wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi siku hizi hawaitaki CCM

    Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura. Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM. Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.
  2. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya vijana wengi hasa Gen-Z kuota mvi?

    Wakuu nadhani mmekuwa mashahidi. Huku mtaani vijana wengi wameota mvi kama pamba. Wataalamu hii inasababishwa na nini inakuwaje kijana wa miaka 25 amejaza mvi kichwani kumzidi hadi baba yake? Jaribuni kuchunguza mtaona mfano Steve Nyerere
  3. JamiiForums Tanzania Umasikini ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa malaya na ombaomba kwenye mahusiano yao.

    Anaebisha aje na hoja ya msingi.. Umasikini ndio chanzo kikuu cha umalaya na kuwafanya wanawake kuwa ombaomba kwenye jamii kwa ujumla
  4. JamiiForums Tanzania Video: Huyu jamaa amewashangaza wengi

    Wakuu hakuna haja na maneno mengi tazama mwenyewe: https://vm.tiktok.com/ZSCM2hCSL/ This post is shared via TikTok Lite. Download TikTok Lite to enjoy more posts: TikTok
  5. JamiiForums Tanzania Walokole wengi wana magonjwa ya afya ya akili?

    Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili! Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Pamoja na changamoto kubwa ya uongozi tuliyonayo lakini nimegundua nimegundua wananchi wengi nao ni Changamoto baada ya kuung'oa mfumo ovu kazi bado

    Ndugu zangu, mara nyingi tumekuwa tukilaumu uongozi kwa matatizo mengi yanayoikabili nchi yetu. Ni kweli, kuna changamoto kubwa za kiuongozi. Lakini kadri ninavyoangalia kwa undani, nimegundua jambo moja muhimu: wananchi wenyewe ni sehemu ya changamoto hizo. Tukumbuke, viongozi hawaanguki...
  7. JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania MUNGU si mmoja, kuna MUNGU wengi. Why?

    Angelikuwa Mungu ni mmoja, huyu asingeli ruhusu ya 29.10.2025 yatokee. Angelimuogopa Mungu aliyemfumbia mikono kwa unyenyekevu mkubwa!
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu wengi tunaopigia kelele ufisadi, wizi , rushwa. Ni kwamba hatuko kwenye hizo position ndo maana kelele ni Nyingi.

    Huu ndo ukweli mchungu watanzania 90% tuna toka kwenye familia zilizo jaa umaskini wa kupindukia. Ndugu zetu vijijini wanaogelea kwenye umaskini wa kutisha ndo maana zikitokea chance watu wanazitumia vizuri hakuna tuzo ya Utesekaji bora ...
  10. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  11. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Nuhu anajenga safina kundi la wengi lilimuona kichaa na kusababisha wengine kuumia. Ndio waliomo CCM na chawa wake

    Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu. Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina. Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa. Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu sana viongozi wetu, ni nature yetu waafrika wengi kuwa loyal kwa rewards kama Vyeo na pesa kuzidi uzalendo wa kufikiria mateso ya wengine

    Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
  13. JamiiForums Tanzania "Je, Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba tu, si kwa ajili ya afya?"

    Watanzania wengi wanakula kwa ajili ya kushiba, si kwa ajili ya afya. Nimegundua watu wengi huangalia chakula kwa lengo la kushiba tu bila kujali virutubisho au athari zake kiafya. Mara nyingi tunachagua chakula kwa bei nafuu, ladha au wingi wake, lakini si kwa ubora wake kiafya. Matokeo yake...
  14. JamiiForums Tanzania Tishio la Maandamano 😀 wasio vaa uniform no wengi ILA hakuna kitu wanapata maana hizo ni propaganda za Green Gud wa kihongosi.

    Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee! Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya. Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanywaji wengi wanapenda Serengeti Lager ndogo wakati kubwa ni rahisi zaidi?

    Hapa nilipo Serengeti Lager kubwa na ndogo zoto ni bei mmoja Tsh2500 ila ndogo ndio zinatembea zaidi, wanaokunywa kubwa wanahesabika!
  16. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui sababu kwa nini Russia kaivamia Ukraine ..

    © Getty Images; Adam Gault US Director of National Intelligence (DNI) Tulsi Gabbard has released new evidence that US-funded biological laboratories in Ukraine were researching dangerous pathogens. Washington previously denied any role in running these labs. Published on Friday, the...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mabosi wengi ikifika muda wa kujaza kifusi kwenye nyumba huwa hamtaki?

    Eti uelewa mbovu au ni nini?
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapenda singeli???

    Wapendwa.. Kwanini Watanzania wanapenda singeli.. kijana ukimpa nyimbo ya boni mwaitege na d voice au malume.. atachagua malume.. hivi hili mnalionaje???
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi tunaendelea kunywa pombe licha ya kuona madhara yake kwa wengine?

    Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi. Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakifikisha miaka 60+ huanza kurudi kwenye kilimo?

    kama umegundua Watu wengi wanaofanikiwa kwenye biashara au sekta nyingine mbalimbali, wakifika umri mkubwa hasa miaka 60 na kuendelea, wanaanza kuhamishia nguvu zao kwenye kilimo. Mfano, Shabiby wa dodoma amefanya sana biashara ya mabasi na siasa, lakini sasa anaonekana kuwekeza kwa ukubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…