wenye

Chiang Wen-yeh or Jiang Wenye (Chinese: 江文也; pinyin: Jiāng Wényě, June 11, 1910 – October 24, 1983) was a Taiwanese composer, active mainly in Japan and later in China. While often known in the West by renditions of his Chinese name, the three Chinese characters that form his name are pronounced Kō Bunya (こう ぶんや) in Japanese, and thus he is also known as Koh Bunya in the West. In his compositions, which range from for piano to choral and orchestral works, he merged elements of traditional Chinese, Taiwanese, and Japanese music with modernist influences. Due to the political turmoil surrounding his life, he came to be largely forgotten during the latter part of his life. After his death, however, his work has started to gain new recognition in East Asia as well as in the West.

View More On Wikipedia.org
  1. Mhaya

    Achana na Marafiki wenye Njaa

    Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako au shida zako wazigeuze fursa kwao. Kwa sababu ya pesa wauze utu wako, na wakudharirishe badala ya...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Kilichozuia watumishi wa umma kutokulipwa mshahara mpaka sasa ni ubinafsi uliopo miongoni mwa Watanzania wenye mamlaka

    Si vyema kutaja idadi ya Wakristo walioko kwenye utumishi wa umma ila kila mtu anajua kuwa Wakristo wako wengi sana kwenye corridor za majengo ya umma. Leo ni sherehe muhimu sana kwa Wakristo kuliko sherehe zote. Mishahara mara nyingi inatoka tarehe 21-24 za kila mwezi. Wangewahisha tarehe 17-19...
  3. clinton gidioni

    mafundi wenye kazi naombeni kazi kinajana wenu.

    Ndugu zangu poleni na majukumu. kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha . kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI MAJI KWA KUTUMIA ROOFING FELT. Nipo tayari kujifunza zaidi naombeni kazi ndugu zangu
  4. Brain Kingdom

    Wanawake wenye ndevu changamoto kwenye mahusiano

    Wanawake wengi wenye ndevu wana ndani yao wengi wao viburi, jeuri na dharau. Hawa viumbe hawana unyenyekevi, utii wala heshima, jihadhari ukipata demu wa aina hii hawe fundi vipi umakini
  5. kiss ov love

    Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  6. R

    Ulikuwa mwerevu kuondoka kabla hujaumia ? Ni kitu gani kilikusukuma uache lifestyle, tabia au watu wa karibu wabaya / Toxic kabla ya majuto ?

    Hakuna shimo gumu kutoka kama tabia zilizokolea, Lifestyle uliyoizoea na Mahusiano yaliyoshamiri, Tatizo linakuja vitu hivyo vikiwa vibaya vinaweza kuathiri maisha yako negatively, unakuja kustuka baadae unajutia, Ila kuna matukio kadhaa huwa yanatugusa, Akili inasema "SASA BASI" na kuamua...
  7. Lady Whistledown

    China: Watu Wenye Uzito Chini ya Kilo 50 Waonywa Wasitoke Nje Kufuatia Upepo Mkali

    Mamlaka nchini China Kaskazini zimewashauri wakazi wenye uzito wa chini ya kilo 50 kubaki ndani ya nyumba zao kutokana na upepo mkali unaovuma katika eneo hilo, zikitahadharisha kuwa watu wenye miili midogo wanaweza kubebwa na upepo huo hatari. Kwa mujibu wa shirika la habari la Reuters...
  8. Komeo Lachuma

    Ndani ya CCM hamna kabisa watu wenye Hekima, Busara na Akili wanaosikilizwa?

    Nmeshangaa tu. Kuna watu wazima wengi na wasomi. Hakuna ambaye ana hekima,busara na akili akaweza mwelekeza samia haya mambo?
  9. Mshana Jr

    Kutana na Chura wa mitini wenye Macho mekundu - Nature's Neon Ninja!

    Kwa miili yao yenye rangi ya kijani kibichi, macho mekundu ya kumeta-meta, na michirizi nyororo ya bluu-na-njano, Vyura wa Mitini Wenye Macho Mekundu wanaonekana kana kwamba waliruka moja kwa moja kutoka kwenye misitu ya mvua! Wakiwa wenye asili ya misitu ya kitropiki ya Amerika ya Kati, vyura...
  10. Hharyson

    Nyumba vyumba 5 ni kaliiii sana wale wenye familia kubwa angalia hii mansion

    We do design and construction services 5bedrooms kali sana (mansion kabisa) Plot size 1500sqm Tupigie +255624004650 Tunapatikana sinza Dar es salaam
  11. Ed edd n eddy

    Robert Hariel na Joram: wana filosofia wenye nia njema walivyoliwa kichwa na System ya CCM

    Hapa nakunywa konyagi kubwa nikawa nawaza mawazo haya. Hebu kama wadau wa JF tuzungumze ukweli ambao wengi wanaogopa kuusema kuhusu hii mada: “CCM ina uwezo wa kumvua mtu roho yake ya kweli bila hata kutumia bunduki.” Binafsi nimeona kwa uelewa wangu hawa content creator wa jf kama Robert...
  12. R

    Kozi gani za VETA zina uhakika wa ajira au kujiajiri kwa urahisi? Wenye uzoefu tuambieni!

    Habari wakuu, Nimekuwa nikitafakari juu ya nafasi zinazotolewa na VETA (na vyuo vingine vya ufundi) katika kusaidia vijana na watu wazima kupata ujuzi wa kuwasaidia kuingia kwenye soko la ajira au hata kujiajiri. Kwenye dunia ya leo, si lazima kila mtu apitie elimu ya chuo kikuu—wapo...
  13. Top Gun

    Kwa nini walimu ni watu wa kulalamika sana utafikiri wao ndio wenye ukata pekee yao au kuzidi wengine

    Ooh sijui mishahara, sijui maisha magumu, sijui nini, Ebu njoeeni mtaani muone, si bora nyie mmesoma Kaeni chini mfanye kazi kama mna hasira sana tengenezeeni chama chenu mchukue nchi
  14. Abtali Mwerevu

    Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

    Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa bongofleva. Kama unabisha, nenda youtube andika nyimbo za kisukuma, utaona waimbaji wasio na idadi...
  15. H

    Biashara ya kuku wa kienyeji mwanza

    Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
  16. shuka chini

    JAMII INA WATU WENYE STRESS SANA

    Habari wadau .Moja kwa moja kwenye mada miaka ya hivi karibuni tumeona kundi kubwa la wachekeshaji wa mitandaoni inaonekana Watanzania wengi wanastres sana hadi kufikia hatua ya kununua furaha. Yani watu wanalipia hela kwenda kucheka .Enyi watawala punguzeni kubana watu wanastress sana...
  17. Knock life

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  18. Tman900

    Wamiliki wa Frem za Biashara

    Sisi ambao Tunatafuta Ridhiki kupitia Biashara, Vidogo Vidogo. Mara Nyingi kupandishiwa Kodi mara kwa Mara, Ukilipia Kodi ya mwaka, au miezi 6 Tegemea mda wowote kukutana Bonge la waraka wa kupandishiwa Kodi. Wengine wanakupandishia Kodi Ili ushindwe uhame akiona unakomaa zaidi anazidi...
  19. shibela

    JF Kwa kidengereko nyumbani pa wenye kufikiri Kwa undani a.k.a Akili nyingi!

    Tuliambiwa siku za mwisho watatokea manabii wa uongo,watatokea watakaojifanya ndio Kristo,watatokea na wapinga Kristo! Mimi sikubaliani kabisa na Hawa manabii kina mwamposa na wenzake! Sasa hapa jf nimekutana na sio tu wapinga Kristo,Wanapinga mpaka uwepo wa Mungu mwenyewe!!! Shikamoo Jamii Forums
Back
Top Bottom