serikali kuongeza tozo katika miamala ya simu na benk ilipaswa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bila Naibu spika Zungu "miradi" ingekuwa imekwama leo hii? Tuna watawala wenye roho mbaya sana na wabinafsi

    Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya watu wenye roho mbaya sana wanaotawala wenzao na tabasamu la kinafiki huku wakiwaangamiza...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wenye elimu ya ujasusi: Nini kilitokea hapa?

    Unahisi nini kilitokea? Baba alijua? The daughter of a Russian ultra-nationalist and ally of President Vladimir Putin who argued Russia should absorb Ukraine has been killed in a suspected car bomb attack. Father and daughter had been attending a festival outside Moscow and Ms Dugin had decided...
  14. JamiiForums Tanzania Ambao mlishawahi kudate na watu wenye ulemavu tupeni uzoefu

    Katika circle yangu Sijawahi kuona watu wakiwa na mahusiano na watu wenye ulemavu wa aina yoyote. Si albino wala vilema ila hua nakutana nao wenye watoto. Karibuni mtupe mrejesho mliowahi ilikuaje na mlidumu muda upi
  15. JamiiForums Tanzania Mna kheri wenye mama mkwe mzee

    Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao... Masimango na kuchagulia waume au wake watoto wao(huyu simtaki,huyu Hana Hela,huyu mfupi Sana mbegu mbaya🙄),na kuachanisha ndoa ndo wamekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  17. JamiiForums Tanzania AVN inanisumbua, nifanyaje?

    Habarini ndugu, mimi nimemaliza diploma ya [clinical medicine] CO mwaka jana nahitaji kwenda kusoma degree but AVN number inasumbua kuipata kwenye mtandao nifanyeje ,ama tatizo linaweza kuwa ni nini
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  19. JamiiForums Tanzania Kama wanawake mnataka wanaume wenye pesa Sasa inakuaje mnapata Mimba badala ya pesa?

    In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa . Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0 Wanawake fanyeni Kazi huku...
  20. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Tai 100 wafa kwa kudaiwa kula mzoga wenye sumu Afrika Kusini

    Walinzi waliokuwa kwenye doria katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Kruger, wameripoti kugundua mzoga wa nyati, ambaye alionekana kuwekewa sumu, baada ya hapo walikuta Tai 100 na Fisi mmoja waliokufa kwa kuhisiwa kula mzoga huo Tai wengine 20 waligunduliwa katika eneo la tukio wakiwa katika hali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…