waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole amezungumzia suala nyeti sana kuhusu Makamu Rais Mpango na Waziri Mkuu kutokuendelea na Uongozi Serikalini

    Mods ,tafadhali msiiunganishe Huu Uzi. Hii ni Hoja Nzito sana ambayo katika yote inaendelea kutulia Uzito wa Kwanini Samia hatakiwi kua Rais Tena !!. Mh Polepole akigusia kuhusu Mzee Mpango kujiuzulu , anasema alishangaa inakuaje Makamo Urais kutangaza kujiuzulu kabla ya muda kuisha? Anasema...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ahimiza mahusiano ya kidiplomasia na kibiashara kati ya Tanzania na Grenada

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na mwenyeji wake Waziri Mkuu wa Grenada, Dickon Thomas Mitchell na kumhakikishia kuwa Tanzania itaendeleza mahusiano kidiplomasia na kibiashara kwa manufaa ya pande zote mbili. Amesema kuwa Tanzania itaendelea kutumia Jukwaa la Nne la Kibiashara na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Salma Kikwete na Dotto Biteko wapita bila kupingwa, nani atakuwa Waziri Mkuu kati yao?

    Salma Kikwete na Dotto Biteko wote wamepita bila kupingwa na wagombea wengine ndani ya CCM ktk majimbo yao, mmoja wao lazima awe Waziri Mkuu kwa taratibu za CCM
  4. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa amaliza ziara Belarus, anadi fursa za uwekezaji

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa ametumia ziara yake nchini Belarus kunadi fursa za uwekezaji katika maeneo manne ya kipaumbele ya Serikali ya awamu ya sita ambayo ni kilimo, afya, madini na ulinzi & usalama. Waziri Mkuu katika siku mbili za ziara yake...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Mnaopanga kumpa Paul Makonda Uwaziri Sijui Uwaziri Mkuu, Kumbukeni alishapigwa marufuku Kukanyaga Marekan, Ulaya !!.

    Mtachagua wenyewe sasa!! Muwe na Waziri Mkuu ambaye hatoweza kuhudhuria Mikutano ya Umoja wa Mataifa katika Ardhi ya US. Mtu ambaye hata Ulaya hakanyagi !!.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha Dawa na Zana za Kilimo Nchini Belarus

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa, leo tarehe 22 Julai 2025, ameendelea na ziara yake rasmi nchini Belarus kwa kutembelea maeneo muhimu ya uzalishaji na ushirikiano wa kimkakati. Akiwa katika mji wa Minsk, Majaliwa alitembelea kiwanda cha Belmedpreparaty, ambacho ni maarufu kwa utengenezaji wa dawa...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awasili Nchini Belarus kwa ziara ya Kikazi

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) amewasili jijini Minsk, Belarus kwa ziara ya kikazi ya siku nne kuanzia tarehe 21 hadi 24 Julai 2024. Alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa nchi hiyo, Mhe. Waziri Mkuu alipokewa na Naibu Waziri Mkuu wa Belarus...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan Shigeru Ishiba, aapa kubaki Madarakani licha ya Upinzani kushinda kwa kura nyingi za Bunge

    Waziri Mkuu wa Japan, Shigeru Ishiba, ameapa kubaki madarakani, licha ya muungano wa chama chake tawala kupata pigo kubwa katika uchaguzi wa Bunge la Juu, hali ambayo imezua mashaka ndani ya chama chake huku upinzani ukifikiria kuwasilisha hoja ya kutokuwa na imani naye Ishiba, ambaye...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Ni wazi Kassim Majaliwa hatakuwa Waziri Mkuu ajaye, je Waziri Mkuu ajaye atahudumu muhula mmoja?

    Rais Samia anagombea muhula wa pili wa Urais wake na ndiyo muhula wa mwisho kwa kwa mujibu wa Katiba iliyopo. Kwa kuwa Majaliwa hagombei tena ubunge na kwa mujibu wa Katiba iliyopo Waziri Mkuu lazima awe ametokana na Wabunge wa kuchaguliwa, Rais Samia atalazimika kuchagua Waziri Mkuu mwingine...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  11. R

    JamiiForums Tanzania Polepole popote ulipo nikuulize swali: Ukiteuliwa say, kuwa Waziri Mkuu, uta decline uteuzi kuwa huwezi kuwa sehemu ya mfumo wa kutotenda haki?

    Tunakujua toka ukiwa katika Tume ya Katiba na kabla ya hapo kuwa MTETEZI MKUBWA WA HAKI. Baadaye ukaja kwa Magufuli ukawa sehemu ya KUZIMA HAKI /DHULUMA YA HAKI...... Magufuli kafa, ukakosa CHEO ULICHOKITEGEMEA, UKAANZISHA DARASA LA SIASA. Ukateuliwa kuwa balozi....ukaenda, ukabadilishwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Amuwakilisha Rais Samia Katika Kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu Mteule wa KKKT Dayosisi Ya Mwanga.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa,Leo hii Tarehe 13 Amemuwailisha Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Katika kuwekwa Wakifu na Kuingizwa kazini kwa Askofu...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati ieleze nchi kwanini tuko gizani? Huku Arusha tulilala gizani

    Bosi mtajwa hapo juu utueleze umeme una shida gani, jana kuanzia saa 11 jioni huku Arusha umeme ulikatika na haukurudi mpaka tunaenda kulala. Asubuhi tuliukuta bila kujua ulirudi saa ngapi. Leo tena umekatika kuanzia mida ya saa 5 asubuhi mpaka sahizi haujarudi. Kuna tatizo gani tuelezwe maana...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Waziri Mkuu wa Kutogombea Ulitabiriwa Kikamilifu Mwezi April 2024

    Naanza kuwa na hofu na tabiri za Mchungaji au Nabii yule wa Arusha ambaye miezi michache iliyopita alitekwa na watu wasiojulikana kabla ya kukutwa porini akiwa ametendewa vibaya hadi makalio yalikuwa yanavuja damu. Mchungaji huyo baada ya Waziri Mkuu kuahidi bungeni kuwa atagombea ubunge na...
  15. JamiiForums Tanzania Kampuni ya A To Z yashinda tuzo mbili kubwa waziri mkuu Kassim Majaliwa apongeza

    Kampuni ya A-Z Goup LTD ya Jijini Arusha imeibuka kidedea mara baada ya kupata tuzo mbili nzito Kuwa kampuni yakwanza kuwa na mfumo madhubuti wa usalama mahari pakazi na tuzo yapili yakuwa kampuni yakwanza kwakutowa taarifa za hajali kwa wakati. Pia kwa kupunguza ajali kazini mwajiri mkubwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amuwakilisha Rais Samia katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mfumo wa Fidia kwa wafanyakazi

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anayemaliza Muda wake Amemuwailisha Rais Samia kama Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka Kumi ya Mfuko wa Fidia kwa wafanyakazi. Maadhimisho hayo yanafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu Julius...
  17. JamiiForums Tanzania Kauli za kufikirisha za waziri mkuu Majaliwa akijiondoea kugombea ubunge Ruangwa.

    Amesema, 1. Sasa amewaruhusu watu wengine wakashike nafasi yake ya ubunge wa Ruangwa. 2. Wagombea wote wa ubunge waliojitokeza ni wazaliwa wa Ruangwa, wana uwezo wa kuleta maendeleo. 3.Hatua yake ya kuacha ubunge wa Ruangwa imeongozwa na Mungu.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Hili la waziri mkuu kupumzika halikupaswa hata kuwa mjadala; Waandishi tafteni mambo ya msingi ya kujadili acheni kupiga ramli

    Nawashangaa sana waandishi wa habari siku hizi sijui kwanini mmekuwa kama waganga wa kienyeji! Mnapiga ramli chonganishi kwenye kauli za viongozi! Mnatufikishia wananchi habari ambazo wala hazitusaidii sana! Tunayotaka mtueleze hamsemi; Yasiyo na maana ndiyo mnatufikishia. Kauli ya waziri...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?

    Nini kinaendelea Tuache masihara keki ya taifa ni tamu, nini kimewatoa makamu wa Rais na waziri mkuu ?
  20. JamiiForums Tanzania Je, kuna mivutano ya siri ndani ya CCM kwamba nani awe raisi na nani waziri mkuu na vyeo vingine ?

    Kujiondoa kwa Majaliwa kwenye nyazifa ya ubunge baada ya kutangaza hapo awali kuwania tena kunaonesha ndani ya CCM Kuna vita inaendelea nyuma ya pazia ? Baada ya nape kuondolewa uwaziri tuliona viongozi wa juu wa CCM wakijiondoa pia je unafikiri Nape atakuwa upande wa Samia kwenye huu uchaguzi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…