waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Agizo la Waziri kuruhusu Mabasi kutoingia stendi ni kuwanyima Halmashauri vyanzo vya mapato

    Ninaangalia hapa kitindi cha Chetu ni Chetu kupitia ITV, naona malalamiko ya wafanyabiashara wadogo ndani ya stendi ya Igunga wakilalamikia agizo la Waziri wa Uchukuzi kuruhusu mabasi yanayosafirisha abiria kutotumia stendi za Halmashauri zilizojengwa kwa fedha ya kodi zetu. Athari zake pamoja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uporwaji wa ardhi unaoendelea katika maeneo Iyumbu, Dodoma

    BARUA YA WAZI KWA WAZIRI MHE.ANGELA MABULA NA WATENDAJI WAKE. KILIO CHA WATANZANIA KWA OFISI ZA ARDHI DODOMA – WATU WANAPORWA HAKI ZAO Tunawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kilio, majozi na damu kwa Wananchi wa Iyumbu – Dodoma juu ya uporwaji wa ardhi unaoendelea katika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Rais wa Guinea Bisau akimchapa makonde Waziri wa Afya kwa kula pesa za COVID 19

    Huku kwetu Rais anaweza kujikuta karibu kila waziri wake anakula ngumi kwa ubadhirifu kwenye wizara zao 😀😀. Mwalimu Nyerere alikuwa sahihi kwa sehemu kuwapiga viboko ishirini na vinne,siku anaingia viboko kumi na viwili na siku anatoka jela viboko kumi na viwili akamuonyeshe mkewe 😀😀.
  5. B

    JamiiForums Tanzania Watendaji CCM jukumu la kwanza ni kusifia sifia

    Haya ndiyo maajabu ya serikali za CCM. Zote baba mmoja, mama mmoja. Ukisikia mtendaji au waziri kuwa ni mzalendo au mchapakazi kweli kweli, basi ujue hapo huyo kawazidi wenzake kwenye ile sifia sifia kama kigezo #1. Kigezo #2 kipo kwenye kuwakamua wananchi kwa maslahi ya aliyeko kwenye kiti...
  6. JamiiForums Tanzania Video ya Dkt. Mollel kuhusu watanzania kuwa wajinga

    Kuna Post inasambazwa kwa nguvu kubwa kwenye mitandao inayomhusisha Naibu Waziri wa Afya, Mollel na imeleta taharuki kubwa sana kwa wananchi, ombi langu kama kuna mwenye Video Clip ya maneno hayo aitupie hapa ili kumaliza huo utata. Vinginevyo isije ikaleta tasfiri tofauti kwamba kuna mkakati...
  7. JamiiForums Tanzania TASWA wampongeza Waziri Dkt. Pindi Chana kwa uteuzi, yatuma salamu kwa Simba, Yanga

    Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), kinampongeza Dk. Pindi Hazara Chana kwa kuteuliwa na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo mwanzoni mwa wiki hii. Pia TASWA inampongeza Said Othman Yakub kwa kuteuliwa na Rais Samia kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Makatibu wa Kanda wa CHADEMA watua ofisini kwa Waziri Bashe, wajiapiza kuwa mabalozi wa kilimo

    Kwa kweli sasataifa limeungana chini ya Samia, naanza kuelewa kwa nini Lissu kaamua kuondoka
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi wavamia nyumba ya Waziri wa Mambo ya Ndani Mstaafu, Fred Matiang'i

    Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na Vibali. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa Kenya, Amin Mohamed...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  11. JamiiForums Tanzania Naona hazina ya kiuongozi kwa Naibu Waziri, Atupele Mwakibete na Steven Byabato, wajibidishe, wawe wachapakazi na wanyenyekevu

    Katika manaibu Waziri ambao nikiwaangalia naona taifa Lina hazina ya uongozi, ni hao vijana wawili, natamani waendelee kupata mentorship ya kiuongozi, wajibidishe kwa wananchi waliowapa kura, hao ndio base yao, na watanzania kwa ujumla. Uongozi wa kitaifa uwalee na kuwapa mafunzo ya aina...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri aagiza dereva wa gari aliyemgomea trafiki anyang'anywe leseni

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua kwa dereva ambaye ameonekana katika kipande cha video fupi akiendelea kuendesha gari aina ya Nissan huku mbele yake kukiwa na askari wa Usalama Barabarani. Amesema “Apelekwe kwenye vyombo vya dola na...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Madereva hatarishi wafutiwe leseni za udereva

    Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini ametoa maelekezo hayo kwa Makamanda wa Mikoa kuwafutia na kuwanyang'anya leseni madereva hatarishi ambao wamekuwa hawafuatia na kuzingatia sheria za usalama barabarani licha ya Elimu ya mara kwa mara ambayo imekuwa ikitolewa na Jeshi la Polisi...
  14. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katiba Bora: Waziri kipenzi wa Kenyatta akimbilia mahakama

    Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior minister Fred Matiang'i tells court Enyi mlioko madarakani tambueni kuwa vyeo ni dhamana na kuna leo na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
  16. JamiiForums Tanzania Wavuvi Kanda ya Ziwa wamuonya Waziri Bashe uvuvi haramu

  17. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  18. JamiiForums Tanzania Heko Waziri Ndumbaro kwa kujibu kwa heshima hoja za wabunge

    LEO nimemsikiliza Waziri wa Katiba Damas Ndumbaro anavyojibu hoja za wabunge kwa heshima na unyenyekevu mkubwa kama chombo kinachoisimamia serikali. Kwanini Mwigulu, Bashe na Makamba wamekuwa wakitoa kauli za dharau bungeni wanajiamini na nini? Mwigulu : Mimi Dokta yangu ni ya darasani sio ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli ni Hussen Bashe

    Awamu ya tatu na ya nne tulikuwa na wazir mwenye misimamo mikali kabisa alieitwa John Pombe Joseph Maghufuli, Kwa sasa tuna wazir wa namna hyo hyo anaitwa Hussen Bashe ..... Bashe ni mzalendo , Bashe ni mpambanaji , very young and highly exposed , anayevaa uhusika , mwenye misimamo isiyoyumba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…