wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Simba SC inakwenda kuwanyamazisha wengi

    Nimeiangalia Simba sc kwa utulivu, ikicheza mechi zake tatu zilizooneshwa. Nikiri wazi kuwa Simba imebadirika na inacheza mpira mkubwa tofauti na mpira uliokua ukichezwa na kina babacar sarr, kina kanoute n.k (hapa mashabiki maandazi na mashabiki wa ile timu inayorukaga mageti ili ipate access...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wengi (85%)wanawaza kujinufaisha wao kwanza

    Wanasiasa wengi kipaumbele chao ni wao na familia/marafiki. Hizo zinazoitwa shida za wananchi ni gia tu ya Kula pesa/kodi za wananchi. Ndo maana Hata SGR ipe miezi 6 chali. 1. Posho/pensheni za wanasiasa ni nono, ajabu. 2. Mishahara yao ni ya juu (bila Kodi). 3. Miradi/tenda kubwa kubwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je, Wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama Waislam?

    Taarifa katika vyombo vya habari kwamba Ndugu Sauli ambae alikuwa mfanya biashara mkubwa usafiri aliefariki kwa ajali ya gari ameacha wake wa 3 na watoto 16. SWALI Jee wakiristo wanaruhusiwa kuoa wake wengi kama waislam? kwa waislam hili limewekwa wazi pamoja na faida yake Sura ya An-Nisa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanzania Police Force: Muwe na subira upelelezi unaendelea. Msipost mambo kwa mhemuko

  5. JamiiForums Tanzania Binafsi naona Yanga Ina mashabiki wengi wanawake kuliko Simba

    Kwa utafitu mdogo niliofanya kupitia Simba Day na Yanga Day nimegundua timu ya Yanga Ina mashabiki wengi wengi wanawake Tena warembo hasa ukilinganisha na Simba. Hata waliongalia kwenye TV watakuwa mashuhuda siku ya Yanga day mahudhuliaji wanawake walijitokeza kwa wingi sana ukilinganisha na...
  6. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini watu wengi wanaogopa kuwa Mashahidi Mahakamani?

    Hili limekuwa ni tatizo sugu kwa kuwa watu hawataki kuwa mashahidi wa kitu walichokishuhudia. Shahidi ndiye anayesababisha kesi iweze kumalizika kwa haraka. Lakini watu wanaogopa. Lakini baada ya kufanya utafuti wangu mdogo wengi wao wanasema wanaweza kupata matatizo endapo watu aliowatolea...
  7. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

    Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza...
  8. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa Tanzania wanapenda kuolewa wakishakuwa wamechoka

    Huu ndio utafiti nilioufanya mabinti wengi wanapenda kuolewa tayari wakishakuwa wamekula ujana wao tayari hapo ndio watakuwa tayari kutulia katika ndoa umri wa miaka ya miaka 18-25 akikubali kuolewa na wewe imembidi tu kwa kushinikizwa na wazazi ukiwa uchumi upo vizuri. Ila moyoni wengi...
  10. JamiiForums Tanzania Maoni binafsi: Namna/Jinsi wanawake wanavyosababisha wanaume wengi kuchepuka katika ndoa

    Wasalaam, Wana JF wote. Leo nina mada kidogo kuhusu suala la uchepukaji kwa wanaume hususani walioko katika ndoa kunakosababishwa na wanawake wenyewe. Nikiwa miongoni mwa wanaume walioko katika ndoa nimeonelea ni vema nikatoa maoni yangu kuhusu suala la wanaume wengi kuchepuka kwenye ndoa...
  11. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu Ali Kamwe jitahidi kadri uwezavyo ulilipe Kiutendaji zaidi Deni la wana Yanga SC wengi Waliokukulia na Kukuamini, ila kaa mbali na Manara

    Binafsi pamoja na kuwa ni Mpinzani wako ( nikiwa mwana Simba SC ) ila nilipenda na nimependa mno ambavyo umeleta Mabadiliko makubwa katika hiyo Idara ya Usemaji wa Yanga SC. Najua kuwa kuna muda huwa Unanikera / Unatukera wana Simba SC kwa Madongo yako ila kwakuwa Sisi ni Wanamichezo na Watani...
  12. JamiiForums Tanzania Ongezeko la watu kuhuhudhuria marathons imechochewa na nini?

    Hili ongezeko kubwa la mbio za marathons na watu wengi zaidi wakiongezeka kushiriki hizo marathon kumechochewa na nini? Kuna siri gani huko kwenye marathons Kuna faida gani kubwa hasa katika hizo marathons hadi kuvutia watu kutoka sehemu za mbali kabisa kusafiri kwenda kushiriki kutoka mkoa...
  13. JamiiForums Tanzania Maisha ya wenye Ndoa wengi kwa Karne hii ni Ubaya Ubwela, tuwe Wakweli Ndoa nyingi ni Gereza la hiari kwa Wanaume

    Shalom, 90% ya ndoa nyingi ni fake, wanawake wengi huolewa kwa shida zao binafsi na kwa manufaa binafsi mfano kukosa kujihudumia kwa chakula, mavazi, kula vizuri, kulipa Kodi ya nyuma, familia duni hasa wazazi na ndugu tegemezi kibao, kuoana wivu hasa marafiki zao wakiolewa. Na wanawake kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mtaalam: Sehemu za Siri za Mwanamke kuwa Baridi huchangia kwa 99% katika Kupunguza Nguvu za Kiume za Wanaume wengi

    "Mwanamke yoyote ambaye anaingiliwa na Wanaume zaidi ya Watatu na Uke wake haupumziki Kuingiliwa na Wanaume tofauti tofauti ndani ya Wiki huyu husababisha Uke wake kuhama Kiasili kutoka kuwa wa Moto na kuwa Wabaridi. Kitendo cha Uke wa Mwanamke kuwa Wabaridi husababisha Uume wa Mwanaume ukiwa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga

    Kuhusu suala la kulea, watanzania wengi hawalei watoto bali wanafuga mifugo kama mifugo mingine kama kuku. Mtu ana mtoto lakini hajui mtoto anacheza wapi, mtoto anacheza na nani wala mtoto anacheza michezo gani. Mtoto akitoka asubuhi anarudi mida ya kula tu baada ya hapo haonekani mpaka usiku...
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini warembo na mabarobaro wengi ni vilaza?

    Habarini waungwana.... Huwa najiuliza kuna uhusiano gani kati ya mabinti warembo/pisi kali na vijana mabarobaro/mabishoo kuwa uwezo mdogo kichwani? Sina nia ya kuwasemea vibaya, lakini hata mashuleni au vyuoni tunaona warembo wengi kichwani hakuna kitu.... Na wanaofanya vizuri huwa ni watu...
  17. JamiiForums Tanzania Bodaboda ni kazi iliyo na vijana wengi kuliko kazi yoyote nchini

    Hayaa sasa anaye bisha aje na yake anayoona inaizidi bodaboda tumuone.Na ukiwekeza kwenye boda boda ujue unakula faida nyingi sanaa . Shtuka
  18. JamiiForums Tanzania Njia za kudumu zinazoweza kutumiwa na TRA kuhakikisha watu wengi wanalipa kodi nchini

    Ukifuatilia Takwimu, utasikia TRA wanadai idadi ya walipa kodi nchi hii ni ndogo sana licha ya nguvu nyingi zinazotumika ikiwemo masuala ya TaskForce, kuhakikisha watu wanadai receipts na matumizi ya EFD machines. Kwa njia hizo, ni kweli kabisa idadi ya walipakodi itaendelea kuwa ndogo. Nini...
  19. JamiiForums Tanzania Nikiwa Dar Waislamu na wasomi wengi huniagiza silaha zake za kiroho kama maji na mafuta ya upako

    Hawa manabii waliozuka na kujaa kama nzige wanajipatia waumini wa kuwapa utajiri. Hao wasomi, waislamu na wanasiasa wanawapinga ovyo mtandaoni lakini pembeni utakuta wananunua maji, chumvi, mchanga na mafuta ya upako. Hapa mtandaoni jamii forums sijawahi kuona mtu akisema wazi kama ni mfuasi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazazi ndio chanzo cha kuharibu ndoto za vijana wengi wanapotaka kufanya maamuzi ya kujichagulia wakasome nini vyuoni

    Mtoto akifikisha miaka 18 huyo sio mtoto sababu kashakuwa huru wa kufanya maamuzi nini anataka kwenye ndoto yake. kuna mada nyingi hapa jf nikiona wazazi wakiomba ushauri mtoto asome nini ? kwa nini wazazi tusiwape uhuru wa kujua wanataka nini na kuwashauri kuliko kulazimisha wasome wasicho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…