waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
  2. Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  3. K

    Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha kuhusu Hotel Levy ya Halmashauri

    Kwanza pole sana. Mungu ni mwema natumaini unaendelea vizuri. Natumaini kuwa Wizara ipo mbioni kukamilisha bajeti ya 2021/22. Mimi nina ushauri kuhusu mapato ya HOTEL LEVY YA HALMASHAURI. Kwanza ni wajibu wa kila mfanyabiashara kulipia mapato ya Serikali ili kuwepo maendeleo kwa wananchi...
  4. J

    RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
  5. Mwl. Nyerere: Unaweza kumtingisha Waziri Mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais

    Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika. Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
  6. J

    Waziri Dkt Ndugulile aipongeza TTCL uboreshaji vituo vya huduma kwa wateja

    Na Mwandishi wetu - Zanzibar Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano. Amesema hayo katika hafla...
  7. Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe apiga marufuku taasisi zilizo chini ya Wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote

    Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi TRA na...
  8. J

    Waziri Gwajima: Nawapongeza sana Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito, Leo nimefurahi sana!

    Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  9. J

    Waziri Mkuu Majaliwa: Wakulima wa mazao wanapaswa kulipwa ndani ya siku 4, tutaanzisha soko la chai Dar es Salaam

    Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo. Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo. Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
  10. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo avikumbusha vyombo vya habari kuwa kutumia uvumi kama habari rasmi ni kukiuka sheria

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
  11. Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo. Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli. Amesema kama hauna uhakika na...
  12. J

    Siku 100 za kishindo cha wizara ya mawasiliano na teknolojia ya habari chini ya Waziri Dkt Faustine Ndugulile

    Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
  13. J

    Waziri Bashe: Hatujapokea taarifa rasmi kutoka Kenya kuhusu kuzuiwa mahindi yetu ila magari yetu yamezuiwa!

    Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo. Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
  14. J

    Naibu Waziri wa Afya, Dr. Mollel amjibu Fr. Kitima kuhusu Corona. Amkosoa na kumuelimisha maana ya UKWELI

    Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv. Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima. Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria...
  15. B

    Mwenyekiti atishia kwenda kwa Rais mbele ya Waziri Lukuvi

    3 Mar 2021 Mtoto wa Muasisi wa TANU uso kwa uso na Mh. Lukuvi, matatizo ya ardhi jijini Mwanza Leo March 03, Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo Makazi William Lukuvi amekutana na Watumishi wa Jiji la Mwanza idara ya ardhi na wengine, Waziri Lukuvi akiendelea na kikao nje kukawa na Wananchi...
  16. J

    Changamoto: Mazrui aapishwa kuwa Waziri wa afya Zanzibar; Je, Zitto Kabwe atamshawishi alete chanjo za Corona?

    Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee. Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar. Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda namna Serikali inavyoshughulikia suala la Corona na amekuwa akitumia zaidi mitandao ya kijamii hasa...
  17. Naibu Waziri wa Maji aagiza fundi wa mradi awekwe ndani

    Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera. Inadaiwa fundi alitaka kuupeleka msafara wa Bi. Naibu waziri kwenye sehemu tofauti na sehemu iliyo na...
  18. J

    Je, kutoa takwimu za watu waliokufa kwa matatizo ya kupumua wakati wewe siyo Waziri wa afya inaruhusiwa kisheria?

    Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka. Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa takwimu ni Rais, Makamu wa Rais, Waziri mkuu na waziri wa afya pekee. Sasa najiuliza hawa wengine...
  19. Ubadhirifu wa dawa zenye thamani ya Tshs 26.7 billioni wabainika kwenye Hospitali za Rufaa za mikoa 28 Tanzania bara

    Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…