Hatimaye waziri shoga nchini Marekani ala kiapo kulitumikia Taifa

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,744
21,191
Moja ya mambo yanayoleta utofauti kati ya Donald Trump na huyu American presida wa sasa Joseph Biden ni msimamo katika baadhi ya mambo.

Twende kwa mada;

Masaa machache yaliyopita makamu wa Rais wa marekani mwanamama Kamala Harris, amemwapisha waziri wa usafirishaji na miundombinu nchini humo.

Amemsifia waziri huyo ambaye ni shoga na wakati wa kuapa kwake alikuwa na mwenza wake (eti mke) aliyemsaidia kubeba msahafu, pia VP amesema jamaa huyo ndiye atawaleta wamarekani pamoja katika kuimarisha idara hiyo.

👉🏾Hapa chini nimekuwekea picha tofauti usome alama za nyakati kwa safari iliyopo mbele kwa taifa hili kubwa kutoa alama hii maridhawa kwa mataifa yanaoendelea.

IMG_20210204_190425.jpg
IMG_20210204_191204.jpg
IMG_20210204_190412.jpg

☝🏾PHOTOS: Maelezo ya picha hizo tatu ni kuapishwa kwa viongozi tofauti wakiwa na familia zao, picha ya kwanza ni mmoja wa mawaziri asiye na mume wala jamaa/ndugu aliyeambatana naye.


👇🏾PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VP Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.

IMG_20210204_190333.jpg


Note: The day has come they wanna try it in their government.
 
Unasema 'inasemekana kwamba ni shoga' sasa hapo bado inasemekana nini, wakati ni kweli yuko hivyo na mwenza wake huyo hapo.

Anyway, mashoga nao si wanasoma, sasa wasipoteuliwa kuwa viongozi elimu zao wanazitumia wapi maana moja ya faida za kuwa na ujuzi ni ikiwemo kupata fursa ya kuteuliwa kuongoza. hongera kwake kwa kupata wadhifa huo mkubwa.
 
PHOTO: Huyu ndiye waziri wa usafirishaji na miundombinu Pete Buttigieg aliyeapishwa na VC Kamala, inasemekana ni shoga, pembeni ni mpenzi wake aliyeshika msaafu.
Naomba nikusahihishe kwamba huyo aliyeshika msahafu ni mme wake na huyo waziri! Na ukumbuke kwamba waziri amechukua ubin wa mmewe maana hilo jina la mwisho ni la huyo mmewe (anaitwa Chasten Buttigieg)
 
Back
Top Bottom