waziri wa nishati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  2. kavulata

    Waziri wa Nishati afanye zaidi ya kusambaza umeme kwa wanavijiji

    Kuna vijiji ambayo tangu dunia hii imeumbwa hawajawahi kuona umeme wa TANESCO, Sasa ni mara Yao ya kwanza umeme unafika kwao. Hii Ina maana kuwa pamoja na kupata faida ya umeme lakini watapata pia hasara za kuwa na umeme kama vile kupigwa shoti, kunaswa na umeme, kuunguza nguo kwa pasi na nyumba...
  3. J

    Salaam kutoka Ngara kwa Waziri wa Nishati

    Ndugu waziri nakuletea salaam zangu kutoka nakatunga wilaya ya Ngara, ambazo kwa hakika zimebeba mtazamo wa wilaya yote. Ndugu waziri, wanaomkumbuka Kalemani hadharani na moyoni sio kwamba wachuki na wewe, bali wanaangalia utendaji wako ukilinganisha na kalemani. Hapa Rusumo kuna mradi wa...
  4. Analogia Malenga

    Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

    Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi. Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu...
  5. Kamotee

    Barua ya wazi kwa Waziri January Makamba; Tuliamini utaleta mapinduzi kwenye sekta ya NISHATI, lakini matarajio yetu yanapotea

    Wakati tunapokea taarifa za uteuzi wa Uwaziri wako bwana January Makamba, watu wengi tuliamini kuwa wewe ndiye utakaye leta mageuzi makubwa sana kwenye Wizara yako. Lakini nasikitika kuona kuwa matarajio tuliyo kuwa nayo kwako yamepotea. Ulipoteuliwa tu na kuapishwa ulionesha mwelekeo kwamba...
  6. P

    Kwanini Watanzania wengi hawamtaki Waziri wa Nishati, January Makamba?

    Ndiyo, Napitia michango mingi kutokea mitandaoni, karibu Mitandao yote inayotumiwa na watanzania, Wengi wao hawataki uongozi wa Waziri Makamba, ni kwa nini? Mawaaziri ni wengi, lakini kwa nini iwe ni Makamba pekee asiyetakiwa na watanzania wengi? Hata hivyo, wizara hii anayoiongoza, mawaziri...
  7. Nyankurungu2020

    Ni aibu taifa letu kuwa na Waziri wa Nishati anayesisitiza mgao wa umeme bila kutuhakikishia JNHP itaanza uzalishaji lini

    Hii ni aibu kubwa sana badala ya kudili na taifa letu kuwa na uzalishaji mwingi na wa uhakika ili umeme ushuke bei na sekta binafsi iweze kukua kwa uzalishaji kuongezeka. Waziri wa nishati anawakatisha tamaa sekta binafsi na kutamka bila aibu mgao utakuwepo . Kama njia za kusafirisha umeme...
  8. V

    Waziri wa nishati, Umeme huu wa Nkasi vipi?

    Ndugu Waziri wa Nishati, mheshimiwa Januari Makamba, ninakuandikia kwa masikitiko makubwa juu ya KERO YA UMEME wilayani Nkasi. Umeme unakatika mara kwa mara isivyo kawaida. Ni kero. Biashara za watu zinazotumia Nishati hii muhimu zimedorora na nyingine zimefungwa kabisa. Vifaa vingi vya umeme...
Back
Top Bottom