wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni wengi wanatamani kurudi CHADEMA.. lakini....!!!!

    Pamoja na kasoro za hapa na pale ( ambazo si tatizo),kwakuwa hakuna mahali panakosa changamoto, bado CHADEMA ni nyumba bora na salaam zaidi kwa makuzi ya kisiasa na mahali pa kuonesha kwa uhuru vipawa vya uongozi na vipaji vya siasa bila kuingiliwa, kuwekewa mipaka na kupangiwa Ndio maana cream...
  2. JamiiForums Tanzania Jee Utabiri huu wa Prof. Kabudi Unaelekea Kutimia? Inaelekea Wanaccm Wengi Hawayajui ya Romania, Wafundishwe

    Majuzi niliposikia kuna wasanii wanaojulikana kushambuliwa na vitu mbalimbali jukwaani baada ya kutamka "Mitano tena", na nikakumbuka mada hii aiyoitoa Prof Kabudi kwa vijana pale Nkurumah hall UDSM. Jee CCM imesubiri hadi wengi ndio mabovu ya nchi ndio yajadiliwe na haya yanatokea? Jee watawala...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi wengi hawajibu jumbe za watu?

    Habari Wakuu. Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi, Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu? Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa nimejaribu kutuma ujumbe kwa kiongozi fulani sio wa matusi, sio wa kutaka fadhila, bali ujumbe wa...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa

    Hizi ndio sababu kwanini watu wengi wanaogopa kujenga gorofa Watu wengi wanaogopa ujenzi wa gorofa kwa sababu ya hofu ya gharama kubwa na kutokuwa na uhakika wa ubora wa ujenzi. Wengine wanangoja kuwa na pesa za kutosha kabla ya kuanza, na hii inaweza kupelekea kuchelewesha mipango yao ya...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana wengi hawendelei kwa sababu ya kuifuatilia vitu vichovu vinyonge na vilivyofelifeli

    Unachokifuatilia muda mrefu ndicho kinajenga ufahamu na mipaka yako kiakilini. Acha kufuatilia mambo madogomadogo, mambo ya manenomaneno yasiyo na vitendo. Unanyong'onyesha Ubongo wako. Mfano; Jamaa kapata milioni 300 lakini anafikiria kwenda kufungua mpesa au kufuga tung'ombe kwenye robo...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna siku wapinga teknolojia watakuja wengi hapa JF kulalamika ajira

    2025 kama naona ndio ajira zinaelekea mwishoni nchi nyingi sana na afrika. Sasa hakuna ulazima wa kuendesha magari wakati magari yana jiendesha. Uwezi kuajiri wafanyakazi wengi wakati kuna mashine zinazoweza kufanya kazi zaidi ya wafanyakazi. Jeshini na polisi nako naona marobot yanaanza...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wengi huogopa kile kisichojulikana kwasababu zifuatazo..

    Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi: 1. Akili hupenda uhakika Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Pro West humu jukwaani wengi wanamchukia Captain Ibrahim Traore?

    Mzuka wana jamvi ?? Nashangaa sana chuki zimekuwa nyingi kwa Kamanda Rais wa Burkinafaso Captain Ibrahim Traore kutoka kwa Pro_West maarufu humu jukwaani tena chuki za kipuuzi sana. Tukianza na Hawa ; Yoda ; huyu ni chawa mkubwa wa Marekani na matendo yake ameshika usukani kwa vinyuzi yake...
  9. JamiiForums Tanzania Kama unataka sex ya haraka tongoza mwanamke mwenye hasira za karibu ambaye wengi wanamuona mkorofi na jeuri

    Wakuu habari! Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mchakato: Learn → Get Experience → Build networks → ndipo uwaze mtaji, Watanzania wengi wanafanya kinyume ndio maana wanafeli

    Biashara ni mchakato: Jifunze kwanza, kisha pata ujuzi, jenga connections zako, ndipo utakapojua cha kufanya na mtaji. Lakini kwa watanzania wengi ni kinyume, wanaumiza sana vichwa kupata mtaji ili kuanza biashara lakini jambo hili kwenye process nzima inabidi iwe hatua ya mwisho kabisa. ndio...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kununua magori au kudhamini michezo kwa mamilioni, wengi ni kusafisha matendo yao machafu.

    Ukiangalia hisoria ya wanasiasa na wasio wanasiasa, Wanajiingiza ktk kufurahisha umma kupitia michezo, ili kuwasahaulisha juu ya matendo yao machafu. Historia inao watu wengi wa aina hii na wengine huenda wamejulikana kuliko wengine. Pablo Escobar, muuza cocain mashuhuri wa dunia, alijihusisha...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wa Iringa wanasema uislamu ni dini ya kweli na maelfu ya watu wanahamia kwenye hii dini ya kweli

    Wakuu kuna makundi makubwa ya watu yaani mamia ya watu wa hapa kanisani kwangu wanahamia kwenye hii dini ya haki ya kiislamu na nimeshangazwa sana aisee yaani kanisani ukiwapa mahubiri wanajibu takbiiir aisee kweli uislamu ni dini ya haki na ya ukweli Aisee Takbiiir Allah Akbar
  13. JamiiForums Tanzania Atheist wengi wao ni dini ya kikiristo

    Mara nyingi hawa wanaojiita atheist kwa maana wasio na dini wengi wao ni kutoka kwenye imani ya kikristo hauwezi kukuta hata siku moja abadani asilani atheist akawa ni muislamu ila halipo hata kidogo uislamu ni dini uliyonyooka isiyo na konakona kabisa
  14. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Huu Mtego Unaozidi Kutafuna HELA za Vijana Wengi .... Hadi Mafao ya Wazee Wetu Hayajasalimika Kwenye huu Mtego

    Mtego Huu Si Mwingine ni Huu Hapa Chini . Ni uwekezaji wa kitapeli (Ponzi schemes) . Ponzi scheme Nini utauliza?? . Well, Ponzi scheme ni mfumo wa kitapeli ambapo watu wanaahidiwa faida kubwa, ya uhakika (guaranteed) na risk yake ni ndogo, . hali hii inayowafanya wengi kuvutiwa na kuweka fedha...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa nchini yananukia...

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna tetesi kwamba endapo mabadiliko katika tume ya uchaguzi na mambo mengine yanayopigiwa kelele endapo hayatafanyiwa marekebisho kutakuwa na hamasa kubwa mtandaoni kuhimiza watu kutojitokeza. Sintofahamu ni kubwa na inaelezwa CCM wamepanga kuzima...
  16. M

    JamiiForums Tanzania MASHINE YA AJABU INAYOVUNJA RECORD YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA WENGI ZAIDI.

    (full Automatic egg incubator). ■INAUWEZO WA KUBEBA MAYAI 120. ● Mashine hii inatumia solar/umeme pamoja na betri ●Ukiwa na solar ya watts 60 hadi 80 unaweza tumia pasipo kuwa na invetor ●Ukiwa na betri la gari pia N70 unaweza kuunganisha. ●Inatumia umeme kidogo sana wastani wa 5000 hadi...
  17. JamiiForums Tanzania Nafundisha kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu wengi sana kwa wafanyabiashara

    Kama unataka kujifunza kusponsa matangazo yaruke Facebook na Instagram yawafikie watu weng saana kama wewe ni mfanyabiashara utanichek inbox nikuunge kwenye group hilo la watu wenye nia hiyo tu 0743 257 669 Nichek whatsapp
  18. JamiiForums Tanzania Bara lipi linaongoza kwa kuwa na madikteta wengi kwa sasa?

    Enzi za Nyerere, kwa mujibu wa moja ya hotuba zake, madikteta wengi walikuwa barani Afrika. Hali ikoje kwa sasa? ANGALIZO: Ibrahimu Traore si dikteta bali mpigania maslahi ya watu wake.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ndoa za waliovuka 30 hazidumu, wengi huwapati nafasi ya uchaguzi sahihi, wanajitupa kokote kupunguza maneno

    Vijana wengi wanaovuka miaka 30 bila ndoa hukumbana na pressure ya matarajio na maswali mengi kutoka kwenye jamii inayowazunguka: Unaoa lini? Kwanini hujaoa/hujaolewa? Wenzako wanaoa/kuolewa, wewe unasubiri nini? Hivi kaka/dada, usingizi unautoa wapi huna ndoa? Unasubiri nini? Huko kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…