wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora wa USA huwa wengi wao ni kama wana matatizo ya afya ya akili?

    Inasikitisha sana kuona watu waliosoma elimu ya juu ni kama wamechanganyikiwa na kuwa na msongo wa mawazo hali inayowafanya kuwa na hasira muda wote. Kuna tatizo gani huko Marekani? Kuna ndugu yetu alienda kama mwanamichezo mwaka 1990 ila kila akijaga bongo likizo mwonekano wake ni kama kibaka...
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wameua watu wengi hadi wanaogopa kutaja idadi wa watu. Tukutane ICC

    Walianza na singeli kuwa waandamanaji ni watu wa nje Wakaja na singeli kuwa waliahawishiwa Wakamalizia na singeli kuwa wamelipwa. Mara eti wamechoma mali, mara wameua polisi. Wanaulizwa swali moja tu. Mmeua wangapi ? Wanashindwa kujibu. Uzuri mshaelekea kibra na ICC wanawasubiri kwa hamu...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuhusu madai ya Polisi kupewa amri ya kuua raia: Mwigulu ahoji Polisi wengi pia walikufa, nani alitoa amri wauawe?

    Majibu ya kitaalamu sana! Hili la polisi kugeukana wenyewe kwa wenyewe na kuuliwa itakuwa ni kweli, maana tunasikia polisi wamekufa lakini mtaani hakuna taarifa hiyo, itakuwa waliuawa kipindi tupo kwenye lockdown ambako walikuwa wamebaki wenyewe barabarani! Tuna ndugu na jamaa polisi, na...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilicho na uhakika nacho by 100%, ni kuwa wengi wanajua kuna nini 9.12

    Niko "mashenzini" huku mabonde kuinama, ambako mtandao ni wa kupanda juu ya mti kuupata. Lakini wanajua D9. Tena vizee! Nimeogopa!
  5. JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Saudi na UAE wasema Imamu Akieneza Chuki anakula BAN, Magaidi wengi watatoka Ulaya siku zijazo

    Hapo Mkutanoni wapo Mawaziri wa Saudi Arabia na UAE (Umoja wa Falme za Kiarabu) Waziri Wa UAE: Na niruhusu niseme hili kwa Kiingereza ili uweze kuelewa ninachosema. Siku itakuja ambapo tutaona wanamgambo na magaidi wenye misimamo mikali zaidi wakitoka Ulaya, kwa sababu ya ukosefu wa kufanya...
  6. JamiiForums Tanzania Mange anadai tar 29/10 askari na wanajeshi wengi walikufa

    Habari wakuu. Dada wa taifa anadai tar 29/10 siku ya uchaguzi askari na wanajeshi walikua wanauwana wenyewe kwa wenyewe na walikufa wengi tuu, swali ninalojiuliza mbona hatujaona hata picha au video hata moja ya askari au mwanajeshi kafa???? Btw namuamini Mange kimambi.
  7. JamiiForums Tanzania Anayesema JWTZ zima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa

    Jeshi letu ni la kitaaluma Anayesema JWTZ nzima linaunga mkono mauwaji na utekaji nakataa wapo wengi kama wakina tesha wanaunga mkono wananchi watajitokeza. mda ni mwalimu mzuri tukutane #D9 msiogope tutashinda hii vita.
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9

    Serikali ya samia inateka na kuuwa ndugu zetu wengi sana kila siku unafikiri tutawafanya nini hawa polisi wapumbavu #D9.
  9. JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwanini mashehe wengi wamekubali kugeuzwa machawa na waimba pambio?

    Kuna kitu kinanishangaza. Natamani nijue sababu. Tangu aingie bi mkubwa, mashehe wengi wamejitokeza kuwa machawa na waimba kwaya kama wasanii walio wengi. Je, tatizo ni njaa au uhaba wa maarifa? Je, ni kwa vile rais ni mwenzao? Je, huu siyo udini wa wazi kabisa? Ina maana mashehe huwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

    Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu 1.jipende nunua nguo nzuri 2.kula vizuri 3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii 4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni...
  12. JamiiForums Tanzania CCM ni kina kirefu sana. Wengi hawaijui vizuri (Kidogo kidogo tutaelewana tu, Mizizi yake ni mirefu mno) Bila CCM hakuna Tanzania

    Katika siasa za Tanzania, hakuna chama kilicho na historia, falsafa, na muundo uliojengeka kwa muda mrefu kama Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ni chama kilichozaliwa mwaka 1977 kutokana na muungano wa vyama viwili vikubwa TANU kutoka Tanganyika na ASP kutoka Zanzibar. Lakini pamoja na ukubwa wake...
  13. JamiiForums Tanzania Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza Samia na Serikali yake yote au tupo wengi?

    Ni mimi tu ndio siwezi kukaa kumsikiliza samia na serikali yake yote au tupo wengi ? Karibuni wadau kwa maoni
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Utawala wa Samia umeua watu wengi sana katika historia ya Tanzania

    Utawala wa samia umeuwa watu wengi sana katika historia ya nchi yetu nzuri.! Umewaacha watanzania wengi katika maumivu sasa inatosha ameuwa watu wengi sana na sisi kwa pamoja tupo tayari kufa. Tukutane #D9
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wengi waliopoteza maisha au kupata majeraha kwenye maandamano hawakuwa na tahadhari au walishindwa kuiona hatari mbele yao kwa kuchukulia poa

    Warning: kwa yule yeyote ataekwazika kwa uzi huu naomba tusamehane sijaandika kwa ajili ya kukashifu au kusema baya kwa yeyote na wote mliofiwa na ndugu zenu mungu awape faraja kwenye hichi kipindi kigumu ,wale majeruhi wanaojiuguza wapone haraka na wote walipoteza maisha mungu( sisi wote wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena nakubaliana na watanganyika wengi kuwa hatuna Jeshi la Wananchi

    Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29. Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo? Tulijenga...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vigogo wengi walikuwa maskini, walipopata makalio yakalia mbwata

    Hali yenu ipoje wandugu zangu? Kwa kweli, nikirudi nyuma mpaka era ya JPM, na nikirudi nyuma mpaka era ya Nyerere, napata picha kamili Wengi wa wakazi (high government seniors) walioishi yale maeneo ya Upanga na Oysterbay ndiyo walioongoza kwa kutumbuliwa na JPM. Why? Sababu kuu ni ubinafsi...
  18. JamiiForums Tanzania UVCCM tupo wengi tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote

    UVCCM tukilinde chama chetu Cha MAPINDUZI kwa nguvu zote. Tunategemea kuona ma press yakutosha kutoa makanusho mbalimbali Kama huu udini unaoenezwa KAZI na UTU TUNASONGA MBELE 🇹🇿
  19. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…