wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna biashara, bali "TUMEJIAJIRI". Biashara ya kweli huendelea hata mmiliki asipokuwepo.

    Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri). Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
  2. JamiiForums Tanzania Mfahamu Mtu Kabla ha Kumwamini ( Snake ni wengi)

    Tuendelee Na Mtiririko wa Makala zetu. Kwenye Ulingo wa Siasa za Chama Tawala na Vyama Marafiki( Tanzania Tunaviita Upinzani) Ukimsikia Mtu anajiita Mwanaharakati tena yupo nje ya Mipaka ya Tanzania uwe nae makini sana. Wengi wao Utumika pande zote Mbili ( Double A) Basi ukiwa upo Kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

  4. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ni kweli CO wengi siku hizi ni watupu na uwezo chalii?

  6. JamiiForums Tanzania Watu wengi hushangaa kwanini wanawake wengi hupendelea kugombania wanaume wachache, huku wanaume wengi wakibaki bila chaguo

    Katika mjadala wa mahusiano, kuna jambo ambalo watu wengi huliona lakini hulikwepa kulizungumzia kwa kina. Mara nyingi utakuta kundi kubwa la wanawake linavutiwa na wanaume wachache wenye hadhi fulani, mafanikio fulani au maisha yaliyojengeka, huku wanaume wengi wengine wakibaki nje ya mzunguko...
  7. JamiiForums Tanzania Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  8. O

    JamiiForums Kenya Skai Jackson: "Wakenya Wengi Hawajui Wanavyoonekana Kwa Sababu ya Mirrors"

    Actress Skai Jackson amesema kuwa watu wengi nchini Kenya hawajui vizuri wanavyoonekana because mirrors are not common in some communities. Akizungumza kwenye mahojiano yaliyosambazwa mtandaoni, alieleza kuwa upatikanaji wa vioo unaweza kuwa changamoto katika baadhi ya maeneo, jambo ambalo...
  9. JamiiForums Tanzania ISIS iliua watoto wa mama hawa mateka. Ikapika miili yao na kuwachanganyia na wali kuwapa mama zao. Wamama walipogundua hil wengi walijiua kwa uchungu

    Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao. Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja. UTU na UBINADAMU zero, USHETANI 100%
  10. JamiiForums Tanzania Watu wengi hudhani Customer Care nzuri ni kuwa mnyenyekevu kwa wateja. Ukweli ni kwamba Customer Care ni uwezo wa kutatua tatizo la mteja.

    Happy Thursday wana JF. Katika somo la maadili tunafundishwa umuhimu wa kuwa na heshima, unyenyekevu, uvumilivu na lugha nzuri. Haya ni maadili muhimu sana iwe ni nyumbani, kazini, kwenye biashara au taasisi yoyote. Lakini kuna sehemu moja watu wengi wamechanganya sana. Wamedhani Customer Care...
  11. JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha vipo vitu vitano wanaume wengi tunavipenda, vitaje

    MUWE NA ASUBUHI NJEMA
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wana-JF tusiwe wavivu ku-comment na kuishia kutoa likes nk peke yake; reply thread nzuri ili zikae kwenye chat muda mrefu na ujumbe usomwe na wengi

    Kuna watu wanatembelea JF ilikusoma threads za watu wengine na kazi yao ni kutoa likes, laughs, dislikes, fire etc peke yake, Nadhami mnatambua JF wametengeneza system kwa namna mbayo thread isipopata replies au comments basi itazidi kushuka chini na kupotea, ili kutoa nafasi ya juu kwa thread...
  13. JamiiForums Tanzania Masikini wengi wakiwaongelea vibaya Matajiri huwa wanapata auheni ya kisaikolojia

    Masikini wengi wakiwaongelea vibaya matajiri uwa wanapata auheni ya kisaikolojia hii ni ngumu kumeza ndio maana weng waliofanikiwa wanaongozwa kusemwa vibaya sana
  14. JamiiForums Tanzania PICHA: TRA INATOA POST ZA TIPS ZA ONGEZEKO LA KODI KWA ENGLISH WHY ? WALIPA KODI WENGI NI WASWAHILI

    Cha kushangaza hizi Tips za ongezeko la Kodi mnatoa kwa Kingereza lakini habari zingine zote mnatoa kwa Kiswahili , hii sio sawa !!! Mnahudumia walipa kodi wote Waswahili na hao wa Kingereza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  16. JamiiForums Tanzania Nawalilia enyi mamlaka muingilie kati hizi shughuli za kutunzana uswahilini zimejaa mashoga wengi na wanakuwa paraded makusudi na wadada waliomo mule

    Yani unakuta kijana wa kiume kweli anawashinda wadada waalikwa kutingisha makebo😬
  17. K

    JamiiForums Tanzania Je serikali imefanikiwa kuungwa mkono na watanzania wengi?

    Kwa mawazo yangu serikali haijafanikiwa na umashuhuri wa Rais Samia umeshuka sana. Kutoka uhalali mpaka kuwa fake!. Kutoka kusifiwa 2021-2022 mpaka kuitwa muuaji na fisadi. Tafuteni njia bora ya kuweka usawa wa watanzania badala ya kutegemea nchi ya kipolisi
  18. JamiiForums Tanzania Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  19. JamiiForums Tanzania BSS 2026 grand finale wabongo wengi wame underperform round 1 ni vile tu mcheza kwao hutuzwa....

    Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire.... Ila S2Kzy eti kingereza Chake Cha you are good perfom nyie....
  20. JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui kikosi cha mizinga na nako 2 nako waliwahi kuwa na bifu kali kupelekea hadi kuumizana vibaya

    Bou Nako, mmoja wa waanzilishi wa Nako 2 Nako, alikuwa moja ya walengwa wakuu katika beef hiyo kubwa. Kuna hadithi kwamba aliumizwa vibaya sana wakati wa shambulio lililohusishwa na upande wa Kikosi cha Mizinga, na ilisemekana kuwa karibu na kifo. Haruna Moshi “Boban” aliripotiwa kumsaidia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…