waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwa sababu ya tamaa, wamezika taranta zao! Nape anakuwaje Waziri?

    Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri? Tanzania tuna tabu sana! Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi Hatusemi kwa ubaya, ni ili tu, wao wajaribu kujitahidi saana kuendana na wakati, Tanzania sio sehemu ya kujaribishiana...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hivi unaaamini Waziri mmoja tu anaweza kufanya maamuzi ya kuingiza nchi hasara ya zaidi ya trilioni moja bila mabosi wake kujua?

    Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile hazikuwa za umma. Poleni sana Wadanganyika.
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali imesajili miradi ya uwekezaji 537

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha mwaka 2021 hadi Januari, 2023 Serikali ilisajili jumla ya miradi ya uwekezaji 537 yenye thamani ya dola za Marekani milioni 7,222. Amesema hayo leo Alhamisi (Aprili 20, 2023) alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa...
  5. JamiiForums Tanzania Naelekea Wizarani kumkabidhi Waziri bodaboda na vyeti ili asote navyo mwezi mzima

    Habari za asubuhi wakuu. Ndo natoka ndani sasa hivi. Naangaza sendo zangu zilipo. Naelekea wizarani kubadilishana kitengo na yule waziri aliyependekeza tujiajiri. Natumai nitakuwa mtumishi wa umma ndani ya ofisi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja Nitamtaka achague moja kati ya haya: (a) Aingie...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri TAMISEMI

    Pole na majukumu Ndugu Waziri, nina machache ya kukushauri juu ya suala la ajira za walimu; Rejea enzi za Ummy Mwalimu, alichukua wahitimu wa 2012, 2013, 2014, na 2015 akapeleka wote primary hakukuwa na shida. ~ Chukua wahitimu wote wa 2015 peleka primary ili upunguze kelele.
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako unapata Faida gani Wastaafu kulipwa Kikokotoo?

    Leo nimesitika Mbunge anachangia Wastaafu walipwe Mafao ya Mkupuo kama Awali. Ndalichako akaInterupt na kusema Watu wanaolipwa pesa nyingi Sana ambazo si zao hivi wanastahili Kikokotoo. Yaani miaka yote hii ndio Ndalichako kaona Waanze 2022 kupunja Wastaafu akidai wataishi miaka 12. Hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Mhe.Rais wa JMT, Mhe.Waziri wa TAMISEMI Nawapongeza kwa jitihada zenu katika kutengeneza na kutoa fursa za ajira nyingi sana katika kada ya ualimu na Afya. Ni ishara njema katika kupunguza tatizo la ajira nchini. Mhe. Waziri wa TAMISEMI, maoni na mapendekezo haya ni kwa ajili ya ofisi yako...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha na video za utupu za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga vinasambaa

    Sitaiweka hapa kutokana na maadili ya JamiiForums ila sisi Waafrika yapaswa tubadilike hizi siasa za kuchafuana hasa kutegeana makamera ya siri kwenye hoteli ili kuharibu ushawishi ni ujinga. Kuna watu wanasema wakenya wasomi ila kwa hili ni ujinga naona inatrend kila mkenya anafurahia...
  11. JamiiForums Tanzania Peter Msangi anayedaiwa kuvujisha picha/video chafu za Waziri wa Kenya ni nani?

    Peter Noel Msangi Mtanzania anayetrend Kenya kwa kuhisiwa kuvujisha picha na video za Waziri wa Mambo ya Ndani wa Kenya, Millicent Omanga ni nani? Kwa mujibu wa Sonko, kijana huyu alikutana na Waziri huyo mwenye shape yake mwaka 2017 na walianza kuchapana na ulikuwa mchepuko wake wa Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia, sisi Askari tunaomba utuongezee maslahi

    Rais Samia pokea andiko hili linaloletwa kwako nasi askari wako wa Wizara ya Mambo ya ndani kutoka Magereza, Polisi nk . Rais tunayo madai yetu ya muda mrefu ambayo kisheria tunastahili kulipwa. 1. Posho za maji na umeme zilipwe moja kwa moja kwenye mishahara yetu moja kwa moja tofauti na sasa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  16. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Mwaka wa fedha 2023/24

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi Waandamizi wote Serikalini igeni mfano Bora wa Waziri Dkt. Gwajima kuwa na Verified Account JamiiForums

    Pongezi nyingi Kwako Waziri Dkt. Gwajima D kwa kuamua rasmi bila Uwoga kuwa Verified Member hapa Changanyikeni Brains JamiiForums. Niwaombe sasa na Viongozi Waandamizi wote wa Serikali nanyi pia muigeni Waziri Dk. Gwajima kwa kujiweka Wazi hapa (kuwa Verified) ili Sisi akina GENTAMYCINE...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Uwekezaji amesema mwenye duka ana jukumu la kuhakikisha bidhaa husika ipo katika hali inayotakiwa kabla hajamuuzia mlaji

    DKT. EXAUD KIGAHE - MWENYE DUKA ANAJUKUMU LA KUHAKIKISHA BIDHAA HUSIKA IPO KATIKA HALI INAYOTAKIWA KABLA HAJAMUUZIA MLAJI Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) ametoa rai kwa wazalishaji wa bidhaa zote za viwandani kuongeza jitihada za uzalishaji wa bidhaa kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro akiri utekelezaji wa Sheria ya 'Plea Bargain' ulikuwa na mapungufu

    Waziri wa Sheria na Katiba, Damas Ndumbaro amesema utekelezaji wa Sheria ya Makubaliano ya Kukiri Makosa kwa Watuhumiwa katika kipindi kilichopita ulikuwa na makosa ikiwemo Mkurugenzi wa Mashtaka (DDP) kuhodhi mamlaka yote ya kesi. Ndumbaro amesema mapungufu mengine ni sheria kutomwangalia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI waziri labda Ummy Mwalimu

    TAMISEMI ni wizara kubwa sana yenyewe tu ni serikali inayojitegemea, waziri ninayemwona kuifaa ni Ummy Mwalimu. Huyu mama yuko makini hacheki makima yaliyojaa halmashauri. Mwingine profesa Ndalichako. Mama ana ugomvi na Ndalichako? Hakuna waziri mwanaume wa kumpeleka TAMISEMI wamejaa uroho na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…