Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,627
- 30,957
Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
Kawaida ya ccm kubadilishana cheo na akiliJamaa alivyopewa Uwaziri alibadilika kabisa akawa mtu tofauti sana.
ok.🐒View attachment 3700817
Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
Dili la Fire lilimuondoa kazini.Mzee alinifurahisha kwa kutembea na ilani ya CCM kila pahala.
Helicopter Za Kuzima MotoDili la Fire lilimuondoa kazini.
Yupo Mwibara Huko, Centre Bolt ZinamsumbuaMzee alinifurahisha kwa kutembea na ilani ya CCM kila pahala.
Mawaziri wa jiwe haoView attachment 3700817
Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!
Mzee Wa MaunomaunoMawaziri wa jiwe hao
Heri hao vichaa kuliko hawa majambazi mafisadi papa cabinet nzima majizi.Mawaziri wa Magu hao vichaa
Aliwahi kumfananisha magufuli na Yesu,nilianza kumchukia siku hiyo hiyoView attachment 3700817
Waziri wa sasa atakayethubutu kufanya hivi leo, atatekwa na kufunguliwa kesi ya UHAINI!