waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri: Nchi yetu haijawahi kushuka uchumi wa kati chini ila uchumi wa wananchi ndio umeshuka

    Akijibu swali bungeni leo mheshiwa naibu waziri wa fedha amesema nchi yetu haijawahi kushuka toka uchumi wa kati chini tangu tulipiongia. Kilichotokea ni kushuka kwa ukuaji wa pato la taifa toka 7% hadi 4%. Ila mimi niliwahi kumsikia kiongozi mmoja akisema tulifika uchumi wa kati ila wenye...
  2. JamiiForums Tanzania Waajiriwa wapya tunaosubiria barua ya ajira ili kuripoti Julai 1, 2022 tukutane hapa

    Wale wote waliofaulu usaili ambao wanatarajia kuajiriwa kuanzia tarehe 1.7.2022 na Bado hawajapatiwa barua Za kuripoti kazini tarehe hiyo kufuatia tangazo na maagizo ya serikali kupitia kwa Waziri JENESTER Mhagama tukutane hapa.
  3. JamiiForums Tanzania Hii Video Clip ninayoiona ya Waziri Mkuu akiwa huko Ngorongoro anashangilia na kuimba pamoja na Wanajeshi wa JKT inamaanisha nini?

    Je, ndiyo 'mnatulazimisha' tuamini kuwa Safari ya 'Watanzania' kuhamia 'Msomera' ilisimamiwa 'Kijeshi' na 'Vipigo' juu au?
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama aagiza utekelezwaji wa ajira mpya kuanzia Julai, 1

    Akichangia hoja ya Utoshelevu wa Watumishi wa Umma na mifumo ya ajira nchini Bungeni leo, Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ameagiza Sekretarieti ya Ajira kutangaza vijana waliofaulu usaili wa ajira za utumishi wa Umma na Julai 1, ajira zote mpya zianze...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ziarani Loliondo na Tanga, leo Juni 23, 2022

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 23, 2022 yupo katika ziara ya siku moja katika Mkoa wa Arusha na Tanga ambapo atashuhudia zoezi la awamu ya Pili ya wananchi takribani 117 kutoka kaya 27 wanaohama kwa hiari yao wenyewe kutoka katika eneo la hifadhi ya Ngorongoro kuelekea Kijiji cha Msomera...
  7. JamiiForums Tanzania 70% ya Waitalia hawataki nchi yao kumsaidia silaha Zelensky

    Wabunge wamemshikia mabango Waziri Mkuu wa Italia, Mario Draghi wakipinga hatua ya kuisaidia Ukraine === Italy Deputies rise up against Mario Draghi “Stop sending weapons to Zelensky! More than 70% of Italians do not want to send weapons to Zelensky,” the deputies say. Mario Draghi is accused...
  8. JamiiForums Tanzania Israel: Waziri Mkuu avunja Serikali ya Muungano

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Naftali Bennett imetangaza kwamba Serikali ya Muungano ya nchi hiyo itavunjwa, na hivyo uchaguzi mwingine kuandaliwa. Bennett na mshirika wake mkuu, Yair Lapid, watalivunja Bunge katika siku zijazo, ofisi ya Bennett imesema. Lapid atahudumu kama Waziri Mkuu wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulamula asisitiza umoja na mshikamano kwa nchi za Afrika na Nordic

    15 Jun 2022 Helsinki, Finland Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nordic baada ya kumalizika kwa mkutano wa 19 wa Mawaziri hao jijini Helsinki, Finland. Waziri wa...
  10. JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Bajeti iliyosomwa ni mbovu haijawahi kutokea tangu tupate uhuru. Takwimu nyingi haziko sahihi

    Waziri wa fedha amechemka. Maana hata takwimu alizotoa hazilandani na kilichomo kwenye bajeti. Na hii bajeti haikufanyiwa utafiti Profesa Lipumba: Bajeti ya Serikali mbovu kuwahi kutokea. ========= Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba ameikosoa bajeti ya Serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi, Dkt. Stergomena afunga Kozi ya Ukamanda na Unadhimu, Astashada na Shahada - Juni 18, 2022

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) ameongoza mahafali ya kufunga kozi ya Ukamanda na Unadhimu na Astashahada na Shahada ya Uzamili ya Mafunzo ya Ulinzi na Usalama yaliyofanyika katika Chuo cha Ukamanda na Unadhimu (Command and Staff College) - Duluti...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

    Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  14. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Waziri afafanue kodi aliyoitangaza, kodi hailipwi na mtu

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema kauli kuhusu mfumo wa ulipaji kodi kwa raia wenye umri wa miaka 18 na zaidi ambaye atakuwa na TIN Namba uliopendekezwa katika Bajeti Kuu 2022/23 inatakiwa kufafanuliwa vizuri. “Inawezekana Wananchi hawajaelewa, Waziri wa Fedha hakulieleza...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu, pitia huu uzi wa mwaka 2016 unaweza kukusaidia kupata vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo

    Oktoba 31 mwaka 2016, nilipendekeza vyanzo vya mapato kwa ajili ya Bodi ya Mikopo kupitia Jukwaa la Siasa(mada ilihamishiwa Jukwaa la Elimu)ingawa teyari mojawapo ya chanzo mwaka huu mpya wa fedha serikali imekifanyia kazi kwa kukitumia kama chanzo cha kodi(tozo kwenye ving'amuzi). Wanachokosea...
  16. JamiiForums Tanzania Pakistan: Waziri awaomba wananchi kupunguza kunywa chai

    Wananchi wameshauriwa kupunguza unywaji wa chai ili kusaidia Uchumi wa Nchi. Waziri wa Mipango na Maendeleo, Ahsan Iqbal ametoa wito huo akisema, "Tunakopa ili kuagiza Chai, kunywa vikombe vichache kutashusha gharama kubwa za uagizaji" Inaelezwa kuwa, Akiba ya Fedha za Kigeni ya Pakistan...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kiswahili kitumike katika usaili wa Watumishi Serikalini

    Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili. Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Nchemba: Napendekeza Wakuu wa Mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani badala ya teuzi kama awali

    Napendekeza wakuu wote wa mashirika ya umma wafanyiwe usaili kwa ushindani. Napendekeza nafasi zianze kutangazwa punde nafasi ikiwa wazi ili wenye sifa wajitokeze na wafanyiwe usaili na iwe hivyo hivyo kwa bodi. Wenye sifa ndio wafanyiwe upekuzi kufanyiwa uteuzi na kupewa mkataba wenye malengo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…