waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PreGE2025 Waziri Mkuu Majaliwa: Wanaokuja kuwashawishi mjiridhishe lugha zao haziwaingizi kwenye machafuko. Mliona nchi jirani mizoga ilivyojaa barabarani

    Wakuu, Akiongea leo kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma na Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijiti jijini Dodoma, Waziri Mkuu amesema: "Wanaokuja kujieleza na kuwashawishi mjiridhishe kuwa lugha zao haziwapelekei na nyie kuingia kwenye machafuko yakapoteza usalama na amani ya...
  2. U

    Uzi Maalumu Unampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau kuhusu sera nzuri kwa Israel baada ya kuisha kwa vita dhidi ya Iran

    Uzi Maalumu Kila jambo lina Mwisho njia bora kujenga amani ya kudumu ni muhimu
  3. Tetesi: Netanyahu kakimbia Nchi kuokoa kiwiliwili chake

    Waziri mkuu wa Serikali ya magaidi ya Israel amekimbia Taifa lake baada ya Iran kutangaza vita rasmi na kupandisha bendera nyekundu. Gaidi huyo amekimbia huku akindikizwa na fighter mbili za wanamgambo wa kiyahudi. BREAKING: Netanyahu is running away from Israel for now. According to a special...
  4. Waziri Mkuu, Majaliwa: Uhuru wa kuabudu si kuvunja sheria za nchi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa waumini wa dini mbalimbali nchini kuzingatia Sheria ya uhuru wa kuabudu wanapotekeleza ibada zao, kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ili kuhakikisha ibada hazivunji amani wala sheria za nchi. "Tunapokuja kuabudu hapa, tuzingatie...
  5. P

    Ujumbe wangu kuhusu amani

    Mimi ni mwalimu, juzi kati nikiwa nafundisha kuhusu topic ya Promoting Peace” wanafunzi walikuwa na maswali mengi sana. Maswali yao yalikuwa ya kutaka kujua 1. kwa nini kuna nchi zipo vitani 2. kwa nini vita hutokea 3. Na ni namna gani vita uanza Mfumo wa ufundishaji wangu ni wa kuwafanya...
  6. Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  7. Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer aishutumu Israel kuhusu Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anashutumu hatua za Israel huko Gaza kuwa "haziwezi kuvumilika" na kutishia vikwazo zaidi, huku akipuuza ugaidi wa Hamas na mgogoro unaoendelea wa mateka. Starmer anapongeza kusimamisha mazungumzo ya FTA na kuwawekea vikwazo walowezi wa Israel, huku akitoa...
  8. K

    Waziri Mkuu kuweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la TBS makao makuu Dodoma

    WAZIRI MKUU KUWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA TBS MAKAO MAKUU DODOMA WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa anatarajiwa kuweka jiwe la msingi katika jengo la TBS (VIWANGO House) kesho Juni 04,2025 katika eneo la Njedengwa jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu wa...
  9. Picha: Waziri Mkuu Majaliwa akutana na Waziri Mkuu wa Japan

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo. Amekutana na...
  10. Waziri Mkuu wa Isral aongelea Mauaji ya wafanye kazi wa Ubalozi huko Marekani Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim.

    Tumeshtushwa na kutishwa asubuhi ya leo na taarifa za shambulio la kikatili la kigaidi lililogharimu maisha ya wafanyakazi wawili wa Ubalozi wetu mjini Washington - Yaron Lischinsky na Sarah Lynn Milgrim. Kumbukumbu yao iwe baraka. Tunakumbatia familia zinazoomboleza katika kipindi hiki kigumu...
  11. Ni Waziri Mkuu wa Tanzania au Tanganyika?

    Wataalam wa Katiba mnisaidie hili! Kwa mujibu wa utendaji wake, tuna Waziri Mkuu wa Tanzania au wa Tanganyika? Tanzania ni muungano wa nchi mbili: Zanzibar na Tanganyika! Lakini ninavyofahamu, utendaji wa cheo cha Uwaziri Mkuu wa JMT unaishia ndani ya Tanganyika! Isitoshe, nchi ya Zanzibar...
  12. PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
  13. Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  14. Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe Jijini Abidjan

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana nae masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, Jijini Abidjan. Waziri Mkuu...
  15. Eeh Waziri Mkuu unakua na Uchawa mpaka Msibani? Eti Rais KATOA Ndege kumsafirisha Msuya?

    Duuhh Wakuu mbona hali inatisha, Hivi Waziri Mkuu, na Mbunge wa namna hii, anaweza kumshauri Rais ?. Daahhh hii mbona ni hatari sana !! Mzee Msuya Kawa Waziri Mkuu, Makamo wa Rais , Kuzikwa Kwa Heshima zote ni lazima ,sio suala la FADHILA ZA RAIS. Kwamba Rais alikua na Uchaguzi wa kutoa Ndege...
  16. PreGE2025 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Hakuna mpango wa kuahirisha uchaguzi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko amesema milango ya Serikali iko wazi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na kuwasihi wenye hoja kujongea kwa mazungumzo. "Ninachoweza kusema kuhusu uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu...
  17. Miongoni mwa wabunge wanaotakiwa kurudi bungeni Oktoba 2025 basi Waziri Mkuu Majaliwa ni wa kwanza!

    Nimeshasema mara kadhaa humu huyu mzee wa watu amefanya maajabu makubwa sana Ruangwa tofauti na waheshimiwa wengine kwenye maeneo yao. Mwenye macho haambiwi tazama WanaRuangwa nawakumbusha tu kwamba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ndiye mtu sahihi ambaye anatakiwa kutuwakilisha tena bungeni kwa...
  18. S

    Ushauri kwa Rais Samia: Punguza ukaribu na wasanii, watakuharibia!

    Nieleweke, simchukii Rais wangu, nampenda sana. Ila Rais huyu kiujumla, anawaogopa wasanii. Wasanii wengi hawana hata maadili—watamsaidia nini? Mbele ya Rais wa nchi, mhuni mmoja anasema Harmonize amerudiana na Kajala, Rais anacheka. Nchi tunaipeleka wapi? Kimsingi, baada ya Samia kuwa Rais...
  19. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu aibwatukia Qatar

    Baada ya Qatar kuishutumu Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki huko Gaza na kuuita Umoja wa Mataifa "mwiba katika mradi wake wa ukoloni," Netanyahu alijibu: "Wakati umefika kwa Qatar kuacha kucheza pande zote mbili na mazungumzo yake mawili na kuamua ikiwa iko upande wa ustaarabu au ikiwa iko...
  20. PreGE2025 Mjumbe wa Kamati ya CCM Wilaya: Mbunge wetu ni Waziri Mkuu, mnataka aje mwingine ili awe nani?

    Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Lindi, Mparuka Hashim Mtopela akiongea na wajumbe wa wilayani hapo katika mkutano wa baraza la Chama cha Mapinduzi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…