waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  2. USSR

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

    Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
  3. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Waziri Mpina alisema akiruhusu uvuvi haramu atalaaniwa na kizazi kijacho

    Mar 6, 2019 Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi kijacho kitamlaani
  4. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Yupo Waziri au Mawaziri wanataka kulipeleka Taifa kwenye mfumuko wa bei

    Wana jicho latatu someni mnielewe.... Iko hivi kila Mali inayo toka nje ya Taifa unahitaji ukwasi wa pesa ya kigeni mmenipata hapo wanazengo? Sasa hawa Mawaziri au waziri wana push agenda ya free trade while sisi kama Taifa hatuna Mali yaku export zaidi ya chakula na madini sijuwi kama...
  5. Logikos

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Waziri wa Kilimo ni yapi?

    Imetokea kasumba mbovu ambayo mwisho wa siku ninaiita cheap politics na divide and rule..., Waziri amekuwa akijinasibu mtetezi wa wakulima kwamba hawapangii Bei na kuonyesha kana kwamba walaji ni wanyonyaji ambao wanataka kunyonya jasho la mkulima. Lakini ukiangalia kwa marefu na mapana hawa...
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi iwe makini na uteuzi wa Mawaziri wa maeneo haya

    Wasalaam JF, Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo. Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Maji fuatilia bili za DAWASA, wanawaibia watu na kuwafanya wananchi wamchukie Rais

    Kwako ndugu Waziri mwenye dhamana ya mambo ya maji. Iko hivi: Bili ambazo watu wa DAWASA wanawatumia wananchi siyo bili za kweli, haziakisi matumizi halisi ya maji ya wateja. Ni bili za kupikwa. Haiwezekani bili yako kwa miezi ya nyuma iwe ni shilingi X halafu ghafla bin vuup bili inaamza kuja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bashe ndiyo namna ya kuwa waziri nyakati hizi

    Mawaziri wengine Bashe ndiye amewapa viwango vya juu ya jinsi ya kuwa waziri kwa miaka hii. Msishangae Ikulu inamtumia Bashe sana kuongea na waandishi wa habari. Mawaziri wengine jifunzeni kutoka kwa Bashe. Niseme tu wa pili ni waziri wa Afya na Mwigulu lakini kwa ndugu yangu Mwigulu hana...
  9. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu wekeni matokeo kwa majina ya form four

    Ili tuone unaupiga mwingi ebu weka matokeo kwa Majina ndo tuamini upo serious na Kazi yako. Watoto huku uswahilini wanataja taja tu namba za uongo wakati wamepata zero na mbaya wanadanganya wazazi wao.
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
  11. kyagata

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awajulia hali Mama Janeth Magufuli na Mama Asina Kawawa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama akifurahia jambo na Mama Janeth Magufuli mjane wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, mara baada ya kuwasilisha salamu za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro azindua kitabu cha kuboresha mazingira ya kazi, asisitiza wazawa kuandika zaidi

    Waziri wa Katiba na Sheria, DR. Damas Ndumbaro ameshiriki katika uzinduzi wa Kitabu cha COMPREHENSIVE ISSUES OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATION AND LABOUR LAW; Practice for Modern Business in Tanzania. Kitabu hicho kinahusu masuala ya ajira na masuala ya uhusiano kazini kikiwa na kurasa zaidi ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yafanyike au Baraza livunjwe ateuliwe Waziri Mkuu mpya?

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo. Bado sioni Waziri...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni akutana na kuzungumza na Mabalozi wa Uingereza, India, Palestina na UNHCR Nchini, Jijini Dar Es Salaam Leo Januari 24, 2023

    Na Mwandishi Wetu, MoHA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya mazungumzo na mabalozi wa nchi za Uingereza, India, Palestina pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa nyakati tofauti kuhusu ushirikiano...
  15. Kalebejo

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi alikuwa hajui uwepo wa hati feki?

    Hivi karibu Waziri wa Ardhi Mhe.Angelina Mabula akiwa ziara arusha aligudua uwepo wa hati feki na kauli ya serikali aliitoa hapo tunapaswa kumpongeza sana lakini kwa jicho la kiuandishi wa habari mimi nahelea sana kwa kauli Nimeongea na Kada wa CCM Mkoa wa Mwanza na Mwenyekiti wa Serikali ya...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: Changamoto kubwa inayowakabili Watanzania kupata Huduma za Afya ni gharama

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya ambayo amedai kuwa itawawezesha kupata matibabu kwa urahisi. "Ukiwauliza Watanzania leo changamoto...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba: Uzalishaji wa Umeme na Gesi Asilia umeongezeka

    Imeelezwa kuwa uwezo wa mitambo ya kuzalisha umeme iliyoungwa katika mfumo wa Gridi ya Taifa umeongezeka na kufikia megawati 1,777.05 Desemba 2022 sawa na ongezeko la asilimia 4.87, ikilinganishwa na megawati 1,694.55 zilizokuwepo hadi kufikia Septemba 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai hadi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu apigwa faini na Polisi kwa kutofunga mkanda wa Kiti akiwa ndani ya gari

    Ni Rish Sunak wa Uingereza Source: Sky news Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani ---- Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari lililokuwa likitembea wakati akirekodi video kwa ajili ya mitandao ya kijamii. Polisi wa Lancashire...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Je, Mtu mwenye Kansa, anaweza akapewa Bima Binafsi?

    Ubaguzi mwengine wizara ya Afya. Nina jirani yangu kapatikana na kansa. Tiba yake kaambiwa ajiandae na zaidi ya sh mil 5 cash. Kaulizia iwapo akikata bima kama ataweza kupata tiba. Kaambiwa so ya private; labda apatikane mfanyakazi aliyeajiriwa hivi karibuni na amwandikishe kama mke wake...
  20. CK Allan

    JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
Back
Top Bottom