Pakistan: Waziri awaomba wananchi kupunguza kunywa chai

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Wananchi wameshauriwa kupunguza unywaji wa chai ili kusaidia Uchumi wa Nchi. Waziri wa Mipango na Maendeleo, Ahsan Iqbal ametoa wito huo akisema, "Tunakopa ili kuagiza Chai, kunywa vikombe vichache kutashusha gharama kubwa za uagizaji"

Inaelezwa kuwa, Akiba ya Fedha za Kigeni ya Pakistan inaendelea kushuka kwa kasi hivyo kuweka shinikizo kwa Serikali kupunguza gharama kubwa za uagizaji

Mbali na kupunguza unywaji chai, Waziri Iqbal pia amewashauri Wafanyabiashara kufunga Biashara zao mapema (saa mbili na nusu usiku) ili kuokoa umeme

=======

People in Pakistan have been asked to reduce the amount of tea they drink to keep the country's economy afloat.

Sipping fewer cups a day would cut Pakistan's high import bills, senior minister Ahsan Iqbal said.

The country's low foreign currency reserves - currently enough for fewer than two months of all imports - have left it in urgent need of funds.

Pakistan is the world's largest importer of tea, buying in more than $600m (£501m) worth last year.

"I appeal to the nation to cut down the consumption of tea by one to two cups because we import tea on loan," Mr Iqbal said, according to Pakistani media.

Business traders could also close their market stalls at 20:30 to save electricity, he suggested.

The plea came as Pakistan's foreign currency reserves continue to fall rapidly - putting pressure on the government to cut high import costs and keep funds in the country.

The request to reduce tea drinking has gone viral on social media, with many doubting the country's serious financial problems can be addressed by cutting out the caffeinated beverage.

Pakistan's foreign exchange reserves dropped from around $16bn (£13.4bn) in February to less than $10bn (£8.3bn) in the first week of June, barely enough to cover the cost of two months of all its imports.

Last month officials in Karachi restricted the import of dozens of non-essential luxury items as part of their bid to protect funds.

The economic crisis is a major test for the government of Shehbaz Sharif, who replaced Imran Khan as Pakistan's prime minister in a parliamentary vote in April.

Shortly after being sworn in, Mr Sharif accused Imran Khan's outgoing government of mismanaging the economy and said putting it back on track would be a huge challenge.

Last week his cabinet unveiled a fresh $47bn (£39bn) budget aimed at convincing the International Monetary Fund (IMF) to restart a stalled $6bn (£5bn) bailout programme.

The IMF deal was negotiated in 2019 to ease an economic crisis created by low foreign currency reserve supplies and years of stagnating growth - but was later paused after lenders questioned Pakistan's finances.
 
Kumbe Pakistan kuna soko kubwa la chai kiwango hiki cha kuwekewa mpaka limitation ya unywaji kama ile ya uzazi huko china! Hawa wahindi na waarabu steam yao chai, wazungu na gahawa…
 
Kwani hio chai inagaiwa bure kwa wananchi?
Iweje serikali ipige kelele ya hasara wakati wananchi wananunua hio chai kwa pesa zao wenyewe?
Huyo Madiluu wa Pakistan asitupangie wananchi matumizi yetu ya chai.
 
Huajalewa mkuu. Lengo ni kuokoa fedha za kigeni za nchi. Kumbuka ili makampuni au wafanya biashara binafsi waweze kuagiza bidhaa/chai kutoka nje, ni lazima wabadilishe fedha zao ili wapate fedha za kigeni. Hii hupunguza fedha za kigeni katika nchi kwa kuwa husafirishwa kwenda nje kufanya manunuzu husika. Nadhani hii ndio hoja ya serikali hiyo.
Kwani hio chai inagaiwa bure kwa wananchi?
Iweje serikali ipige kelele ya hasara wakati wananchi wananunua hio chai kwa pesa zao wenyewe?
Huyo Madiluu wa Pakistan asitupangie wananchi matumizi yetu ya chai.
 
Hawa naona ni mwelekeo wa Sri Lanka, afuataye Asia ni Laos, madeni ya wachina ni balaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom