waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Ruangwa wamwambia Rais Samia hakuna changamoto yoyote ya kufanyia kazi

    Rais Samia Suluhu amesema amekuta Ruangwa hali ni tofauti na maeneo mengine ambapo kote alikopita amepokea changamoto nyingi za kwenda kufanyia kazi, lakini Ruangwa wamemwambia hawana changamoto yoyote, Ruangwa wametaja mazuri waliyofanyiwa na Serikali. Rais Samia amewapongeza mkoa wa Lindi na...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Wanawake Ruangwa wagalagala chini kufurahia ujio wa Rais Samia, wasema hawakutegemea ujio wake hususani kwa Waziri Mkuu!

    Jana 17/9/2023 Rais Samia alivyofika Ruangwa baadhi ya wanawake walimpokea kwa kugaladala chini, wakisema hawakutegemea kama Rais Samia anaweza kufika Ruangwa na kwamba wanashukuru sana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi: Unaibu Waziri Mkuu haupo kwenye Katiba yetu

    Nimenukuu maneno ya rais Mstaafu kutoka kwenye kitabu chake ambapo alikua akizungumzia suala la yeye kunteua Lyatonga Mrema kama Naibu Waziri Mkuu. Mwinyi amekiri bayana kua cheo hicho hakipo kwenye katiba. Kwa muktadha huo,je Rais Samia hana washauri wazuri ama haoni kua amevunja katiba...
  4. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu atembelea Mradi wa JNHPP asema ndio suluhisho la upatikanaji umeme wa uhakika Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko amelipongeza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kwa usimamizi makini na hatua kubwa iliyofikiwa kwenye ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere (JNHPP) ambao mpaka sasa umefikia Asilimia 91.72. Dkt. Biteko...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu: Magari ya Serikali yafungwe mfumo wa gesi asilia

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko ameelekeza utaratibu wa kubadili mifumo ya magari kutumia gesi asilia uanze na magari ya serikali na kuwa vituo zaidi vijengwe ili kupunguza matumizi ya mafuta.
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbarali wamegoma kumsupport Mizengo Pinda uzinduzi wa kampeni za Ubunge

    Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa: Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi kuombwa kushiriki mwitikio ni mdogo jambo linalopelekea kamati ya siasa ya jimbo kukaa leo kwa ajili...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ashiriki mbio za Ruangwa Marathon 2023

    Joseph Panga (1:04:12) na Jackline Sakilu (1:12:08) Washinda Mbio za Ruangwa Half Marathon 2023. Huku nafasi ya Pili ikienda kwa Hamis Athumani kwa muda wa ( 1:04:15) na nafasi ya tatu ni Nestory Stephen ( 1:04:39) kwa upande wa wanaume. Kwa upande wa wanawake kwa kilomita 21 , nafasi ya pili...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Kuteuliwa Kwa Naibu Waziri Mkuu ni ishara ya kuaminiwa kwa majukumu makubwa zaidi kimataifa PM Majaliwa na Rais Samia

    Tofauti na wengi wanaoona ,uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu umekuja kufuatia mamlaka kutomuamini Waziri Mkuu lakini mtazamo huo upo tofauti na mtazamo wangu. Kwa mtazamo wangu, mamlaka imemuamini sana Waziri mkuu na uteuzi huu una lengo la kumuamini zaidi kwa majukumu makubwa ya kimataifa. Sote...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kumuwakilisha rais Samia uapisho wa Emmerson Mnangagwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa.
  11. JamiiForums Tanzania Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

    SALAAM! # Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd; # Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Eti Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni yupi hapa?

    Nimeuliza tu ili tusije kukuta na mmoja tukampa heshima ya cheo kikubwa kumbe siye.
  13. JamiiForums Tanzania Salamu za Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kwa Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu

    Keypoints: Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana. Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine. Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Video: Wakili Boniface Mwambukusi akifafanua kisheria na kikatiba ni kwanini uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu ni uvunjaji wa katiba ya JMT ya 1977

    NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake.. Back to the topic; ✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
  15. JamiiForums Tanzania SI KWELI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

    Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa. Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
  16. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  17. JamiiForums Tanzania Uwaziri Mkuu wa Majaliwa ni wa Mungu mwenyewe

    Kila mtu ana kumbukumbu namna Kassim alivyoipata hii nafasi. Wakati jina linasomwa kwa mara ya kwanza alikuwa nje kabisa ya bunge akiendelea na shughuli zake. Kibinadamu kabisa hakuna aliyedhania kama waziri mkuu angekuwa Kassim sababu hakuwahi kuwa hata waziri kamili wala hakuonekana mtu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  20. JamiiForums Tanzania Ibara ya 36 inapaswa kumfunga Rais na kumpokonya mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka katika utumishi

    “Naibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka Zanzibar Waziri Mkuu atatoka Tanganyika na ndiye atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…