waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengelwa, watu wanakuchukulia poa! Hebu onesheni makucha

    Tayari mezani unazo ripoti kazi nne ambazo TAKUKURU wanatakiwa wafanye kazi na tuone watu wamewajibishwa 1. Ripoti ya Wizi wa Madini ya Tanzanite Mererani 2. Ripoti ya Ufisadi Bandari 3. Ripoti ya CAG 4. Ripoti ya BOT Sasa ni wakati wa wananchi kusikia nani na nani walihusika na warudishe...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mawaziri waliosimama kama Mawaziri awamu ya Sita, Wengine hamna kitu kabisa

    Ukweli kabisa kwangu mimi ni mawaili tu mpaka sasa! Mohamedi Mchengerwa na Geofrey Mwambe. Hawa wamezishika nafasi zao kwa kujiamini na wanaendasha kazi za Uwaziri kama ipasavyo. Mohamed Mchengerewa mpaka nimeanza kumfikia come 2030 akae pale juu. Huyu bwana anajitambua sana. Mwambe anajua...
  3. JamiiForums Tanzania Nilidhani mnaomjibu Waziri Ummy Mwalimu na Hoja yake ya 'Likizo na hakuna Twisheni' mna jipya, ila naona mnamjibu 'Utumbo' tu

    Kwa hili la Waziri Ummy Mwalimu la Likizo na hakuna Twisheni Mimi kama GENTAMYCINE naungana nae tena kwa 100% zote tu. Hivi Wataalam wa Taaluma, Elimu na Saikolojia walioweka Kipindi cha Likizo kwa Watoto ( Wanafunzi ) walikuwa Mazuzu ( Majuha ) kama wengi wenu mnaompinga? Kuna Mzazi Mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Mchengerwa awashukia maofisa ‘wanaobania’ watumishi kupanda madaraja

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa amewaagiza waajiri wote nchini kuchukua hatua kuwaondoa katika nafasi zao baadhi ya maofisa utumishi walioshiriki kuficha sifa za watumishi wenzao hali iliyosababisha kutopandishwa madaraja. === Arusha. Waziri...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda anapaswa kujiuzulu kwa kutoa maamuzi yaliyopingwa na Rais Samia

    Ukisoma katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kwenye ibara ya 54(3) inataja baraza la mawaziri ndio chombo kikuuu cha kikatiba cha kumshauri mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mambo yanayohusu utekelezaji wa majukumu yake ya Urais Sasa kama kuna...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waziri ang'aka akitaka Kodi za Pango la Ardhi

    Amesikika waziri Angelina Mabula akidai kodi kwa wananchi choka mbaya: Bila shaka hii ni juu ya kodi za pango la nyumba na tozo za Dr. Mwigulu zinazokusanywa juu kwa juu kupitia miamala ya simu. "Inafikirisha kuwa sehemu kubwa ya pesa hizi zinazokusanywa kwa nguvu kutokea kwa wananchi hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

    Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya. Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona. Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe. Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri January Makamba, siku mbili za miujiza ulizotuahidi tunakukumbusha zimekwisha

    Waziri siku ya Jumatatu ulitoa tamko na kutuahidi watanzania kuwa baada ya siku mbili utakuja na suluhu ya tatizo la umeme na ukame unaoikabili nchi yetu kwa sasa. Waziri leo ni Jumamosi lakini tunaona uko kimya wala huna habari kabisa na umesahau kama ulitoa ahadi ya kutupatia muujiza ndani...
  9. JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso anatunikiwa shahada ya uzamili ya uongozi, Zanzibar huko

    Katika mahafali ya 40 ya chuo kikuu huria cha Tanzania yanayofanyika viwanja vya Mao Tse Tung, Mjini Magharibi Zanzibar. Waziri wa Maji Jumaa Aweso anajipatia Masters Degree ya Uongozi. Wengine wanaopata shahada za uzamili ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Aidha Mume wa Tulia Ackson anajipatia...
  10. JamiiForums Tanzania Tumelisikia Tangazo la Waziri wa TAMISEMI kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati

    Habari wadau, Nimemsikia waziri wa TAMISEMI akitoa angalizo kuhusu michango ya wananchi kwa ujenzi wa madarasa na zahanati. Akisitiza wananchi wasitozwe pesa katika ujenzi wa zahanati na madarasa. Ni kweli ni wazo zuri lakini litatukosesha ulaji sisi watendaji wako wa chini. Kwani kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Januari Makamba hakikisha mradi wa bwawa la umeme la mwalimu Nyerere unakamilika

    Nawasalimu wanaJF. Natoa nasaha kwa Januari Makamba Waziri wa Nishati ahakikishe anafanya commitment ya fedha kwenye strategy sahihi yaani ukamilishaji wa mradi wa bwawa la Mwalimu Nyerere hata kama hapendi. Sidhani kama watanzania wanahitaji solutions za muda mfupi za vimegawati 80 katika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima umechemka kuhusu Uuzaji wa Damu unaodai unafanywa na Watumishi wa Wizara ya Afya. Hujui ufanyalo

    Waziri wa Afya Dr Gwajima Katika hotuba yake aliyoitoa kwa watumishi ambapo aliwaonya kuhusu kununua damu au kwa watumishi kuuza damu na kudsi ni kosa hivyo anatoa eti mwezi kwa yoyote atakayebainika atachukuliwa hatua kali za kisheria. Cha Ajabu akiwa kama Waziri wa Afya kwanza Watumishi Wote...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa ITV na Radio One Farhia Middle umepewa Shilingi ngapi kwa Sifa ulizompa leo Waziri wa Maji Aweso?

    Yaani Dada yangu Farhia Middle hivi Waziri wa Maji Awesso kuwa 'Field' kuangalia Changamoto za upatikanaji wa Maji Mkoani Dar es Salaam ndiyo hadi Umsifu mpaka utake hata Kumkufuru Mwenyezi Mungu katika Kipindi chenu Kizuri cha Mazungumzo ya Familia cha leo ukiwa na Pacha wako Aboubakary Sadick...
  15. JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi lamrejeshea madaraka Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok

    Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Waziri Godfrey Mwambe kama hauwezi kuthibitisha uongo wa Hayati Magufuli basi unapaswa kujiuzulu mara moja

    Inasikitisha sana! Tuna viongozi wa ajabu sana Nchi hii ! CCM iko wapi? Aliyelieleza Taifa kuhusu " madudu" ya mkataba wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo alikuwa ni Rais wa JMT, Amiri Jeshi Mkuu, Mkuu wa Nchi, Raia namba moja mwenye taarifa zote muhimu 24/7 kuhusu Nchi yake kuliko raia mwingine...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo Profesa Mkenda, unataka Rais Samia akubebeje?

    Binafsi napata wasiwasi na huyu Waziri ambae elimu yake ni Professor, namuuliza kweli ameshindwa ku handle tatizo la bei ya mbolea nchini? Na msaidizi wake Bashe ambaye kimsingi ni mkulima inamana Bashe na wewe kwenye mashamba yako unanunua DAP, KAN, UREA 110,000 kwa mahekari yote hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais yatoa takwimu za wanaofanya biashara ya ngono

    Utafiti uliofanyika umebaini Zanzibar kuna wanawake wanaofanya biashara ya kuuza miili yao 5,554 Huku wanaume wanaofanya mapenzi ya jinsia moja wakiwa ni 3,300, Kati ya hao 3,000 wapo kisiwani Unguja na 300 wapo kisiwani Pemba. Taarifa imetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati apewe Waziri anayeaminika na watu wengi ili hata akisema lipo tatizo aaminike

    January si Waziri asiyeaminiwa na wengi hata michango ya watu iwe mitaani ama humu mitandaoni ukweli huo unajidhihirisha. Sasa ili kuwe na kuaminika tena kwa matatizo yahusuyo Nishati nikuombe Rais Samia teua Waziri mwenye japo chembe ya kuaminika na wengi wetu awe Waziri wa Wizara hiyo. Bado...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…