Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi
Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90)
Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80.
R.I.P Papa.
Utangulizi
Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya na Bara la Afrika kwa ujumla. Kwa zaidi ya nusu karne, amekuwa nembo ya mapambano ya demokrasia...
Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje.
Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo
Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa...
Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza uamuzi wa Uingereza kulitambua rasmi taifa la Palestina zaidi ya miaka 100 baada ya Azimio la Balfour kuunga mkono "kuanzishwa kwa makazi ya kitaifa ya Wayahudi nchini Palestina", na miaka 77 baada ya kuundwa kwa taifa la Israel chini ya Mamlaka...
Waziri Mkuu wa mpito nchini Nepal Sushila Karki ameapa kufuata matakwa ya waandamanaji ya kukomesha ufisadi nchini humo wakati alipokuwa anaanza kazi yake rasmi baada ya kushika wadhifa huo..
Sushila, Waziri mkuu wa kwanza mwanamke Nepal aliye na umri wa miaka 73, alichukua nafasi hiyo baada ya...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, siku ya Alhamisi alisema kuwa "hakutakuwa na taifa la Palestina." Alitoa kauli hiyo wakati wa ziara yake katika makazi ya Maale Adumim yaliyoko katika Ukanda wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
Netanyahu alisaini rasmi hati ya kuidhinisha ujenzi wa...
Namaste, Tike, Buri na Buda ndo maneno maarufu Nepal
Namaste iko Kama Indian ni salamu, Buri maana yake Mume, na buda ni mke,
Hali ya Nepali Kiuchumi
Nilifikia Kathamndul kwa Miezi miwili lengo ni kwenye kwenye trekking milima ya Everest
Kathamntul ndo mji mkuu wa Nepal uko na idadi kubwa ya...
Waziri Mkuu wa Ufaransa bwana Francois Bayrou baada ya kupigiwa kura 364 za hapana dhidi ya kura 194.
Bunge la Ufaransa kwa azimio moja limefanikiwa kumuondoa Waziri Mkuu huyo ambaye alikuwa kiongozi wa Serikali ya mseto.
Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameamuwa kujiuzulu baada ya chama chake cha Liberal Democratic Party, (LDP) kupoteza wingi wa viti kufuatia uchaguzi wa baraza la juu.
Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa Ishiba, mwenye umri wa miaka 68, anataka kuepusha mgawanyiko wa chama, huku...
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu:
Kwa bahati mbaya, hii inazungushwa zaidi na magaidi wa Hamas ambayo hawana jipya.
Vita vinaweza kumalizika mara moja kwa masharti yaliyowekwa na Baraza la Mawaziri la Usalama:
1. Mateka wote waachiliwe .
2. Hamas wanyang’anywe silaha.
3. Ukanda usiwe na...
Yaani ukitaka kujua unachelewa pita njia za Ubungo, Kimara, Mwenge na Tegeta ndani ya dakika 30 utaona ving'ora kama vinne vimepita na vimulimuli
Nimejiuliza hivi kila gari linatakiwa kuwa na king'ora na kimulimuli? Na ni wakati gani vinatakiwa kutumika?
----
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...
Niaje waungwana
Baada ya uchaguzi mkuu kuisha, na serikali mpya kuingia madarakani, namuona mwanamke fulan ambae kiumri sio mkubwa sana akiteuliwa kuwa waziri mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huo utakuwa wenye mshangao, na mjadala mkubwa kutokana na ugeni wa mteuliwa, ila mwisho hali itatulia na...
#HABARI Waziri Mkuu wa serikali ya Yemen inayoongozwa na Wahouthi na mawaziri wengine kadhaa wameuawa katika shambulio la Israel kwenye mji mkuu Sanaa, mkuu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Houthi amesema jana Jumamosi, likiwa ni shambulio la kwanza la aina hiyo kuua maafisa wakuu.
Wengine kadhaa...
WAZIRI MKUU: RAIS SAMIA AMEIHESHIMISHA TANZANIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌Aipongeza REA Kwa Kusimamia vyema utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi na Usambazaji umeme Vijijini
📌Awasisitiza Watanzania kushiriki Kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia
Ataja faida za...
Imeripotiwa na vyombo vya habari vya Yemen kuwa waziri mkuu wa Yemen anaye sapotiwa na Houthi ndugu Ahmed al-Rahawi ameuawa jana katika mashambulio ya jeshi la anga la Israeli hapo Yemen. Shambulizi hili ni kando ya shambulizi dhidi ya majenerali wa houthi kumi walio kuwa wakitazama hotuba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.