wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Authenticated leaders (viongozi wenye utashi hakika sahihi na wakweli) ndio msingi wa kwanza wa uongozi

    Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Licha ya nchi kuwa na umasikini, wapo wenye afadhali lakini bado wanapigwa gepu na Waarabu/ Wahindi, tatizo nini?

    Pamoja na nchi kusumbuliwa na umasikini, zipo familia ambazo zinaishi fresh, tunaziita mambo safi. Licha ya hali hii lakini bado wageni na Watanzania wachache wenye asili ya nchi za nje wanakimbiza. Ukicheki listi ya matajiri, ambae aliwahi kujitahidi labda kwa mbali ni Marehemu Mengi angalu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kazi wanayofanya vyema Watanzania wenye Phd nikufelisha wanafunzi wazawa; Wapo Maprofesa hata kununua kiti/meza ofisini kwake anasubiri Serikali

    Nakumbuka kufeli kwa wanafunzi wa Sheria mwaka huu na mwaka jana na sababu zilizotolewa na shule ya sheria Dar es salaam. Naangalia inachukua muda gani vyuo vya Tanzania kuprinti cheti cha mwanafunzi aliyehitimu; naangalia inachukuliwa hatua gani kwa wasomi wazembe na wasio na maadili, naangalia...
  4. JamiiForums Tanzania TAMWA Zanzibar yaomba vyama vya Siasa kuunga mkono wanawake wenye nia ya kushiriki katika uongozi

    CHAMA cha waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ) kinawataka Wanawake kuwa wajasiri na kujitayarisha kiuongozi bila kuogopa changamoto zinazowakabili wanawake wanapoingia katika uongozi ili kuongeza ushiriki wao kwenye vyombo vya maamuzi. Idadi ndogo ya wanawake katika...
  5. JamiiForums Tanzania Azam TV yapandisha bei za vifurushi kuanzia Agosti 1 mwaka huu

    Nimepokea sms ya AzamTv kuhusu kupandisha bei za vifurushi kuanzia tarehe 01/08/2023. Mkeka ni kama ifuatavyo;
  6. JamiiForums Tanzania CCM acheni kulalama huku mkijua mnao viongozi wa kisiasa wenye makanisa

    Mama Lwakatare na mbunge wa Kawe wa sasa ni kati ya maaskofu wanaoshiriki siasa na kuongoza wafuasi makanisani! Na viongozi wengi wenye makanisa binafsi ambao hutuambia mungu wao ndiye kamchagua rais na si sisi wananchi! Haya yote hayalalamikiwi. Enzi za Magufuli viongozi wa makanisa binafsi...
  7. JamiiForums Tanzania Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

    Wasalaam nyote, Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya. Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu nahisi naibiwa sio kwa miamala hii. Wenye ujuzi mnisaidie

    Wasaalam! Poleni kwa majukumu, moja kwa moja kwenye mada naomba mnisaidie kwa mnaojua hizi aina za miamala (kwenye picha) Kuna huu muamala CRDB wanaita TMS Cash Withdrawal Desc. Persanal Cash withdrawal Naomba kujua ni muamala wa aina gani maana kuna kiasi cha pesa 300k nilipokea, nasikutoa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu wenye tija kwa jamii ya sasa

    Elimu ni utaratibu unaotumika kurithishana ujuzi kutoka kizazi kimoja kwenda kizazi kingine ambappo mfumo huu unaweza kuwa rasmi mfano ile elimu inayotolewa katika taasisi mbalimbali za elimu kama shule za msingi, sekondari na chou pia mfumo unaweza usiwe rasmi ambapo mtu anapata ujuzi kutoka...
  10. JamiiForums Tanzania Anayejua godown za pipi za jumla na agenti wa usambazaji kwa maduka ya jumla naomba kujuzwa

    Ninaomba kwa anayejua eneo lililopo godown la pipi za jumla au wasambazaji wakubwa wa pipi za jumla Arusha, ambao wanahusika na kuwasambazia watu wa maduka ya jumla naomba anipe connection.
  11. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wakati Sahihi wa Mabadiliko yenye tija katika Kilimo cha Mifugo kuelekea ufugaji wenye tija kwa jamii ya Kitanzania

    Mabadiliko yenye tija katika ufugaji ni ubeti unaoimbwa kila muda Tanzania,Afrika na duniani kwa ujumla wake. Hii inachagizwa na umuhimu wa suala la ufugaji katika maeneo makubwa matatu ambayo ni 01. Utunzaji wa Mazingira 02. Afya za wanaadamu na 03. Afya na haki za mifugo zenyewe. Licha ya...
  12. JamiiForums Tanzania CCM wajifunze sasa waachane na viongozi wenye utata kwenye matokeo ya elimu na wenye utata wa vyeti

    Sakata la DP World limezua mambo mengi sana. Mimi kama mmiliki mwenza wa hii nchi. Naona kama CCM ipo njia panda kwa sasa bila kujua chanzo ni nini. Tumeona Rais juzi wakati anazindua tume ya mipango amewaasa kutafuta watu wenye uwezo kuleta mipango yenye Tija nchini. Kumuunga mkono Rais ni...
  13. JamiiForums Tanzania Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa

    Wakuu! Wenye wapenzi wenye mapenzi ya kihindi tukutane hapa.. Tubadilishane uzoefu... Furaha zake na namna ya kuwalinda wahindi wetu 😊😊
  14. JamiiForums Tanzania Hii nchi kwa sasa inakosa viongozi wenye maono na tunakoelekea hali itakuwa mbaya zaidi

    Kwa sasa tuna uhaba mkubwa sana wa watu wenye maono na fikra, wengi waliopo kwa sasa kizazi hiki ni wale ambao hawaijui kuwaza ya kesho na hawana maono ya kesho. Wao wanaiwaza leo tu na mawazo yanaishia hapo na ndio maana hakuna kitu kipo katika mpangilio mzuri wa baadae kila jambo linafanyika...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  16. JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Jeuri ya Sisimizi: Kujifunza Kutoka kwa Wadogo Wenye Uwezo

    JEURI YA SISIMIZI: KUJIFUNZA KUTOKA KWA WADOGO WENYE UWEZO Imendikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Sisimizi ni viumbe vidogo vyenye uwezo mkubwa wa kushirikiana, kujifunza, kuhifadhi chakula, kujenga makazi na kujihami. Kuna mengi tunayoweza kujifunza kutoka kwao ili kupata mawazo mapya na mikakati...
  18. JamiiForums Tanzania Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  20. JamiiForums Tanzania Wazungu wengi wenye gundu la mahusiano nchi zao wakija bongo huokota kirahisi watoto wakali

    Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi. Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu. Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…