Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aibwatukia Qatar

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,177
Reaction score
7,705
Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:

"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."

“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
 
Attachments

  • IMG_2724.jpeg
    IMG_2724.jpeg
    31.9 KB · Views: 27
  • IMG_2723.jpeg
    IMG_2723.jpeg
    22.3 KB · Views: 33
Qatar ndumilakuwili. Janja yake kambeba marekani mgongoni la sivyo alikwishaliwa kichwa zamani na Saudia
Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:

"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."

“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
Qatar inawasaidia magaidi kwa mlango wa nyuma
 
Aliewaita wakristo kondoo hakukosea hata kidogooo
 
Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:

"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."

“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
Naskia umepigwa huko na wavaa vilemba
 
Mbona hadi wazungu wanafuga ndevu au ww mwenzetu bwabwa Na aliyewaita Waislam “Wafuga Midevu na Majini hakukosea kabisa!!!

Mbona wazungu wanafuga ndefu au huna TV mwenzetu na kushasahau majini ya mitume yenu mnaokwenda kununua nigeria au ww ni bwabwa unakwangua ndevu utongozwe
 
Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu:

"Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko upande wa unyama wa Hamas. Israel itashinda vita hivi kwa uhakika tu."

“Mytake” Qatar ilichagua upande zamani, iko upande wa Hamas kabisa. Swali ni kwa nini Israel bado inairuhusu Qatar kuwa mpatanishi mkuu kati yake na Hamas, hata Misri inaweza kuwa mpatanishi wa haki kuliko Qatar, Qatar inapata uhalali mkubwa wa kimataifa kutokana na nafasi yake ya kuwa mpatanishi mkuu, hili lazima likome.
hakuna mwarabu mwema kwa wana wa Israel.iwe misri iwe qatar wote hao ni wale wale wachekao kwa kicheko muisrael akifa na kulia kwa matalumbeta mwarabu mpalestina akiuwawa. sasa hivi kaja kiongozi bora wa duniahuko marekani ambaye yeye mwenyewe anaipenda israel na watu wake atahakikisha israel inapata suppoti kubwa kuikausha hamas.
 
ku,buka mwarabu aliisha ichukua dunia na kuinyamazisha ulaya yote. Iran kapiganisha vita nne huko yemen, hosbollah vs israel, hamas vs israel lakini dunia yote ilikaa kimyaa kama hawajui kitu. sasa kaja raisi mpya marekani amabye tangia israel iingie upya Gaza husikii kelele kutoka ulaya, Brazil na sauth africa za kulalamika na kufungua kesi mahakama
ya dunia.ulaya yote imenywea kimyaa , brazil kimyaaa cha msiba, sauth africa kafyata mkia kuwa chawa la waarabu baada ya kiongozi mpya wa marekani kuingia madarakani.
sauth africa imetutia haibu sana sana watu weusi katika mzozozo wa Israel vs hamas..
 
Back
Top Bottom