waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini Sokoine ndio Waziri Mkuu anayeenziwa kuliko wote Tanzania?

    Hakuwa waziri mkuu wa kwanza, Ila cha ajabu ndio waziri mkuu anayeenziwa kuliko wote hebu tazama, 1. Uwanja wa sokoine mbeya 2. Sokoine University of agriculture 3. Sokoine road Arusha/Dar es salaam 4. Sokoine secondary 5. Sokoine regional refferal hospital lindi 6. kituo cha afya sokoine...
  2. JamiiForums Tanzania Kumbe siyo kila mwalimu atapewa kishkwambi kama alivyosema Waziri Mkuu!

    Naomba sana Jamii forums Uzi huu ikiwezekana ufikishwe Kwa ofisi ya waziri mkuu, Tar 4 mwezi November 2022 waziri mkuu akizindua zoezi la ugawaji vishikwambi namnukuu, "kila mwalimu apate kishikwambi, idadi ya walimu tunaijua na idadi ya vishikwambi tunaijua!" Kumbe bhana ni kama Ile kauli ya...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba mkumbushe Rais kuwa hata madai ya watumishi yame 'mature'

    Ni habari ya kuhuzunisha kwa watumishi wa umma nchini, kupitia hotuba yake ya kusaini mikataba ya ujenzi wa reli ya mwendo kasi (SGR), Rais Samia Suluhu Hassan akitoa ufafanuzi wa ulipaji wa madeni alisema nchi lazima ilipe madeni ya nje kwasababu yame "Mature", akasisitiza kuwa tukikopa kama...
  4. JamiiForums Tanzania Dar: Waziri Gwajima, Mkenda na Simbachawene wakutana kujadili Ukatili kwa Wanafunzi

    Mawaziri watatu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Desemba 21, 2022 wamekutana Jijini Dar es Salaam kujadili kuhusu suala la ukatili kwa wanafunzi wa shule na vyuo na kuweka mikakati ya kupambana na ukatili huo. Mawaziri hao, Mhe. George Simbachawene, Waziri wa Nchi, Ofisi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Inashangaza kuona Naibu Waziri anaeshutumiwa kuwaamuru askari wa uhifadhi wawaachie ng'ombe waliokamatwa bonde la Ihefu bado yupo ofisini

    Salaam wanajamvi, Juzi kulikuwa na mkutano ulioitishwa na wahariri wa vyombo vya habari mkoani Iringa ambapo mgeni rasmi alikuwa ni mh Makamu wa Rais. Mkutano huu dhima yake mahususi wahariri walilenga kumpatia Mh Makamu wa Rais taarifa juu ya kile walichobaini nini chanzo cha kukauka kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ungekuwa Waziri Mkuu na kukuta watu wamejaa ujinga namna hii ungewafanyaje?

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza watumishi wa Halmashauri ya Wilaya Mlele wahamie mara moja kwenye nyumba 11 zilizokuwa za wajenzi wa Barabara ya Inyonga-Mlele na kukabidhiwa kwa halmashauri hiyo. Watumishi ambao ameagiza wahamie kwenye nyumba hizo ni Afisa Usalama wa Wilaya (DSO), Kamanda...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri atoa wito kwa jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa

    Naibu Waziri wa Wizara ya Miundombinu na Uchukuzi, Atupele Mwakibete ameihamasisha jamii kuongeza juhudi katika kusoma vitabu ili kukuza maarifa yao. Sambasamba na hilo Mwakibete amesema usomaji wa vitabu unaisaidia jamii kupata mbinu mbalimbali za uongozi katika ngazi zote. Mwakibete...
  8. JamiiForums Tanzania Force Account inawamaliza mabosi wa Serikali, Waziri Mkuu anashuhudia madudu ya kutisha

    Siye wajuvi wa masuala ya ujenzi tulionya na kuonya, tukaambiwa tunatetea ulaji wetu. Kuna wawakilishi wetu tuliwatuma hadi Bungeni kupinga Force Accout , lakini walibezwa kuwa makandarasi ni mafisadi wa fedhe za umma. Sasa kazi nyingi zilifanywa kwa spidi kubwa kwa kumtumia fundi Maiko. Madudu...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu, hivi hili daraja ndiyo la Bilioni 31?

    Mbona mnaishi kwenye fikra ya Tanzania ya Mwaka 1960. Hivi Leo hii bado naibu Waziri, Waziri, Waziri Mkuu na Rais, mnakua wa namna hii? Mimi sio Muandisi, ila Hili DARAJA haliwezi gharimu Bilioni 31. HIVI Kwanini Mungu alimchukua JOHN JOSEPH POMBE? KWANINI? Jioneeni wakuu, ili ndo Daraja...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Uongozi siyo sura. Fuateni nyayo za waziri wa Sudan Mobior Garang

    Mobior Garang mtoto wa rais wa kwanza wa Sudan Kusini, alikuwa waziri wa maji na alifanikiwa sana kuhakikisha kila mahali nchini kwake Kuna maji. Hapa bongo kwa muonekano wa huyu mshikaji hata ubalozi asingepewa na angeozea jela.
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa atembelea Shirika la Mzinga, apongeza kuongezeka uzalishaji mazao

    Waziri wa Ulinzi na JKT, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amesema anajivunia kuongezeka kwa uzalishaji wa zao la msingi katika Shirika la Mzinga. Ameyasema hayo Disemba 13, 2022, alipofanya ziara ya kutembelea Shirika hilo. Hiyo ni ziara ya kwanza kufanywa na Waziri Bashungwa katika Shirika la...
  13. JamiiForums Tanzania Kazi nzuri Waziri Mkuu Majaliwa

    Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka. Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele. NB...
  14. JamiiForums Tanzania Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi huwa wanaangalia TBC 1 kweli?

    Yaani najiuliza na nauliza hivi Rais, Waziri Mkuu, Nape Nnauye, Msigwa Gerson huwa wanaangalia habari na mambo mengine TBC 1 kweli? Au na wao habari wanaangalia kupitia UTV ya Azam? Na mpira pia, hivi Mchengerwa na Nape Nnauye wanaangalia Kombe la Dunia kupitia hii TBC 1 pia? And they are...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu: Wanaokata Bima ya Afya wakiwa wagonjwa wanatishia ustahamilivu wa Mfuko

    Mdau kwenye mtandao wa Twitter ametoa hoja yake kuhusu bima na kuwatag Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu, Viongozi wa Taasisi ya NHIF na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wanawake na Makundi Maaalum, Dkt. Dorothy Gwajima. Ameandika: “Kilio cha Wazazi wengi kwa Sasa ni Swala la Ku Apply Bima ya...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili

    Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa nani Kukudanganya kuwa Kufokafoka Kwako Redioni / Runingani ndiyo Kuendeleza Sekta ya Michezo?

    Tokea Rais Samia akuteue katika hiyo Wizara umekuwa ni Mtu tu wa Kufokafoka huku ukiwa na Vitisho vingi kama Kawaida yako. Labda nikuulize Waziri Mchengerwa tokea uanze Kufokafoka Kwako huku kuna Maendeleo yoyote yale labda umeyapata / yamepatikana? Hufai kuwa Waziri Wetu wa Michezo.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa huna haja ya Kuwasumbua Watafiti wa Chuo cha Michezo Malya, bali tatizo ni hili...

    Nimekusikia Clouds Tv na Radio Leo ukikitaka Chuo cha Michezo cha Serikali nchini cha Malya kufanya Tafiti kujua kwani Tanzania haiendelei Kisoka. Nami MINOCYCLINE 'Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challenger and Well Informed Person' nakuambia kuwa huna haja ya Kuwasumbua na Kuwasubiria...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa ni Waziri wa Bahati Mbaya kuwahi kutokea katika Wizara ya Michezo Tanzania

    Yaani Tanzania tunahangaika bado Usiku na Mchana Kufuzu AFCON Yeye analaximisha mwaka 2030 Tanzania tucheze World Cup. Rais Samia huyu Mtu ulimtoa wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…