Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,228
Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka.

Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba. Wateule wa vyeo vya kati, maDC, maDED, CEO mashirika ya Umma wengine wao ni wapigaji kwa kwenda mbele.

NB: Kimetukera sana wananchi yule Mkurugenzi wa Maji kupiga bila woga wowote katika ununuzi wa pikipiki kwa kujiongezea Tshs 1.1 million cha juu kila piki piki.

Pikipiki 30, yeye cha juu ni milioni 33.

Hawa watu mtuletee wananchi tuwapige mawe hadi kufa!

KUTONYA
Kwa kutonya tu, PM fuatilia hela ya mama ile ya COVID, utakamata samaki wengi tu!
 
Mpaka apige simu juu ndo awawakie.

Muuliza jafo alipokuwa tamisemi, alikuwa anawawakia wakurugenzi kumbe muda huo wanachati na mteuzi.

Majariwa alikuwa anamheshm makonda kuliko mama enzi hzo!
 
Mpaka apige simu juu ndo awawakie.

Muuliza jafo alipokuwa tamisemi, alikuwa anawawakia wakurugenzi kumbe muda huo wanachati na mteuzi.

Majariwa alikuwa anamheshm makonda kuliko mama enzi hzo!
Nchi ya maigizo
 
Mpaka apige simu juu ndo awawakie.

Muuliza jafo alipokuwa tamisemi, alikuwa anawawakia wakurugenzi kumbe muda huo wanachati na mteuzi.

Majariwa alikuwa anamheshm makonda kuliko mama enzi hzo!
Haa Haa
 
Wanaishia kuwawakia tu,hakuna hatua zozote wanazochukuliwa

Ova
 
Nimeridhishwa jinsi Waziri Mkuu Majaliwa anavyo simamia watendaji serikali ili wawe mstari unaoeleweka.

Kizuri ni mtu kuchukuliwa hatua pale pale bila kupepesa macho wala kuremba....
Welldone PM ,but as a country we need more my PM, tunahitaji TAASISI IMARA NA HURU, ili zisaidie kutuletea utawala bora maana Mr Majaliwa ukiondoka uzembe utarudia kule kule kwa sababu kutakua na vacuum, ila taasisi tukiwa nazo.

Watumishi watafikiria twice kabla ya kujaribu kuchukua rushwa, na swali fikirishi tuna TAKUKURU why hawafanyi kazi zao vema?

Why mpaka wasubirie PM aongee ndio wao wabane matako yao kwa salute za kinafiki?,why mkuu wa TAKUKURU Igunga na Mpanda hawakuyajua haya kuhusu mtumishi huyu mla rushwa?

(just a suspect mpaka court iamue), tusiishi kwa mihemko we need displine ili nchi isogee mbele
 
Welldone PM ,but as a country we need more my PM,tunahitaji TAASISI IMARA NA HURU,ili zisaidie kutuletea utawala bora maana Mr Majaliwa ukiondoka uzembe utarudia kule kule kwa sababu kutakua na vacuum...
Takukuru ndio wamempa PM taarifa ila wao sio wasemaji wa serikali ndio maana wapo kimya behind the scene.
 
Ungana nasi kudai Katiba mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA Ukiwa huko huko CCM.

Mamlaka ya Rais ni makubwa kiasi kwamba kubadili chochote lazima ahusike direct au indirect,

Tumpunguzie madaraka, Asaidiwe na taasisi imara, wasimzunguke.
 
Back
Top Bottom