waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Waziri wa michezo wa nchi ya Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju

    Wadau hamjamboni nyote? Mfahamu Waziri wa michezo Rwanda Aurore Mimosa Munyangaju Aurore Mimosa Munyangaju (born as Aurore Mimosa), is a Rwandan businesswoman and politician who serves as Minister of Sports since 5 November 2019. Mimosa holds a certificate in dealing simulation, awarded by...
  2. JamiiForums Tanzania Waislamu wasiotaka kuendana na mila na desturi za bara Uropa wahamie kwingine, asema waziri wa Ujerumani

    Mnakimbia mataifa yenu, mnagoma kukimbilia mataifa ya waislamu na kuchagua kwenda bara Uropa kule ambako mnazaliana, ila mnataka hao huko Uropa wabadilishe mila na desturi zao ziendane na matambiko yenu......mumeagizwa mtafute kuhamia kwingine. ======================== Muslim refugees heading...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji yaidhinishiwa na Bunge la Tanzania jumla ya Bajeti ya Shilingi 627,778,338,000

    WIZARA YA MAJI KUANZA KUTEKELEZA MKAKATI WA GRIDI YA TAIFA YA MAJI - WAZIRI AWESO Waziri wa Maji Nchini Mhe. Jumaa Aweso amesema Serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeanza utekelezaji wa mkakati wa Gridi ya Taifa ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Ndani ya miaka 3 ya Rais Samia huduma ya maji safi na salama imeimarika vijijini na mijini

    NDANI YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA HUDUMA YA MAJI SAFI NA SALAMA IMEIMARIKA VIJIJINI NA MIJINI - WAZIRI AWESO Asema Vijijini huduma imeimarika kutoka wastani wa 77% Desemba 2022 hadi 79.6 Desemba, 2023 Mijini kutoka wastani wa 88% Desemba, 2022 hadi 90% Desemba, 2023 Waziri wa Maji Nchini Mhe...
  5. JamiiForums Tanzania Mawasiliano ya Barabara ya Dar - Lindi Kurejea Kesho, Panapitika: Waziri Bashungwa

    MAWASILIANO YA BARABARA DAR - LINDI KUREJEA KESHO, SOMANGA PANAPITIKA: WAZIRI BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa anaendelea kuisimamia timu ya wataalam na Makandarasi kurejesha mawasiliano ya barabara ya Lindi - Dar es Salaam ambapo tayari eneo la somanga limeanza kupitika na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  7. JamiiForums Tanzania LUKU za Maji zinakuja lini jamani ili haya mabili ya kubambikiziana yaishe?

    Naomba nikikumbukushe Mhe. Waziri Mama Samia alituhidi Mita za Maji na akasema hataki tena kusikia mambo ya kubambikiziana bili ya yule peleka huku ya huyu weka kule zife Kiukweli inasikitisha inatia aibu hasa Dar es Salaam ongezeko la mabili linaendelea kama kawaida ..unit wanazokupa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao

    Waziri Mkuu: Serikali itasimamia kwa uweledi usalama wa wanahabari na kutosumbuliwi popote wanapofanya kazi yao
  9. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Tanzania asema anafurahishwa na washiriki wa Stories of Change kwa uandishi wao

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani (World Press Freedom Day) kwa Mwaka 2024 yanayohitimishwa leo Mei 3, 2024. Maadhimisho hayo yanayofanyika Jijini Dodoma katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre yanngozwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopata ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji, kuhakikisha wanaitekeleza kwa weledi na ubora

    WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 Kodi Zinazowezesha Maendeleo (Taxes for Progress); maoni kwa Waziri wa Fedha

    Mheshimiwa Waziri wa Fedha, Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Ndani: Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia wakati wa Uchaguzi Mkuu 2024 na 2025

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji

    WAZIRI Mkuu Kassimu Majaliwa amesema serikali inaendelea kuchukua hatua mahsusi za kuimarisha kilimo cha umwagiliaji kwa kujenga miundombinu na kuongeza bajeti. Aidha amezielekeza Halmashauri zote nchini kuweka mpango mahsusi wa ardhi kwa ajili ya kuendeleza kilimo cha umwagiliaji. Majaliwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Waziri hana mamlaka ya kutoa hukumu kwenye mgogoro wowote ule. Ndio maana Bunge na Mahakama zetu havina nguvu

    Hapa Tanzania na nchi nyingi za kiafrika bunge na mahakama vipo kama mapambo tu na hutumika na wanasiasa wakitaka kufanya mambo yao. Inashangaza jinsi watanzania wengi wasivyojua haki zao na taratibu za kupata haki zao! Kwanini watu wengi hufikiri kuwa waziri ana mamlaka ya kuamua haki kati ya...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene ana hoja ila simuamini

    Kuna clip nimekutana nayo kwenye social media ikimuonyesha Waziri Simbachawene akieleza "Mkakati" wa Serikali kuja na "USAWAZISHO" ili wafanyakazi waweze kuishi na wenza wao. Hoja zake ni chache ila ni nzito Sana kama ifuatavyo: - Moja, kutenganisha familia kwa kigezo cha Ajira ni kinyume na...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwandamizi Israel Jenerali Ben Gantz kufanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali ya baiskeli

    Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata ajali hiyo wiki moja tu baada ya Waziri wa Usalama wa nchi hiyo takatifu Itamar Ben Gvirs Irael...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa akagua urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara Mkuranga, aeleza mikakati ya Serikali

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali kupitia Wakala wa Barabara (TANROADS) imejipanga kuhakikisha inarejesha mawasiliano ya barabara zote na madaraja yanayoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha ndani ya muda mfupi pindi yanapoharibiwa. Aidha, Bashungwa amewaelekeza...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Atoa Masharti Magumu ya Msaada wa Kiufundi kwa Wawekezaji

    - Ni Kampuni ya Xin Tai Mining Company Limited - Awataka wafanye utafiti na kuongeza thamani kama walivyoainisha kwenye mkataba - Serikali kutoa utaratibu mpya juu ya msaada wa kiufundi(technical support) Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameitaka Kampuni ya Xin Tai Mining Company...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua tofauti mfano waziri mstaafu na mstaafu waziri

    Kuna tatizo kidogo kwenye kiswahili maana kwa viongozi hata wakimaliza mda wao wanatanguliza vyeo walivotumia na kumalizia mstaafu. mfano raisi mstaafu,waziri mstaafu. ila kwa wengine ijalishi ni polisi,mwalimu,dokta wanatanguliziwa mstaafu wala sio cheo alichotumikia ili linakuwaje mfano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…