Kwa aibu iliyotokea ya taa za Uwanja wa Mkapa nitamwona Waziri Pindi Chana ana akili kama akijiuzulu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,548
108,858
Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile.

Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana (Chawa wa Mama) ni Mzigo na Incompetent kwa Wizara husika, ila kama kawaida sikueleweka na Wasiojua Kufikiri.

Na kwa Upuuzi tulioufanya/ uliofanyika Uwanja wa Mkapa kwa Taa zake kutokuwaka kwa zaidi ya dakika 25 hadi 30 Tanzania tutapigwa Faini Kubwa tu kwani kilichofanyika ni Uzembe mkubwa.
 
Timu yenyewe imetutia aibu,wachezaji wapowapo tu,we fei toto rudi yanga bado hujatulia kabisaa,uzuri wako wewe ulionekana maana ya combination nzuri kwenye yanga,bila combination ile huna mpira wowote,we uliona ni juhudi zako peke yako
 
Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile...
Piga pasi huku wewe mzanaki unakua kama hutuoni ndugu zako wagogo.

IMG-20230328-WA0102.jpg
 
Najua baadhi mtamtetea ila kama Waziri na Kiitifaki ( kwa Ugeni wa Leo wa Waziri Mkuu Uwanjani ) alipaswa kuhakikisha Maandalizi yote ya Mchezo yako tayari na hakuna tatizo lolote lile.

Tokea anateuliwa katika Nafasi hiyo GENTAMYCINE nilisema Waziri huyu Pindi Chana ( Chawa wa Mama ) ni Mzigo na Incompetent kwa Wizara husika, ila kama kawaida sikueleweka na Wasiojua Kufikiri.

Na kwa Upuuzi tulioufanya / uliofanyika Uwanja wa Mkapa kwa Taa zake kutokuwaka kwa zaidi ya dakika 25 hadi 30 Tanzania tutapigwa Faini Kubwa tu kwani kilichofanyika ni Uzembe mkubwa.
Juz morroco na Brazil taa zilizima kwa hyo hayo mambo n normal
 
Back
Top Bottom