Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, jana Aprili 28,2021 amefanya kikao kazi na watumishi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA). Katika Kikao hicho Waziri ameitaka EWURA wahakikishe mamlaka zote za maji nchini, zinatoa ankara sahihi kwa wateja wa maji na zinafuata sheria...