waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hongera kwa Uteuzi wa Dkt. Mwigulu Nchemba – Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tunampongeza kwa dhati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Dkt. Mwigulu Nchemba kushika wadhifa wa juu kabisa wa kiutendaji – Waziri Mkuu wa Tanzania. Uteuzi huu unaonesha kuaminiwa kwa mtu mwenye rekodi ya kiutendaji serikalini, mwenye elimu ya hali ya juu, uzoefu wa kisiasa, na...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uteuzi wa Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu unatuma ujumbe kwa watanzania kuwa KAMA MBWAI NA IWE MBWAI

    Serikali nzima haitakiwi, Samia na Mwigulu ndiyo kabisaaa, hawatakiwi na watanzania. Maandamano ya 29.10 yalichochewa na mambo mawili: kuzuia uchaguzi na kuukataa uteuzi wa Samia kama mgombea urais wa Tanzania Katika maandamano hayo mabasi ya Ester yanayodhaniwa kuwa ni mali ya Mwigulu Nchemba...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini maana ya kuwa na waziri mkuu pamoja na makamu wa Rais?

    Kuna maana gani ya kuwa na waziri mkuu ambae anakuwa appointed na president, wakati huo huo tuna vice president ambae pia anaingia kitini kupitia ticket ya rais. It's useless to have the PM as the head of the government, being appointed by an individual (President). It's even foolish to have...
  4. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Paul Makonda na Dotto Biteko msizuge, ukweli ni kwamba mmeumia vilivyo kusikia Rais kapeleka jina la Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu ajaye

    Tokea Wiki hii ianze mlikuwa mnatamba tu huko Dodoma huku mkijiaminisha kuwa mmoja wenu atakuwa PM ajaye wa Tanzania hatimaye wote Wawili Mama kawala Vichwa na ha hamjaamini kabisa. Na kuna mmoja wenu hapo kila Siku alikuwa anaoga Maji ya Mganga wake wa Kienyeji kutoka Mkuranga ambaye...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Rais Samia, amelipendekeza jina la Dr. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Uteuzi huo unafanyika kufuatia taratibu za kikatiba ambapo jina la mgombea huwasilishwa kwa Bunge la Tanzania ili kupigiwa kura na wabunge. Baada ya pendekezo hilo, wabunge watapiga kura...
  6. JamiiForums Tanzania Tulia Ackson ndio Waziri mkuu ajae

    Nimekaa pale Tulia ackson ndo waziri mkuu ajae , wengine wanaolinganishwa nae watapewa vyeo vingine vya uwaziri ,ila Makonda lazima awe waziri
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya akiwa ni Kati ya Hawa wafuatao basi Samia ajipange kuanguka Serikali yake

    hawa wafuatao mmoja wapo akiwa waziri Mkuu basi CCM haitakaa sawa itakuja kugawana vipande 1. Mwigulu Mchemba Huyu ni mwizi muongo muongo sana anaakula kwa kupitia hesabu na kutwaa kumdanganya Rais kuwa tutazoea tozo! akili yake ni kutaka Samia aanguke ili agombee yeye 2. Kabudi Huyu ni...
  8. JamiiForums Tanzania Yupi waziri mkuu ajaye?

  9. JamiiForums Tanzania Samia akimteua Tulia Waziri Mkuu tutafanyaje?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa unyama alioonyesha Samia ambaye wengi walihadaika kuwa ni mwamamke angekuwa gentle, akimteua Tulia asiyetulia mwanamke mwenzake itakuwaje? Je, watanzania watamkubali au kumfurusha?
  10. JamiiForums Tanzania LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Musalia Mudavadi aonya Wakenya kuvuka mipaka kushiriki siasa za nchi jirani

    Waziri Mkuu wa Baraza la Mawaziri, Musalia Mudavadi, amewataka Wakenya kuepuka kuvuka mipaka ya nchi kwa ajili ya kutafuta haki au kushiriki katika siasa za mataifa jirani, akionya kuwa uhuru wanaoufurahia nyumbani, hususan uhuru wa kujieleza, haupo kila mahali. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ndiye Waziri Mkuu Mpya Atakayeteuliwa Na Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani. Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Joyce Ndalichako, mwanamke wa shoka anayefaa kuwa waziri Mkuu

    Natamani sana waziri Mkuu awe mwanamke tena mwanamke chuma kweli ,mwanamke wa shoka mwenye uwezo mkubwa wa kiutendaji na hapa ndio naliona jina la Prof. Joyce Ndalichako anafaa kwenye nafasi hiyo. Mhe. Rais ,tafadhali mteue Prof. Ndalichako kama waziri Mkuu kwenye Serikali yako ili akusaidie...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Je, Rais Ruto kumsogeza karibu Gideon Moi mtoto wa hayati Danile Arap Moi na kumteua kuwa naibu waziri mkuu?

    Nipo mitaa ya jijini Nairobi nikibarizi habari za hapa na pale na leo nimepata kusikia tetesi za Raisi Ruto kufikiria kumteua bwana Gideon Moi kuwa makamu wa waziri mkuu wa Kenya. Bwana Gideon ni kiongozi wa chama cha KANU na ni mtoto wa aliekuwa raisi wa Kenya Mzee Daniel Arap Moi ambae...
  15. JamiiForums Tanzania Wabunge nchini Israel wakaidi agilo la waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Gaza na West-Bank (Judea & Samaria )

    Wakiasi dhidi ya Waziri Mkuu, MKs walipitisha usomaji wa awali wa mswada wa upanuzi wa Ukanda wa Magharibi Kikao katika ukumbi wa kusanyiko wa Knesset huko Jerusalem mnamo Oktoba 22, 2025 (Chaim Goldberg/Flash90) Katika hali ya aibu kwa Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, wabunge wa mrengo wa...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Raila Amolo Odinga afariki dunia nchini India kwa mshtuko wa moyo

    Raila Odinga (RAO) afariki dunia huko India. Amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 80. R.I.P Papa. Utangulizi Raila Amolo Odinga ni mmoja wa wanasiasa mashuhuri zaidi katika historia ya Kenya na Bara la Afrika kwa ujumla. Kwa zaidi ya nusu karne, amekuwa nembo ya mapambano ya demokrasia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Bunge lilipovunjwa Spika, Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge

    Mara tu ya Bunge kuvunjwa rasmi Agosti 2025, Mawaziri wote pamoja na Spika walipoteza vyeo vyao vilivyotokana na Ubunge. Hii ya watu kukiita Spika, Waziri Mkuu, Naibu Waziri Mkuu, Waziri Mkuu mpaka Oktoba 2025 imekaaje. Serikali mpya itaundwa baada ya uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025. Ambapo Rais...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Ufaransa 'Sebastien Lecornu' ajiuzulu baada ya wiki chache madarakani

    Waziri Mkuu wa Ufaransa, Sebastien Lecornu, amejiuzulu leo Jumatatu Oktoba 6, 2025, zikiwa ni wiki chache tu tangu aingie madarakani hatua inayoongeza zaidi mzozo wa kisiasa unaoikumba nchi hiyo Ikulu ya Ufaransa ilitangaza kupitia taarifa rasmi kuwa Rais Emmanuel Macron amekubali kujiuzulu kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel awapa chemsha bongo UN

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu leo amewapa Chemsha-Bongo baraza la Umoja wa Mataifa!!!!
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu kijana amefanya kazi ya kitume kumpiga spana waziri mkuu mstaafu Mizengo Pinda kukalia kimya matukio ya utekaji

    Huu ujasiri wa huyu kijana ni wa kuigwa, anamchana waziri mkuu mstaafu kuhusu tabia ya kukaa kimya na kutokukemea matukio ya utekaji na watu kupotezwa na sasa wanaenda kutafuta kura kwa wananchi, wakitekwa wote wakaisha nani atawapigia kura?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…