waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama achaguliwa Makamu Mwenyekiti Kamati Tendaji ya Masuala ya Afya Ukanda Wa Mashariki Mwa Afrika

    Waziri wa Afya wa Tanzania, Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya Afya ya Jamii Kanda ya Mashariki Afrika (The Regional Streering Committee- ResCo). Mawaziri wa Afya wa kutoka nchi 14 wanachama wa Kanda ya Mashariki mwa Afrika...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri kombo awasisitiza diaspora kuchangamkia fursa

    WAZIRI KOMBO AWASISITIZA DIASPORA KUCHANGAMKIA FURSA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasisitiza Watanzania waishio nchini China (Dispora) kuchangamkia fursa ikiwa ni pamoja na kuongeza mauzo ya bidhaa na huduma za Tanzania...
  3. JamiiForums Tanzania Peter Kibatala: Barua ya kulifungia Kanisa la Askofu Gwajima si halali na haitambuliki na Wizara

    Akisoma majibu ya Rufaa yaliyotumwa kwao Juni 6, 2025 kutoka kwa Ofisi ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Wakili Peter Kibatala ametoa maelezo ambayo yanaonesha kuna “hali ya sintofahamu” kuhusu barua iliyotumika kulifungia Kanisa la wateja wake, Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church maarufu kwa...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Israel Katz amemuonya kiongozi wa Iran, Ali Khamenei, kwamba iwapo makombora yataendelea kurushwa kwa Israel, Tehran itaungua.

    Wadau hamjamboni nyote. Live Update arrow right icon From the Liveblog of Saturday, June 14, 2025 Katz: ‘If Khamenei continues to fire missiles at the Israeli home front, Tehran will burn’ By Emanuel Fabian Follow Today, 12:16 pm Defense Minister Israel Katz warns Iran’s leader, Ali...
  5. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: je ni kweli waziri wa fedha yuko juu ya mteule wake?

    Wasalaam. Kuna ushahidi kwamba rais anamlalamikia waziri wa fedha kwa ubadhirifu badala ya kumchukulia hatua. Mawaziri wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibu wa sheria. Wabunge wanamlalamikia waziri wa fedha badala ya kumwajibisha kwa mujibbu wa kanuni za bunge. Hii...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani "Marco Rubio": Israel wamejichukulia maamuzi yao, sisi hatuhusiki kwa lolote lakini ole wao Iran watuguse !

    Statement from Secretary of State Marco Rubio “Tonight, Israel took unilateral action against Iran. We are not involved in strikes against Iran and our top priority is protecting American forces in the region. Israel advised us that they believe this action was necessary for its self-defense...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika mkutano wa waratibu wa utekelezaji wa maazimio ya FOCAC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya Jukwaa la Ushirikiano baina ya China na Afrika (FOCAC), unaofanyika tarehe 11-12 Juni 2025 jijini Changsha...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge ambana Waziri Dabi ya Kariakoo Bungeni

    "...Ligi yetu inaelekea mwisho lakini kumekuwa na mvutano wa hizi timu mbili na Viongozi wa TFF, ipi kauli ya Serikali...." Mbunge wa Makete - Festo Sanga.
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Ziarani Nchini China

    Waziri Kombo Ziarani Nchini China🇨 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amewasili Beijing, China tarehe 9 Juni, 2025 kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri wa Watu wa China...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani atishika na 'No reforms no election' asema jambo la msingi ni kulinda amani 'kuna vita huko duniani'

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi,Mbunge wa Jimbo la Babati vijijini Daniel Sillo amewahakikishia Wananchi wa Jimbo Lake kuwa serikali itaendelea kuwasogezea huduma zote muhimu na wapinzani wasiotaka uchaguzi watajua wenyewe. Akizungumza kuelekea uchaguzi mkuu Sillo amesema jambo la msingi...
  11. JamiiForums Tanzania Yaripotiwa Elon Musk kutwangana makonde na waziri wa fedha wa Marekani, Scott Bessent

    Baada ya maswahiba wawili Elon na DJT waliowahi kushibana sana kumwagana wiki ya karibuni siri zao mbalimbali zaendelea kuvuja au kuachiliwa, mojawapo ya hivi karibuni na Elon Musk kushikana mashati na waziri wa fedha wa Marekani katika moja ya vikao kazi vyao ambapo ilibidi hadi watu wazima...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile Aipongeza TCAA Uimarishaji Anga

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE AIPONGEZA TCAA UIMARISHAJI ANGA NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ametembelea na kuipongeza Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) kwa kusimamia kwa mafanikio utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayoendelea kuboresha sekta ya usafiri wa anga. Akizungumza...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa ahimiza Waandishi wa Habari kuhamasisha Amani na Usalama

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, ametoa wito kwa Waandishi wa habari kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuwaelimisha na kuwakumbusha Watanzania juu ya umuhimu wa tunu ya amani na usalama, ambayo ni urithi kutoka kwa waasisi wa taifa letu, Tanzania. Ametoa wito huo...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri anaweza kukomesha utekaji?

    Mheshimiwa Mpina amemlenga huyu huyu Waziri au yule Waziri mwingine? Janga la utekaji nchini ni likesababishwa na uzembe wa Wizara ya Mambo ya Ndani au Uamuzi wa "wakubwa"? Utekaji ungekuwepo kama "wakubwa" wasingeuhitaji? Nahisi Mheshimiwa hamsemi "huyu" Waziri bali "yule" Waziri!
  15. P

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  16. JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  18. JamiiForums Tanzania Hawa ndo Viongozi wetu wa CCM na kunasiku Huyu anaweza kuwa Mbunge, Waziri hata Rahis. Ndo Uhalisia

    Huyu sasa ndo mwanaccm halisi, anafaa kuwa Diwani,Mbunge,Waziri na Rahisi. Anakuwa Rahisi kabisa na anaongoza watanzania hawa ambao hawana makuu.
  19. JamiiForums Tanzania Anayekumbuka: Maandamano wanafunzi wa UDSM kupinga ukoloni wa Wafaransa

    Mnamo miaka ya 1970s , wanafunzi wa UDSM waliandamana Dar es salaam International Airport kupinga siasa za ukoloni wa Kifaransa . Maandamano hayo yalikuwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, aliyeitembelea Tanzania kuona ni misaada gani wafaransa wanaweza kuleta na ushirikiano...
  20. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima aliomba Unaibu Waziri kwa Rais Samia

    Aisee waswahili husema wacha inyeshe tujue panapovuja!! Kumbe askofu Gwajima alifikia hatua ya kwenda ikulu kuomba Unaibu waziri kwa Rais Samia!! Kuna mengi sana yaliyo nyuma ya pazia juu ya hawa wahuni!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…