waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  2. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Waziri Mkuu wa Kutogombea Ulitabiriwa Kikamilifu Mwezi April 2024

    Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu. Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na...
  6. nyamadoke75

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya A To Z yashinda tuzo mbili kubwa waziri mkuu Kassim Majaliwa apongeza

    Kampuni ya A-Z Goup LTD ya Jijini Arusha imeibuka kidedea mara baada ya kupata tuzo mbili nzito Kuwa kampuni yakwanza kuwa na mfumo madhubuti wa usalama mahari pakazi na tuzo yapili yakuwa kampuni yakwanza kwakutowa taarifa za hajali kwa wakati. Pia kwa kupunguza ajali kazini mwajiri mkubwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amuwakilisha Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfumo wa Fidia kwa wafanyakazi

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza Muda wake Amemuwailisha Rais Samia kama Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka Kumi ya Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

    Nini kinaendelea Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
  11. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mivutano ya siri ndani ya CCM kwamba nani awe raisi na nani waziri mkuu na vyeo vingine ?

    Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ? Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
  12. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ni nani waziri mkuu ajaye?

    Baada ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutangaza leo kutokugombea tena nafasi ya ubunge bila shaka sasa lazima baada ya uchaguzi mkuu kutapatikana waziri mkuu mpya Kwaio guys njoon hapa tutabiri nani atakua wazir mkuu anaefata
  13. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

    Asalaam Aleykum!! Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa. Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Thailand Paetongtarn Shinawatra asimamishwa kazi Kufuatia kuvuja kwa mazungumzo ya simu na Hun Sen kiongozi wa Cambodia

    Mahakama ya Katiba ya Thailand imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Paetongtarn Shinawatra, ambaye anakabiliwa na shinikizo kubwa la kujiuzulu baada ya tukio la kuvujishwa kwa mazungumzo yake ya simu na kiongozi wa zamani wa Cambodia, Hun Sen Klipu hiyo, ambayo Paetongtarn alimwita "mjomba" na...
  15. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Wajumbe CCM Arusha Mjini huenda watatuletea Waziri Mkuu Mpya 2025-2030

    NI kama mmepewa Nafasi ya kutupatia Waziri Mkuu mpya 2025-2030. Pole Gambo, pole sana
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Nataka niwaambie bila amani hatuwezi kupata mafanikio yoyote

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali itaendelea kuweka mkazo katika kulinda na kudumisha amani nchini ili kuhamasisha maendeleo na kuziba mianya ya kuibuka kwa migogoro miongoni mwa wanajamii. Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili Juni 29, 2025) wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia...
  17. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri mkuu wa Poland Yenye UTATA

    Anasema: Inawezekanaje watu milion 500 wa bara la ulaya wanaitegemea Marekani yenye watu 300 iwarinde dhidi ya Russia ya watu 140??? Ulaya inalitwa na marekani dhidi ya Russia LAKINI CHA KUSHANGAZA ZAIDI Inawezekanaje waislam bilion 2 waitegemee dunia iwalinde dhidi ya wayahudi milion 7 tu...
  18. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Dk. Biteko asisitiza Serikali kuendelea Kupambana na Udumavu, Uzito kupita kiasi

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. NAIBU Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Mashaka Biteko, amesema kuna uhusiano mkubwa kati ya kilimo na lishe huku akisisitiza kilimo chenye mwelekeo wa lishe kinaweza kupunguza utapiamlo na magonjwa yatokanayo na lishe duni. Akizungumza...
  19. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Ili uwe Waziri Mkuu inabidi ugombee jimbo, msibeze kwanini kaachia U-RC

    Ukiteuliwa ubunge, Uwaziri Mkuu utausikia kwenye bomba. Ila ukigombea ubunge ukashinda, Uwaziri Mkuu unaweza ukafikiriwa na pengine ukapewa. Msimbeze jamaa yetu kujivua U-RC kiaina. Pameanza kuchangamka!!
  20. W

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu majaliwa azindua mitambo 10 ya uchorongaji kwa wachimbaji wadogo

    Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji wadogo yenye thamani ya shilingi bilioni 12.41 iliyonunuliwa na...
Back
Top Bottom