Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite
Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha
Waziri...
Mabibi na mabwana tumesikia Waziri Mkuu kuvamia UDART leo tena kazukia SGR.
Vipi kwenye madege yetu? Tupeane habari wakuu. Je, anao mpango wa kutimba chighafla ghafla hapo ATCL pia?
Bila shaka yale mabilioni alivyosema CAG yatakuwa yanamfikirisha naye pia.
Mrejesho tokea ATCL utatupa picha ya...
Waziri mkuu mh Majaliwa ameshauri mabasi mabovu ya mwendokasi ni bora yauzwe kuliko kuyaacha yakioza pale yard
Waziri mkuu amesema hayo baada ya kushuhudia mabasi takriban 50 yakiwa yamelala kabisa kwa ubovu na yakizidi kuchakaa.
Chanzo: ITV habari
Ramadhan Kareem!
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama.
Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge.
Watendaji...
Baada ya hoja kadhaa wiki hii kuibuka za kumuacha Rais Samia Suluhu aidha Kuandika kitabu chake au aendelee na kilichopo, waziri mkuu wakati akihitimisha hoja yake ya bajeti, amesema serikali ya awamu ya sita itaendelea kukamilisha ahadi zikizotolewa wakati wa kampeni zilizopo kwenye ilani ya...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania waliofikiri mkakati wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya Nchi hautoendelea.
Akiwa Bungeni Dodoma, "Serikali imeweka mfumo mzuri wa kuhakikisha Makao Makuu ya Nchi yanaendelezwa kwa kujenga na kuendelea na mipango ya maendeleo ya Jiji la...
Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita.
Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa.
Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda...
Jana Bungeni Waziri Mkuu alibainisha wazi kuwa Serikali ya Awamu ya Sita itaenzi ‘legacy’ ya Magufuli. Alitaja mambo kadhaa kama vile kupinga rushwa; kuwajali wanyonge; na miradi ya kimkakati.
Waziri wa Fedha pia alikemea wanaomrushia ‘mishale’ Hayati. Pia wabunge wengine kama Lusinde...
Kwa ushujaa wa hali ya juu Mh.Kassim Majaliwa ameturudisha katika Imani yetu juu ya serikali yetu.Imani ambayo ilikuwa ishaanza kupotea baada ya baadhi ya viongozi wa ngazi za juu kuanza kubadilika kifikra na matamshi kipindi kifupi tu baada ya kuondoka mpendwa wetu.
Wengi wetu tulianza kuamini...
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KUWA MAKINI ZAIDI NA WAZIRI MWAMBE. AMEJAA KIBURI, CHUKI, NA MPENDA RUSHWA
Katika mabadiliko madogo aliyoyafanya Rais wa JMT Mh. Samia Suluhu Hassan alimtoa Mwambe kwenye wizara ya Viwanda na Biashara na kumbadilisha na Prof. Kitila Mkumbo, ambapo Mwambe akahamishiwa...
Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi.
Chanzo: ITV habari
Ukinizingua Nakuzingua!
Hakika nimekuwa najiuliza maranyingi kuhusu Nani Waziri Mkuu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nimekuwa nafuatilia shughuli mahususi wanazozifanya mawaziri wakuu katika pande zote mbili zilizoungana na kubaini kuwa wanawajibika zaidi katika kusimamia shughuli za serikali bungene na...
Wengi humu humu walitabiri nani angekuwa makamu wa rais wakimtaja hata Dk Bashiru Ally. Wengine walisema wazi waligemea mhe Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa atupwe. Haiwi haiwi huwa. Sijui mnajisikiaje ambao watu wenu wametoswa? Ni swali tu.
February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo).
Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya.
Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake.
=====
JAMES...
Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike.
Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa Armavir ambapo amesema atajiuzulu mwezi Aprili. Atabakia katika nafasi hiyo mpaka uchaguzi...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziriwazirimkuu