waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  2. Ushauri wangu juu na namna ya kujiengua hapa tulipo kama Vijana

    Kwa kipindi cha mwezi mmoja nimekuwa katika hali ya kutafuta suluhu ya nini kifanyike kurudisha ari ya vijana, na watu katika utafutaji (hasa vijana) Kwanini? vijana wengi walio ingia barabarani siku ya 29 october ni kutokana na kuona hawana cha kupoteza, vijana hawa walikuwa na chuki, na hii...
  3. UN waikanusha serikali, wasema waziri wa Tz kuonana nao si kwamba wanabariki mauaji yaliyofanyika.

    Umoja wa Mataifa, UN, imetoa tamko linaloweka sawa msimamo wa Umoja huo kwa yale mauaji yaliyotokea Oktoba 29. Kwanza wanasema uchaguzi ulikuwa na walakin. UN imetamka wazi kuwa mauaji yaliyotokea ni haramu kwa haki za kibinadamu. Na kwamba Tume iliyoundwa kuchunguza mauaji haina sifa ya kuwa...
  4. PostGE2025 Waziri Mkuu: Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa kata ya Mlowo, mkoani Songwe ameagiza Hospitali zote hakuna kuzuia matibabu kwasababu mgonjwa hajafanya malipo, amesema mambo ya uandikishaji yafanyike mgonjwa akiwa kitandani anaendelea kupata huduma.
  5. Mtu Aliyenusurika Mabomu Mawili ya Atomiki japani

    Tarehe 6 Agosti 1945, Tsutomu Yamaguchi alikuwa Hiroshima kwa kazi wakati bomu la atomiki lililipuliwa. Alijeruhiwa vibaya (hasa masikio na mwili kuungua), lakini aliweza kupona kiasi na kuondoka mjini. Baada ya siku tatu, tarehe 9 Agosti 1945, aliporudi nyumbani kwake Nagasaki, bomu la pili la...
  6. Joheri waziri wa vijana nijibu mikopo ya asilimia 10% kwa vijana na Akina mama kwa Nini inapitia NMB kwa Nini hisianzishwe Benk ya Ushirika ya vijana?

    Nina ungana Na mchaka mchaka unao ukimbia dhidi ya vijana wa Tanzania, nikutie moyo TU umepewa wizara nzuri sana ambayo uliutumia vizuri unaweza kumsaidia MH Raisi kuliongoza vizuri taifa Ili. Au ukiamua kutumia nafasi hii for your own future paspective hakika utatiboa ilimradi utende haki...
  7. Yuko wapi Naibu Waziri wa Michezo, Paul Makonda?

    Habari wakuu.. Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa. Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
  8. Hivi Mwigulu ni Waziri Mkuu au chawa mkuu?

    Naweza kumuelezea Mkumbo Madelu kama ovyo na asiyefaa hata kuongoza kundi la nzi. Je, huyu jamaa ni waziri mkuu au chawa mkuu? Mie mwenzenu baba yenu sielewi.
  9. M

    Jenista Mhagama alikuwa Waziri wa Afya wakati wa maandamano, kaondoka na siri gani?

    1. Wananchi wangapi walipelekwa hospitali kupata matibabu kwa majeraha ya risasi? 2. Wananchi wangapi walikufa kwa risasi? 3. Miili ya wananchi wangapi walipewa ndugu zao? 4. Miili ya wananchi wangapi haikuchukuliwa na ndugu zao? Yeye kama waziri wa afya alijua taarifa hizi? Je, hizi taarifa...
  10. U

    Video: Laiti Bi Samia angesikiliza busara za aliyekuwa Waziri Mkuu wake Kassimu Majaliwa, yasingempata mabaya!

    https://youtube.com/shorts/fqV8YjqT4bg?si=-IfgOWOIcnYOg8Wh Maneno kuntu ya aliyekuwa PM In brief note: Kassimu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi. Mungu ndiye hupanga nani awe nani ktk kuongoza watu wake Kassimu Majaliwa: Hata ukilazimisha kupata nafasi hiyo, huwezi kupata kama Mungu hajasema...
  11. Tetesi: Manispaa ya Ilemela mnamhadaa waziri mkuu kwa faida ya nani ?

    1. Watumishi wadai Hela ya Likizo Zao tangu 2024. Ujio wa Mhe Waziri Mkuu,watumishi waliambiwa wapeleke Vendor form na Bank statement tayali kwa kulipwa Kama hawakulipwa kihalali na Serikali inajua ( maana Waziri Mkuu ndiye alikuwa Waziri wa Fedha),Kwa nini mlimhadaa kwamba Halmashauri...
  12. S

    Halafu kesho unamtuma eti Waziri wa Vijana akaongee na vijana. Akaongee na wanajeshi na Polisi

    Sio huyo tu, hata Mwigulu hatumuhiraji nae aende makambini akaongee na wabeba bunduki. Hii ndio nchi iliokuwa inaitwa kisiwa cha amani leo inatawaliwa kwa mtutu wa bunduki. Ni aibu na fedheha tupu mbele ya walimwengu. Anyway, haya ndio matokeo ya kutawaliwa na viongozi haramu wasio na...
  13. Kwa Mwigulu watanzania tuna Waziri Mkuu Kivuli

    Poleni sana watanzania kwani tumepata waziri mkuu kilaza kuwahi kutokea, yaani anachokifanya ni upuuzi kiwango cha lami. Ameshindwa kabsa kuelewa kuwa kauli za viongozi ni dira ya taifa. Ni kauli ambazo zinapaswa kutia moyo, kujenga matumaini na kuzungumzwa kwa umakini mkubwa na sio kuropoka...
  14. Waziri wa maji baada kutatua maji yanapotoka unaenda kutembea kuangalia mtaani

    Hii nchi itakuwa na channel ya maajabu huko mbinguni.
  15. Waziri mkuu Mwigulu na jambo na wewe kuhusu uwaziri wa fedha ulipomalizia

    Moderator kama itakupendeza unaweza kumtag kabisa maana nchi ni yetu sote. Waziri mkuu mwigulu nakupa ongera sana kupata uwaziri maana ni nafasi kubwa inayosimamia wizara zote. Kutokana na mlichokifanya na kufikia hapo kuwa waziri mkuu mpaka yametokea yote watu kufa maana wewe unaeleza mali tu...
  16. Waziri Ulega amsimamisha kazi bosi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA)

    SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi imemsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ili kupisha uchunguzi wa tuhuma za uzembe, usimamizi dhaifu na ubadhirifu dhidi yake na viongozi wengine wa taasisi hiyo. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza hatua hiyo jijini Dar...
  17. PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Tanzania Bishwadip Dey

    Waziri Kombo akutana na Balozi wa India nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India nchini, Mhe. Bishwadip Dey, katika ofisi ndogo za Wizara, jijini Dar es Salaam, tarehe 06...
  18. PostGE2025 Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania

    Waziri Kombo akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Bw. Andrew Lentz katika ofisi ndogo za Wizara, jijini...
  19. Waziri wa vijana wiki mbili tu ushakimbia ujana kwa spana.

    Yule jamaa ukisikiliza mada zake unaweza kujua katoboa kumzidi Bakharesa na matajiri wengine kwa zile kanuni zake. Si unajua siku hizi umaarufu ndio unapewa idara kwa serikali ya CCM. Sijui kapotelea wapi?.
  20. Waziri wa Vijana Ndugu Nanauka akishindwa kuzuia D09 Afutwe Kazi

    GTs, Samia tangu amteue Nanauka kuwa waziri wa vijana sijaona alichofanya zaidi ya kucheza bao na wahuni aliowakodisha. Yaani badala ya kuamrisha yafuatayo; 1. Kuhakikisha vijana hawatekwi tena 2. Kuhakikisha vijana wote waliofariki maiti zao zinapatikana 3. Kuhakikisha vijana wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…