waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ufisadi: Rais wa Somalia asimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu

    Rais wa Somalia, Mohamed Abdullahi Mohamed, amesema amesimamisha Madaraka ya Waziri Mkuu wa Taifa hilo, Mohammed Hussein Roble siku moja baada ya wawili hao kutuhumiana kuchelewesha Uchaguzi wa Bunge Rais Mohamed amesema amechukua uamuzi huo kufuatia Uchunguzi wa tuhuma za Waziri huyo kujipatia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Waziri Mkuu na ile ya katibu Wizara ya Afya juu ya uviko zote ni sahihi

    Wizara ya Afya imesema kuwa taarifa ya Waziri Mkuu kwamba hakuna wimbi la 4 la UVIKO19 na ile ya Katibu Wizara ya Afya, kuhusu kuongezeka kwa maambukizi ya UVIKO19, zote ni sahihi. Kwani kuongezeka kwa maambukizi au visa hakumaanishi kuwa tayari ni wimbi jipya la maambukizi. Prof. Makubi...
  3. JamiiForums Tanzania Maandamano zaidi yapangwa kufanyika Sudan, Waziri Mkuu atoa wito wa makubaliano ya kisiasa

    Waziri Mkuu Abdalla Hamdok amesema utulivu na umoja wa Sudan uko hatarini. Hamdok ametoa wito wa kuwepo kwa makubaliano ya kisiasa, ili kulinda nchi siku zijazo, wakati taifa hilo likiwa limegubikwa na maandamano makubwa ya kupinga mapinduzi ya kijeshi. Akizungumza kabla ya maandamano...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waziri Mkuu hajatambua uwepo wa Mume wa Rais? Protokali ipoje?

    Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika hafla mbalimbali. Je amepitiwa au protokali haitambui nafasi yake? Au Mhe. Rais ndiye mwenye dhamana...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ethiopia arudi ofisini baada ya kukomboa miji 6

    Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed arudi ofisini kwake mjini Addis Ababa, baada ya zoezi la kuikomboa miji iliyotekwa na kikundi cha Waasi wa TPLF kufanikiwa kwa kiwango kikubwa. Taarifa hiyo imetolewa na ofisi ya Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Mbaka sasa kuna kila dalili ya kikundi cha waasi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Waziri mkuu Majaliwa aweka jiwe la msingi Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    Leo tarehe 30/11/2021 waziri mkuu wa Tanzania kassimu Majaliwa ameweka jiwe la msingi katika eneo jipya kilipo jengwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE). Chuo hicho chenye matawi manne kilifungua tawi lake la nne katika jiji la Mbeya mnamo Mwaka 2013. Katika kipindi chote hicho CBE walikuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Asante Waziri Mkuu Majaliwa, kwa kututembelea Mbeya

    Waziri Mkuu asante kwa kuwa mgeni wetu, Mbeya. Mgeni akikutembelea lazima watoto watapona. Mara ya mwisho Kassim Majaliwa kuja Tukuyu tunakumbuka sana, ilikuwa kuiwakilisha serikali wakati ule alipouwawa John Mwankenja, Mwenyekiti wa CCM Rungwe. Kassim Majaliwa wakati huo alikuwa Waziri Mdogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Taifa Stars mbovu mliitengea Tsh 1.2B imetia aibu, Tembo Warriors wenye uhakika mmewatengea Tsh 150M tu

    Je, wenye Akili tukihisi kuwa mmewatengea Pesa hiyo 'Kiduchu' kwakuwa ni Walemavu na mmewadharau tutakuwa tunakosea? Halafu Waziri Mkuu Majaliwa jana ulisema kuwa ile Hela ya Hamasa Tsh 1.2B iliyotusababishia tukafungwa kwa 'Aibu' hapa Nyumbani na Congo DR imetumika vyema na ipasavyo je, una...
  9. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

    Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  10. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu atangaza kuongoza Vikosi katika mapigano

    Wakati vita ya mwaka mzima kati ya Serikali ya Ethiopia na Vikosi vya TPLF ikikaribia Mji Mkuu wa Nchi hiyo, Addis Ababa, Waziri Mkuu Abiy Ahmed amesema ataongoza Vikosi vya Usalama. TPLF imeunda Muungano na vikundi vingine vya waasi ikiwemo Jeshi la Ukombozi la Oromo (OLA) kukabiliana na...
  11. JamiiForums Tanzania Sudan: Jeshi lamrejeshea madaraka Waziri Mkuu, Abdalla Hamdok

    Baada ya wiki kadhaa za maandamano, Jeshi la Sudan limemrejeshea Madaraka Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Abdalla Hamdok na kutangaza kuwaachia huru Wafungwa wote wa kisiasa. Chini ya makubaliano yaliyosainiwa pamoja na Kiongozi wa Jeshi, Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, Hamdok ataongoza Serikali ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Tatizo la umeme: Rais, Waziri Mkuu na Waziri husika, wote wanapaswa kujiuzulu kabla hawajamuwajibisha yeyote yule

    Tatizo la umeme nchi hii haijaanza leo, huku chanzo kikubwa cha tatizo miaka yote kikiwa ni kile kile. Hivyo? hakuna sababu mpya na ilio nje ya uwezo wao zaidi ya hizi serikali za CCM miaka yote kushindwa kuja na suluhu ya Kudumu ya hili tatizo. Serikali ya Magufuli ambayo Mama Samia alikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango akutana na Naibu Waziri Mkuu wa Singapore, Heng Swee Keat

    16 November 2021 Singapore Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore). Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kuwa haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu

    Mahakama ya juu zaidi nchini DRC imeamua Jumatatu (Novemba 15) kwamba haina uwezo wa kumhukumu aliyekuwa waziri mkuu Seneta Augustin Matata Ponyo. Seneta mteule wa bunge la sasa, Augustin Matata Ponyo anashutumiwa kwa ubadhirifu wa mamia ya mamilioni ya dola zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini Tanzania itapata Rais, Makamu na Waziri Mkuu wenye mtizamo na mawazo ya kibiashara?

    Tanzania inashindwa kuendelea kwa sababu ya kuweka madarakani viongozi wenye damu ya Utumishi wa umma na kushindwa kuweka mchanganyiko wa Watumishi wa umma na wafanyabiashara. Ntatoa mfano kwa awamu zote sita zilizowahi kuwepo kwenye utawala Historia ya Mwalimu alikuwa Mtumishi wa Umma kwenda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu, Wananchi wamefukuzwa uwanja wa Taifa ili tu ukiingia uwanjani uone eti safi

    Mheshimiwa Waziri mkuu nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Najua wewe ni mdau wa michezo nchini na umejitahidi sana kuhamasisha wananchi waishangilie timu yao. Ila hapa uwanha wa Taifa Kuna ujinga mmoja umefanyika, Mapolisi wanaswaga watu, na kuwafukuza eneo la uwanja ili...
  18. JamiiForums Tanzania Ethiopia: Facebook yafuta ujumbe wa Waziri Mkuu uliowataka wananchi "kuwazika" TPLF

    Mtandao wa Kijamii wa Facebook umefuta Ujumbe wa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed uliowahimiza Wananchi kujipanga na kuandamana kwa njia isiyovunja Sheria wakiwa na silaha ili kuzuia Waasi wa TPLF Facebook imesema imeondoa Ujumbe huo kwasababu unakiuka Sera yake kuhusu kuchochea ghasia. TPLF...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Waziri Mkuu Abiy Ahmed atangaza hali ya dharura nchini kote

    Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika Jimbo jirani la Ahmara. Waasi hao wa Kaskazini mwa Ethiopia ambao wamekuwa wakipigana na vikosi vya...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Kuna uwezekano Mkubwa Taifa Stars kufuzu kuingia Kombe la Dunia

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wanatamani kuona timu zao za Taifa za michezo mbalimbali zikifanya vizuri katika mashindano ya Kimataifa. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameyasema hayo leo, Novemba Mosi, 2021 wakati wa kikao na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…