waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  3. JamiiForums Tanzania Mhe. Janejelly James Ntate Amechangia Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu Bungeni.

    MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 06 Aprili, 2023 amechangia Hotuba...
  4. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali haina bajeti ya kuendeleza taasisi za wenza wa viongozi

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023. RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga ameuliza kama Serikali ina mpango wa kuendeleza Taasisi za wenza wa viongozi wakuu Nchini...
  5. J

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ngorongoro: OCD Peter Lusesa, awaweka ndani Wananch 17 wa kisangiro kwa siku 8 na kuwatesa, kwa kosa la kwenda Dodoma kuonana na Waziri Mabula

    Kijiji chetu Kinaitwa Kijiji Cha kisangiro kata ya kirangi tarafa ya sale Wilaya ya Ngoro Ngoro. Kijiji chetu upande wa mashariki kinapakana na Kijiji Cha jema, kusini kinapakana na Kijiji Cha Oldonyo sambu, Magharibi kinapakana na Kijiji Cha Mgholo na Tinaga, kaskazini kinapakana na mpaka wa...
  7. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mhe. Atupele Mwakibete Awaagiza TPA Bandari Kwala Ianze Kazi

    NAIBU WAZIRI, MHE. ATUPELE MWAKIBETE AWAAGIZA TPA BANDARI KWALA IANZE KAZI Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Sekta ya Uchukuzi Mhe. Atupele Fredy Mwakibete ameiagiza mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Nchini (TPA) kuhakikisha inaanza kutoa huduma kwa kutumia Bandari Kavu kwa kuanza na Bandari ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Medard Kalemani amekuwa kimya sana au ndio anajipanga 2025? Angekuwa bado waziri mradi wa JNHP ungekuwa umekamilika

    Mengine mkosoeni ila, mradi wa JNHP alikuwa anaenda vizuri.
  9. JamiiForums Tanzania Stephen Byabato, Naibu Waziri wa Nishati Azindua Mpango wa Miaka Minne wa Masuala ya Jinsia wa TANESCO

    STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa jinsia wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ambao utawezesha masuala mbalimbali ikiwemo kuboresha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Mahojiano ya BBC na Waziri Tax yalipokwenda mrama

    Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani: Ama kwa hakika shughuli ipo. Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya vizuri. Ya CAG nani hajayasikia?
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akabidhi magari matatu ya Zimamoto yaliyotengenezwa Tanzania, asema "Inawezekana majirani waje kununua magari Tanzania"

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amekabidhi magari matatu ya Zimamoto (Mitambo) kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ambayo yenye uwezo wa kubeba maji lita 5,000 na Foam Lita 500 kwa kila gari. Waziri Bashungwa amekabidhi magari hayo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri wa Wizara ya Ulinzi, Bashungwa azindua Bodi ya Shirika la Mzinga

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess Mkoani Morogoro, ilihudhuriwa pia na viongozi mbalimbali kutoka Makao Makuu ya Wizara, Makao Makuu ya Jeshi pamoja na...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

    Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa? Rais hawezi kumwambia Waziri...
  14. JamiiForums Tanzania Ni sawa Waziri Chana kukutana na Balozi wa Urusi leo wakati tunapokea ugeni wa Makamu wa Rais wa Marekani?

    Ni kweli uliowazi kuwa mataifa makubwa haya matatu ya Marekani ,Urusi na China yanakimbizana na kupishana Afrika kijaribu kuongeza ushawishi wao kisiasa na kuongeza ushirikiano pamoja na kukuza biashara. Ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani ni hauko mbali na malengo hayo. Kila mtu atakuja kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Utalii Mary Masanja awainua kiuchumi wanawake wa Sengerema

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja amechangia Mizinga 100 ya Nyuki (Milioni 10) na Mitungi ya gesi 150 (Milioni 12,750,00) kwa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Sengerema kwa lengo la kuwainua kiuchumi na fedha taslimu shilingi milioni...
  17. JamiiForums Tanzania Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa aibu iliyotokea ya taa za Uwanja wa Mkapa nitamwona Waziri Pindi Chana ana akili kama akijiuzulu

    Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile. Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana (Chawa wa Mama) ni Mzigo na...
  19. JamiiForums Tanzania Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga. Taa ziliwaka ikaendelea

    Mechi ya Taifa Stars na Uganda yasimama kwa muda kutokana na taa za uwanjani kupungua mwanga, mwamuzi wa mchezo amesimamisha mechi akifanya mawasiliano na meneja wa mchezo kuona ni mamuzi gani yafanyike. ==== Sasisho: Taa zilizokuwa zimepoteza mwanga zimewaka na mchezo unaendelea ili...
  20. Z

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda Tueleze matokeo ya Tume ya uchunguzi wa shule inayofundisha ushoga

    Ni jambo ambalo Waziri alilitolea maelezo marefu mbele ya vyombo vya habari. Naona ni kimya lna mambo ya ushoga yanatajwa sana! Waziri tueleze nini matokeo ya tume yako. Tueleze hatua ulizochukua kama waziri. Muhimu kabisa, taja shule hiyo ni ipi ili ijulikane kitaifa. Viongozi wa kitaifa TZ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…