Kwani ukitaka kufanya biashara unaangalia vigezo gani (kwa wazo husika)Ndio ni tatizo
Kitu chochote kama hujawahi kukifanya kinaweza kuwa tatizo maana hujui jinsi ya kufanya, na hapa unazungumzia mfanyabiashara ambae lengo lake ni faida, kwan hujawah kuulizwa na dogo asome combi gani wakat yeye ndio anasoma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa biashara unaangalia demand of customerKwani ukitaka kufanya biashara unaangalia vigezo gani (kwa wazo husika)
Kwa fikra zangu nazani pia itategemeana na lengo la mtu kufanya biashara na sijui kwann watu wengi wakiongelea biashara wanachofikiria ni faida tu biadhara ni zaid ya faida lakin kma nlvoo sema inafwatana na malengo ya mtu husika ndo maana they say kuna tofauti kati ya self employed (mtu aliejiajiri) na entrepreneur (entrepreneur sijui kwa kiswahili ni nini)mkuu mawazo ya biashara ni tatizo kwa wengi mie napenda sema tatizo la mtaji, ndio ni tatizo la mtaji ila ni mtaji fikra/wazo la biashara ila jingine ni mtaji fedha, walopata elimu ya biashara kidogo kwao inakuwa nafuu maana elimu inawakombo kwa kiasi ila chukulia mtu alikuwa baharia maisha yake mengi ni majini ukimwambia wazo la biashra kwanza anashangaa hajui hata pa kuanzia sie tunaotoe elimu ya bishara tunakumbana sana na hayo
mstaafu amepata fedha zake na hajuu cha kuzifanyia ambacho kitampatia fedha za kusukuma maisha yake, unakuta mtu hajawahi kufanya biashara ujana wake wote na hajawahi hata kujaribu so inakuwa ni ngumu kuwa na hata wazo la biashara na hata akiwa nalo hafahamu ka ilo wazo akilifanyia utekelezaji litampa kipato/faida ama la!
mkuu twende mbele turudi nyuma lengo kuu la biashara ni faida hayo mengine ni mbembe tuu ijapokuwa mjasiriamali anapaswa kujua biashara ina faida na hasara na lazima awe risk taker ili aweze anzisha biashara ama kitu kipya alichokiwaza maana wote twajua mjasiria mali na mfanyabiashara ni watu wawili tofautiKwa fikra zangu nazani pia itategemeana na lengo la mtu kufanya biashara na sijui kwann watu wengi wakiongelea biashara wanachofikiria ni faida tu biadhara ni zaid ya faida lakin kma nlvoo sema inafwatana na malengo ya mtu husika ndo maana they say kuna tofauti kati ya self employed (mtu aliejiajiri) na entrepreneur (entrepreneur sijui kwa kiswahili ni nini)
Nakubaliana na wewe kabisaa maana biashara bila faida haiwezi operate ila kwa entrepreneurial mindset kufikiria faida in a first place ni mala chache kinacho matter in a first place ni vision thats why startup nyingi znaa anza kupata faida baada ya miaka miwili au zaid kuendana na ulivyo iscale biashara yako mfano mzuri uber and tesla again inafuatana na scaling ya biashara usikamkuu twende mbele turudi nyuma lengo kuu la biashara ni faida hayo mengine ni mbembe tuu ijapokuwa mjasiriamali anapaswa kujua biashara ina faida na hasara na lazima awe risk taker ili aweze anzisha biashara ama kitu kipya alichokiwaza maana wote twajua mjasiria mali na mfanyabiashara ni watu wawili tofauti